Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,007
- 9,872
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watanzania waendelee kuchukua hatua dhidi ya COVID-19.
Amesema hadi sasa kuna wagonjwa wachache ambao wanatakiwa kuendelewa kuombewa ili kupona.
Amesema hayo katika baraza la eid el-adha baada ya swala ya Eid iliyofanyika Msikiti wa Mtoro, Dar es Salaam.