DR Congo: Seneti yamuondolea kinga ya kushitakiwa Waziri Mkuu wa zamani, Matata Ponyo Mapon

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
1625565880568.png

PICHA: Waziri wa zamani wa DR Kongo Matata Ponyo Mapon

Seneti huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imemuondolea kinga ya kushtakiwa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Matata Ponyo Mapon, hatua ambayo inaruhusu uchunguzi wa Matumizi Mabaya ya Fedha za Umma.

Wachunguzi wanasema Dola Milioni 200 zilipotea wakati wa utekelezaji wa mradi wa Kilimo ambao ulifeli, na majukumu ya Mapon ambaye alikuwa Waziri Mkuu 2012-2016 chini ya Joseph Kabila yanachunguzwa.
====

The senate in the Democratic Republic of Congo has lifted the immunity of former Prime Minister Matata Ponyo Mapon allowing investigations into misappropriation of public funds.

Mr Mapon is being investigated for his role in an agricultural project that failed.

The senate had declined a request by the judiciary to lift his immunity so that he could be prosecuted.

Investigators say $200m (£141m) disappeared during the implementation of an agricultural project, the Reuters news agency reports.

Mr Mapon is alleged to have designed, planned and committed for payment to be made for the project.

He has denied any wrongdoing.

Mr Mapon was the prime minister under former President Joseph Kabila from 2012 to 2016.

Source: BBC
 
Back
Top Bottom