waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Wanaolalama kupata ongezeko la 20,000 ni wale wenye mishahara mikubwa

    Waziri Mkuu, Kasimu Majaliwa amesema wengi wanaolalamika kupata ongezeko dogo la mishahara ni wale ambao wana mishahara mikubwa. Ametolea mfano wa mawaziri kuwa wako baadhi ambao ongezeko lao ni 0.02% Amewaomba watumishi kuwaamini viongozi wa vyama vya wafanyakazi. Amesema wengi waliopata...
  2. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa atoa ufafanuzi kuhusu ongezeko la mshahara kwa wafanyakazi leo Julai 29, 2022

    Sina mengi ni kuanzia saa kumi jioni. Japo wadau wengi hawana imani tena baada ya kupitia uzoefu fulanifulani zilizo tolewa ufafanuzi kupitia ofisi ya Waziri Mkuu. === Aliyoyazungumza waziri Mkuu. Rais Samia Suluhu Hassan tangu ameingia madarakani amehakikisha watumishi wanapata amani mahali...
  3. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutoa ufafanuzi kuhusu nyongeza ya mishahara jioni ya leo

    Watumishi mjiandae kutega sikio
  4. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Waziri Mkuu wa Uingereza ni Liz Truss vs Rishi Sunak. Unapenda nani awe PM?

    Bila kupoteza mda twende kwenye mada. Kinyang'anyiro cha Nafasi ya Kuwa PM wa Uingereza ni Kati ya hao wawili baada ya kufanyika Mchujo.. Binafsi napenda Liz Truss ashinde kwa sababu zifuatazo.. 1. Amekuwa bega kwa bega na Boris Johnson kama Foreign Minister kuwanyoonya Russia ndio maana...
  5. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Italy ajiuzulu kufuatia maandamano. Mbona hatuoni nyuzi zikianzishwa na CHADEMA kutolea mfano Viongozi wetu kama kule Sri Lanka?

    Nawasalimu kwa jina la JMT. Waziri Mkuu wa Italy amejiuzulu nafasi yake kutokana na Maandamano ya wiki zima Kuhusu ugumu wa maisha.. Mario Draghi amewasilisha hati yake kwa Rais Ili Mchakato wa kumpata PM mwingine uendelee.. Huyu ni Waziri Mkuu wa pili kuachia ngazi huko Barani Ulaya baada ya...
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Italia, Mario Draghi ajiuzulu

    Italy's Prime Minister Mario Draghi (R) submitted his resignation to Italy's President Sergio Mattarella at the Quirinale presidential palace in Rome on Thursday. Italian Prime Minister Mario Draghi submitted his resignation to President Sergio Mattarella on Thursday, plunging the European...
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameviagiza vyuo vikuu vyote nchini, kufanya mapitio ya mitaala, ili iweze kuendana na mahitaji halisi ya sasa

    Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa ameviagiza vyuo vikuu vyote nchini, kufanya mapitio ya mitaala yao, ili iweze kuendana na mahitaji halisi ya sasa ya soko la ajira.
  8. Superbug

    JamiiForums Tanzania Namkubali sana Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Tluway Sumaye

    Namkubali sana mheshimiwa Sumaye ni mpole hana mbwembwe hajui kulipa kisasi na mtulivu. Alipotofautiana na Jakaya enzi zile alijiendea zake kusoma Marekani na MAGUFULI alivyompokonya mashamba yake Morogoro hakujibu alikaa kimya aliacha muda uongee.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu asifu utendaji wenye mafanikio makubwa wilayani Iramba - Singida

    📸WAZIRI MKUU ASIFU UTENDAJI WENYE MAFANIKIO MAKUBWA WILAYANI IRAMBA- SINGIDA. Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema anaridhishwa na kazi kubwa yenye mafanikio kwenye miradi na shughuli za maendeleo Wilayani Iramba Mkoani Singida. Waziri Mkuu ameyasema hayo Jana Jumamosi Julai...
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi, TAMISEMI imemshinda Bashungwa, imebidi Waziri Mkuu aingilie kati, ndio wizara yenye kelele za uozo

    Bashungwa, Waziri kijana, ambaye ilitarajiwa "damu iwe inachemka" awe anapanda na kushuka,anakaba huku na kule, ameonekana Mzee kuliko Waziri Mkuu. Waziri Mkuu anaenda Arusha, anaenda Singida, anajua mambo ambayo alitakiwa Bashungwa awe ameshayajua na kuchukua hatua....hamna kitu. Alikuwa na...
  11. Taifa Digital Forum

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa akutana na Mbowe jijini Dar es Salaam

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 13, 2022 amekutana na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kwenye Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar Es Salaam.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Menejimenti ya AUWSA yakaidi agizo la Waziri Mkuu, Wametumia Milioni 216 kwenda kutalii Mwanza

    Menejimenti ya Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha Chini ya Engineer Justin Rujomba imetumia Milioni Mia Mbili na Kumi na Sita ( 216 Milion) kwenda Mwanza kwenye Semina na Kutalii kwenye Mbuga ya Wanyama Serengeti kinyume na maagizo ya Waziri Mkuu Mheshimiwa Kasim Majaliwa...
  13. britanicca

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa Kanisa ndo limepelekea mauaji ya Waziri Mkuu mstaafu Shinzo Abe

    Huko Japan, kuna jamaa anaitwa Sun Myung Moon huyu mtu ndiye mwanzilishi wa Kanisa liitwalo Unification Church, al-maarufu kama Moonies church. Huyu jamaa na kanisa lake ndiye chanzo cha mauaji ya Waziri Mkuu mstaafu wa Japan, Shinzo Abe. Kwa mujibu wa Tetsuya Yamagani, ambaye ndiye aliyemuaa...
  14. simplemind

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Finland kwenye tamasha la muziki

    Waziri mkuu wa Finland amehudhuria tamasha la muziki Ruisrock hivi leo. Anapendeza bwana. NATO oyee!
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Japan: Waziri Mkuu wa zamani, Shinzo Abe afariki dunia baada ya kushambuliwa kwa risasi

    Shirika la Habari la NHK linaripoti kuwa, Waziri Mkuu wa zamani wa Japan, Shinzo Abe amekimbizwa Hospitalini baada ya kujeruhiwa kwa risasi mgongoni wakati akitoa hotuba katika Mji wa Nara. Imeelezwa, Abe ambaye aliachia nafasi ya Uwaziri Mkuu mwaka 2020 kwasababu za kiafya alidondoka wakati...
  16. mawaridi

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Waziri Mkuu Boris Johnson ajiuzulu rasmi

    Boris Johnson aliyekuwa Waziri Mkuu wa Uingereza ametangaza rasmi kujiuzulu Bwana Johnson amesema alijaribu kuendelea kuwa madarakani na inamuuma kuona hataweza kumalizia mipango yake aliyojiwekea. Boris Johnson amesema kuwa inamuuma kupoteza kazi bora kabisa katika Dunia Boris Johnson...
  17. Richard

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson kutangaza kujiuzulu mchana huu

    Boris Johnson waziri mkuu wa Uingereza baada ya kukalia kuti kavu kwa masaa 24 yalopita hatimae leo mchana atatangaza kujiuzulu baada ya mawaziri 55 kujiuzulu nafasi zao na serikali kushindwa kujiendesha. === Serikali ya Waziri mkuu wa Uingereza amezama katika mzozo ambao athari zake...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mkuu amuombea dua Waziri Mkuu aoe mke wa pili

    Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum amemuombea dua Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aoe mke wa pili ilia pate utulivu zaidi katika mizunguko yake. Ameyasema hayo wakati Waziri Mkuu alipokuwa mgeni rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naombeni Dawa ya Kuisahau hii Kauli inayokataa kabisa kutoka Ubongoni mwangu ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

    'Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dk. John Pombe Joseph Magufuli yuko mzima wa Afya anachapa kabisa Kazi na nimetoka Kuzungumza nae'', Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kassim.
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Waziri Mkuu Bunge la 12 Mkutano wa 7 Saba, Kikao cha 55, Juni 30, 2022

    Serikali yapiga marufuku michango shuleni Serikali imepiga marufu michango kiholela katika shule za umma katika ngazi ya Msingi na Sekondari baada ya kuripotiwa kuwepo kwa michango mingi licha ya sera ya elimu bila malipo. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema hayo Bungeni leo Juni 30, 2022...
Back
Top Bottom