Waziri Mkuu wa zamani wa Tunisia, Hamadi Jebali aliachiliwa huru ikiwa ni siku ya nne tangu alipokamatwa kwa tuhuma za utakatishaji fedha
Pamoja na hatua hiyo bado Jaji amesema Jebali ataendelea kuchunguza
Wakili wa mwanasiasa huyo, Samir Dilou amesema mteja wake atalazimika kufika Mahakamani...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, leo Juni 23, 2022 yupo katika ziara ya siku moja katika Mkoa wa Arusha na Tanga ambapo atashuhudia zoezi la awamu ya Pili ya wananchi takribani 117 kutoka kaya 27 wanaohama kwa hiari yao wenyewe kutoka katika eneo la hifadhi ya Ngorongoro kuelekea Kijiji cha Msomera...
Wabunge wamemshikia mabango Waziri Mkuu wa Italia, Mario Draghi wakipinga hatua ya kuisaidia Ukraine
===
Italy Deputies rise up against Mario Draghi “Stop sending weapons to Zelensky! More than 70% of Italians do not want to send weapons to Zelensky,” the deputies say.
Mario Draghi is accused...
Ofisi ya Waziri Mkuu wa Israel Naftali Bennett imetangaza kwamba Serikali ya Muungano ya nchi hiyo itavunjwa, na hivyo uchaguzi mwingine kuandaliwa.
Bennett na mshirika wake mkuu, Yair Lapid, watalivunja Bunge katika siku zijazo, ofisi ya Bennett imesema. Lapid atahudumu kama Waziri Mkuu wa...
Kwa mtizamo wangu suala la Ngorongoro ni suala la sekta au Wizara na siyo suala linalopaswa kusimamiwa Moja Kwa Moja na Waziri Mkuu. Ni suala lenye dynamics nyingi zikiwemo zinazoweza kufifisha Imani ya mataifa mbalimbali dhidi ya utawala uliopo madarakani. Ni suala linalofifisha ndoto za Mhe...
Mbunge wa Ngorongoro Emmanuel Oleshangai Naomba kuthibitisha kuwa wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana kwenye zoezi la uwekaji wa beacons kwenye ardhi ya vijiji, Ngorongoro.
Wananchi hao wanapatiwa huduma nchi ya jirani ya Kenya baada ya kunyimwa huduma zahanati ya Osero kata ya...
TAARIFA ZINAZOENDELEA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII KUHUSU KAULI YA WAZIRI MKUU KUHUSU LOLIONDO ZAKUPUUZWA
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mongella amesema tuendelee kuwapuuza wale wote wanaopotosha kuhusu kauli ya Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa kuhusu sakata la Loliondo
"Kauli ya Waziri Mkuu...
Kazi ya Uwaziri Mkuu ni kazi ya heshima sana na kuna wakati anakuwa Muongeaji Mkuu wa Serikali. Kuna matukio makubwa matatu ambayo yameonyesha wazi kwamba Waziri Mkuu huyu ni mwongo na mnafiki
1. Wakati wa Rais Magufuli alipozidiwa mpaka kupoteza maisha alikuwa wa kwanza kusema ni uzushi kumbe...
Habari wakuu, Hivi ni nani humu JF hajawahi kudanganya? Maana inachukuliwa kana kwamba PM alifanya kitu ambacho kigeni sana, Kuna watu wengi tu humu JF wamewahi danganywa kuhusu kuugua au vifo vya watu wao wa karibu ili mradi tu kuweka mambo sawa kwanza.
Hayati JPM alikuwa mkuu wa Nchi, Amiri...
Ni kawaida ya viongozi wakali na waadilifu kurushiwa tuhuma za kuwachafua na hili naliona kwa waziri Mkuu wetu Mhe. Majaliwa lakini ukweli ni kwamba hawezi kuchafuka kwa kuwa sio fisadi na wala hana chembechembe hizo na katika jamii yetu tuhuma za ufisadi ndio zinaweza kumchafua mtu.
Kwa...
Huyu waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Bungeni nimemsikia akisema kuwa habari zinazoenezwa mtandaoni kuhusu Loliondo hazina ukweli
na hakuna askari yoyopte aliyeenda mbugani na silaha kutishia wananchi, pengine ningemuamini kwa kiasi fulani lakini hili la kusema hakuna askari aliyeenda mbugani na...
Leo jioni wabunge wa chama cha wahafidhina watapiga kura ya kutokuwa na imani na kiongozi wa chama hicho na waziri mkuu bwana Boris Johnson.
Hatua hiyo yafuatia barua za wabunge wa chama hicho kwa kamati maalum iitwayo 1922 committee ambazo zilipaswa kufikia asilimia 15 yaani sawa na barua 54...
Nakumbuka kuna siku Waziri mkuu alisema wazi kwamba vijana ambao hawana ajira ndio wapewe kipaumbele katika kupata ajira za Sensa
Kwasasa ukipitia mitandaoni utaona kila mtu ni sawa na muamba ngoma ambae huvutia kamba upande wake .
Kuna watumishi wa umma ambao wanajiona wao ni bora sana kiasi...
Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang jana alisisitiza umuhimu wa kutekeleza sera za kutuliza uchumi na kuunga mkono masoko, ajira na maisha ya watu.
Bw. Li Keqiang aliyasema hayo kwenye mkutano wa baraza la serikali la China, na kuhimiza juhudi za kuhakikisha uchumi wa taifa unaendeshwa kwa...
Kwa kweli huyu waziri mkuu wa India anafurahisha sana!! Anajivunia uvaaji wa kihindi kwa kujiamini kabisa!! Waarabu pia nawapongeza sana na wanigeria!! Anaitangaza nchi yake sawasawa!! Ana msimamo, ndio maana hawezi kuyumbishwa propaganda za nchi za magharibi!!
Waziri Mkuu wa Zamani wa Pakistan, Imran Khan ametangaza kuongoza maandamano ya amani ya kudai uchaguzi mkuu ikiwa ni muda mfupi tangu aondolewe madarakani kwa kupigiwa kura ya kutokuwa na Imani na Wabunge.
Khan amewaomba wasuasi wake wa Chama cha Pakistan Tehreek-e-Insaf (PTI) na raia wote wa...
Kuna hii habari nimeikuta kwenye vuombo vyetu vya habari Nchini, ni kuhusu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutoa taarifa ya kutoa maagizo kwa vyombo vyenye mamlaka ya kusimamia sheria ikiwemo Mahakama.
Unaweza kuisoma habari yenyewe hapo chini, nakubali kweli hoja yake ni nzuri na inaweza kusaidia...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema ongezeko la mashitaka limekuwa kubwa na kuweka wazi kuwa hiyo inachangia Mahakama zilizopo kutokishi mahitaji ya kutoa huduma kwa wote wenye mahitaji, ndio maana Serikali imeweka mpango wa kuongeza Mahakama zinazotembea (mobile court).
Ameyasema hayo wakati...
UPDATES. TAREHE 23/72022
WATUMISHI WALICHOKUTANA NACHO HAWATAKUJA KUSAHAU HIZI NGONJERA ZA KUPOKEA TAARIFA KWA MBWEMBWE MPAKA SERIKALI INATAKA KUTOA UFAFANUZI UPYA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
WAZIRI MKUU APOKEA TAARIFA YA NYONGEZA YA MISHAHARA
*Aahidi kuikabidhi kwa Mheshimiwa Rais Samia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.