Waziri Mkuu wa Italia, Mario Draghi ajiuzulu

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
24,036
71,262
italia.jpg

Italy's Prime Minister Mario Draghi (R) submitted his resignation to Italy's President Sergio Mattarella at the Quirinale presidential palace in Rome on Thursday.

Italian Prime Minister Mario Draghi submitted his resignation to President Sergio Mattarella on Thursday, plunging the European Union's third-largest economy into fresh political turmoil.

Draghi's resignation comes after several key parties in his coalition -- the powerful 5-Star movement, the largest party in the country's coalition government, center-right Forza Italia and the far-right League -- boycotted a confidence vote in the government Wednesday night.

Mattarella, who accepted the resignation, is scheduled to meet with the speakers of Parliament on Thursday afternoon, the presidential palace said in a statement. The next step is to call for a snap election.

Last week, Draghi first tendered his resignation after the 5-Star movement withdrew its support in a parliamentary confidence vote on a package designed to tackle Italy's cost-of-living crisis. Draghi had previously said that he would not lead a government that did not include 5-Star.

That resignation, however, was rejected by Italy's President Sergio Mattarella, who urged him to stay and find a solution.

On Thursday, the FTSEMIB, Italy's main stock market, was down more than 2.5% after the country's government was left on the brink of collapse.

Source: Italian Prime Minister Mario Draghi resigns as coalition collapses

--

Mara baada ya BOJO kujiuzulu , hatimaye Mbuyu mwingine unaangushwa na Vladimir Putin !!.

Bila hata Silaha!

Wale Ukraine wa kwa mtogole ,karibuni!!

---
 
Nchi ngumu sana ile, week iliyopita alipeleka barua ya kujiudhuru akakataliwa ombi.

Jana tu kashinda vote of confidence kwenye senate lakini quorum aikutosha, leo wataalamu walitabiri kujiudhuru.

Mtu mwenyewe kazi yake kabla ya kuwa PM alikuwa Director of finance EU central bank. Jamaa wanadai Italy kama kashindwa kazi PM aliekuwepo ata wakipata malaika kuna vyama vya siasa avitomtaka siasa zao ngumu sana kuyaridhisha makundi yote.
 
Nchi ngumu sana ile, week iliyopita alipeleka barua ya kujiudhuru akakataliwa ombi.

Jana tu kashinda vote of confidence kwenye senate lakini quorum aikutosha, leo wataalamu walitabiri kujiudhuru.

Mtu mwenyewe kazi yake kabla ya kuwa PM alikuwa Director of finance EU central bank. Jamaa wanadai Italy kama kashindwa kazi PM aliekuwepo ata wakipata malaika kuna vyama vya siasa avitomtaka Italy siasa zao ngumu sana kuyaridhisha makundi yote.
Draghi mwanauchumi nguli, amewavusha Waitalia kwenye kipindi kigumu kiuchumi .

Ndio sababu Rais hakutaka ajiuzuru
 
Nchi ngumu sana ile, week iliyopita alipeleka barua ya kujiudhuru akakataliwa ombi.

Jana tu kashinda vote of confidence kwenye senate lakini quorum aikutosha, leo wataalamu walitabiri kujiudhuru.

Mtu mwenyewe kazi yake kabla ya kuwa PM alikuwa Director of finance EU central bank. Jamaa wanadai Italy kama kashindwa kazi PM aliekuwepo ata wakipata malaika kuna vyama vya siasa avitomtaka Italy siasa zao ngumu sana kuyaridhisha makundi yote.
Uko sawa mkuu nashangaa wanaousisha kujiuzulu kwake na Putin is just coincidence.
 
Uko sawa mkuu nashangaa wanaousisha kujiuzulu kwake na Putin is just coincidence.
Hapana,. Ipo hivi kama yalivyokua mapinduzi ktk nchi za kiarabu miaka ya 2008--2015.

Ulaya inaenda kushuhudia kitu hikohiko.

Kwa Sasa ni viongozi, wanatoka lkn sera zao zinaendelea zilezile Kwa wanaoingia madarakan.

Kitakachotokea ni ugumu wa Maisha zaidi, Kisha Raia wao wataingia mabarabaran.
 
Niwaulize swali general.

Hawa viongozi wa hizi nchi wanajizulu Kwa sabab ya kuidhinisha Fedha kwenda Ukraine au Kuna shida nyingine.

Mjuzi yoyote tafadhali Msaada waufahamu kwenye hili.
Inflation nchini mwao ni kubwa na inaendelea kuongezeka.

Kwa hivo Kwa Nchi za Ulaya baadhi zinategemea Ubatizo mkubwa wa economic recession.

Wajanja wanajitoa wenyewe kulinda majina Yao kwenye Jamii.

Vichwa Ngum kama Boris , wanalazimishwa.
 
Hapana,. Ipo hivi kama yalivyokua mapinduzi ktk nchi za kiarabu miaka ya 2008--2015.

Ulaya inaenda kushuhudia kitu hikohiko.

Kwa Sasa ni viongozi, wanatoka lkn sera zao zinaendelea zilezile Kwa wanaoingia madarakan.

Kitakachotokea ni ugumu wa Maisha zaidi, Kisha Raia wao wataingia mabarabaran.
Ugumu wa maisha umgetokea tu kwa sababu ya Covid pia,kitu pekee dunia ya sasa haikuangalia ni nini kingefuata baada ya miaka miwili mfululizo wa adhari za covid ambapo watu wengi hawakufanya kazi ipasavyo na serikali nyingi ikiwemo watu binafsi kutumia akiba yao hila uszalishaji .
 
Hahahahahaha hahahahahahahaha pro NATO kwa kujistukia hamjambo.
Sawa ,mimi naona kwa.mtazamo tofauti ugumu wa maisha sio.kwamba umeletwa.na Putin tu ila.ameongezea bali adhari za miaka.miwili za.Covid ambapo watu hawakuwa.wanafanya uzalishaji.wa asilia 100 na sasa kina uhaba mkubwa wa rasilimali
 
halafu viongozi kujiuzulu kwa western ni jambo la kawaida sana
 
Back
Top Bottom