PreGE2025 Waziri Mkuu Majaliwa: Rais Samia wewe una mapenzi mema kwa nchi hii, na kwa Watanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,778
Reaction score
6,090
Mhe, Rais niliojitihada zako za kuratibu na kujenga miradi yote ulionza nayo na Hayati Magufuli, na uliniita ukaniambia tumeachana mzigo huu ni wetu sote pamoja na watanzania, ni lazima tutekeleza ili miradi hii kukamilika.

Soma Pia: Uzinduzi wa Daraja la Magufuli (Kigongo-Busisi) - Juni 19, 2025

Mhe, Rais hatua miradi hii ilipofikiwa ilikuwa asilimia ya kuanzaia. Mhe Rais ulianza kutafuta pesa ndani na nchi na kote dunia na ukafanikiwa ukaanza kuijenga, wewe unamapenzi mema kwa nchi hii, na kwa Watanzania.

Ubaya wake ni juruhusu Polis kuua watu wasiokuwa na hatia kama mDude,,na wale vijana wa Chadema
 
Mhe, Rais niliojitihada zako za kuratibu na kujenga miradi yote ulionza nayo na Hayati Magufuli, na uliniita ukaniambia tumeachana mzigo huu ni wetu sote pamoja na watanzania, ni lazima tutekeleza ili miradi hii kukamilika.

Soma Pia: Uzinduzi wa Daraja la Magufuli (Kigongo-Busisi) - Juni 19, 2025

Mhe, Rais hatua miradi hii ilipofikiwa ilikuwa asilimia ya kuanzaia. Mhe Rais ulianza kutafuta pesa ndani na nchi na kote dunia na ukafanikiwa ukaanza kuijenga, wewe unamapenzi mema kwa nchi hii, na kwa Watanzania.

Uchawa kwa kwenda mbele. Rais mwenye mapenzi na nchi yake hawezi kuendekeza abductions, torture and/or cold blood killings of those who criticize the government!
 
Hawa CCM wangekuwa wanamwabudu Mungu kama wanavyomwabudu Samia basi mvua ya dhahabu ingenyesha. Huu ni ukweli kabisa, Samia amepewa nafasi ya Mungu. Hivi mtu anaposhabikia mauaji nakusema muuaji ana mapenzi mema si ni kumkufuru Mungu?
 
Mzee alianza vizuri lakini amebarika na yeye hata samia hakuwa na mpango wa kuwania uraisi tena na yeye amechange,
 
Mhe, Rais niliojitihada zako za kuratibu na kujenga miradi yote ulionza nayo na Hayati Magufuli, na uliniita ukaniambia tumeachana mzigo huu ni wetu sote pamoja na watanzania, ni lazima tutekeleza ili miradi hii kukamilika.

Soma Pia: Uzinduzi wa Daraja la Magufuli (Kigongo-Busisi) - Juni 19, 2025

Mhe, Rais hatua miradi hii ilipofikiwa ilikuwa asilimia ya kuanzaia. Mhe Rais ulianza kutafuta pesa ndani na nchi na kote dunia na ukafanikiwa ukaanza kuijenga, wewe unamapenzi mema kwa nchi hii, na kwa Watanzania.

Chawa mwingine huyu.
 
Anaipenda nchi na watanzania Kwa kuwa abduct na killings what a sarcasm and satire.
 
Mpaka PM ni chawa.. Mpango alifanya vizuri kujiuzuru
 
Back
Top Bottom