Waziri Mkuu Majaliwa: Vijengwe vituo vya maegesho ya magari madogo, Wananchi wote watumie Mwendokasi kuingia mjini

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,785
Reaction score
6,106
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila kusimamia kaunzishwa na kujenga vituo vya maegesho ya Magari ili Wananchi wote watumie Mwendokasi kuingia mjini.

Majaliwa ametoa rai hiyo wakati akikagua Huduma za Mabasi yaendayo kasi katika Vituo vya Kivukoni na Kimara Jijini Dar es Salaam, baada ya kuanza kazi kwa mabasi mapya hii leo.

Maigizo country
 
Mh
 
Attachments

  • IMG_20221114_192725.jpg
    IMG_20221114_192725.jpg
    20 KB · Views: 23
Mpaka dakika hii mabasi hayatoshi unataka kuongeza abiria wengine ?

Mambo rahisi sana fanya usafiri wa UMMA uwe rafiki; ongeza cost za maegesho na congestion charges katikatika ya mji uone kama kuna mtu atahangaika na magari madogo....
 
Mzee alitaka kutoka akachukue fomu.
Wakamwambia mzee ebu Rudi ndani zama zimebadilika😄😄😄
 
Back
Top Bottom