waziri mkuu majaliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Black cap

    Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa amshukuru Magufuli kwa uteuzi. Awataka wananchi wa Ruagwa waendelee kumuombea

    Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania Kassim Majaliwa amemdhukuru Aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli Majaliwa ametoa shukrani hizo leo, Jumamosi Desemba 20.2025 kwenye hafla ya kumshukuru na kumuaga iliyoandaliwa na wakazi wa Ruangwa
  2. Mkalukungone Mwamba

    Waziri Mkuu Majaliwa: Vijengwe vituo vya maegesho ya magari madogo, Wananchi wote watumie Mwendokasi kuingia mjini

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila kusimamia kaunzishwa na kujenga vituo vya maegesho ya Magari ili Wananchi wote watumie Mwendokasi kuingia mjini. Majaliwa ametoa rai hiyo wakati akikagua Huduma za...
  3. Bibianna

    Waziri mkuu Majaliwa Khasim Majaliwa: PPP imesaini miradi yenye thamani ya shilingi bilioni 681.53

    == Waziri mkuu amesema kuwa Chini ya Rais Samia, mikataba minne ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) yenye thamani ya shilingi bilioni 681.53 imesainiwa mwaka 2024/25 kwa ajili ya kutoa huduma ya usafiri wa mabasi katika Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT). Mikataba hiyo...
  4. Meja Jenerali Isamuhyo

    Waziri Mkuu Majaliwa yupo uwanjani kuwasapoti Taifa Stars lakini anaonekana ana mawazo sana

    Imeonyeshwa picha ya PM Majaliwa akiwa uwanja wa Benjamin Mkapa akifuatilia na kuisapoti mechi ya Taifa Stars kwenye mashindano ya CHAN. Anaonekana yu katika lindi la mawazo, amepoa sana. Je ameshindwa ku-move on?
  5. Roving Journalist

    Waziri Mkuu akutana na Rais Wa Afreximbank, aibua maeneo ya uwekezaji, ushirikiano zaidi na Tanzania

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amefanya mazungumzo na Rais Mteule na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Biashara ya Afrika (Afreximbank), Dkt. George Elombi na kuainisha maeneo zaidi ya uwekezaji nchini Tanzania. Mheshimiwa Majaliwa amesema anaamini kuwa katika kipindi cha...
  6. Roving Journalist

    Waziri Mkuu Majaliwa amaliza ziara Belarus, anadi fursa za uwekezaji

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa ametumia ziara yake nchini Belarus kunadi fursa za uwekezaji katika maeneo manne ya kipaumbele ya Serikali ya awamu ya sita ambayo ni kilimo, afya, madini na ulinzi & usalama. Waziri Mkuu katika siku mbili za ziara yake...
  7. GENTAMYCINE

    Mbona kama vile Waziri Mkuu Majaliwa ninayemuona Pichani leo akiwa Kikaoni AICC Arusha na TRA siyo yule niliyemzoea kila Siku?

    Body Language yake tu inaonyesha ni kama vile ana Mawazo, Anaogopa kitu halafu kuna Maamuzi anataka kuchukua.
  8. Yoda

    Kauli za kufikirisha za waziri mkuu Majaliwa akijiondoea kugombea ubunge Ruangwa.

    Amesema, 1. Sasa amewaruhusu watu wengine wakashike nafasi yake ya ubunge wa Ruangwa. 2. Wagombea wote wa ubunge waliojitokeza ni wazaliwa wa Ruangwa, wana uwezo wa kuleta maendeleo. 3.Hatua yake ya kuacha ubunge wa Ruangwa imeongozwa na Mungu.
  9. Sir John Deere

    Waziri Mkuu majaliwa ilikuwa unaitega serikali. Umefanya uamuzi wa busara. Kila la heri baada ya kustaafu

    Sijakuelewa ulikua na nia gani ila baada ya leo kusema kuwa huna Nia ya kuendelea na ubunge katika Jimbo la ruangwa angalau nimekuelewa. Staafu na Heshima Yako kama unatamani sana kuendelea kuwatumikia watanzania kwa sasa chukua fomu ya Urais (ingawa ndio imeshapigwa block Tena kwenye chama)...
  10. Mikael Aweda

    GE2025 Hiki Kitendawili cha "WAZIRI Mkuu Majaliwa kutogombea Ubunge" Ili "kuwapisha Vijana", kitateguliwa mbele ya safari

    Mh. WAZIRI mkuu Bungeni alisema nitagombea Ubunge. Wiki mbili baadaye anasema "Nawaachia Vijana". Leo 02/07/2025 naomba kutangaza kwamba Mimi ninayo ndoto niliyoota usiku. Kwenye ndoto hiyo, nimeota kwamba "hiki ni Kitendawili" ambacho hakuna Mwana CCM anaweza kukitegua. Na Mimi nasema hiki...
  11. Z

    Pongezi nyingi sana kwa Waziri Mkuu Majaliwa kwa kung'atuka kwa heshima

    Hakika amefanya uamuzi sahihi kwa wakati sahihi. Ameng'atuka kwa heshima kubwa, daima tutaendelea kumheshimu kwa utumishi wake ulio tukuka sio tu kwa wana Ruangwa bali kwa Taifa lote kwa ujumla.
  12. W

    Waziri mkuu majaliwa azindua mitambo 10 ya uchorongaji kwa wachimbaji wadogo

    Katika mwendelezo hatua za Serikali kuendelea ya kuimarisha sekta ya wachimbaji wadogo nchini, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, amezindua rasmi mitambo 10 ya uchorongaji kwa ajili ya wachimbaji wadogo yenye thamani ya shilingi bilioni 12.41 iliyonunuliwa na...
  13. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Waziri Mkuu Majaliwa: Rais Samia wewe una mapenzi mema kwa nchi hii, na kwa Watanzania

    Mhe, Rais niliojitihada zako za kuratibu na kujenga miradi yote ulionza nayo na Hayati Magufuli, na uliniita ukaniambia tumeachana mzigo huu ni wetu sote pamoja na watanzania, ni lazima tutekeleza ili miradi hii kukamilika. Soma Pia: Uzinduzi wa Daraja la Magufuli (Kigongo-Busisi) - Juni 19...
  14. Just Pray

    Picha: Waziri Mkuu Majaliwa akutana na Waziri Mkuu wa Japan

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Japan, Ishiba Shigeru ambaye amemuhakikishia kuwa nchi hiyo itaendelea kuimarisha ushirikiano na Tanzania jambo ambalo linalenga kuchochea ukuaji wa uchumi kutokana na fursa zitakazoendelea kupatikana kupitia mahusiano hayo. Amekutana na...
  15. Waufukweni

    VIDEO: Waziri Mkuu Majaliwa akagua Uwanja wa Benjamin Mkapa, adai ''hatuingilii maamuzi ya TFF, CAF wala FIFA''

    Waziri Mkuu wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ametembelea na kukagua miundombinu ya Uwanja wa Benjamin William Mkapa ikiwepo Viti vipya vilivyofungwa na eneo la kuchezea (Pitch).
  16. Trainee

    Miongoni mwa wabunge wanaotakiwa kurudi bungeni Oktoba 2025 basi Waziri Mkuu Majaliwa ni wa kwanza!

    Nimeshasema mara kadhaa humu huyu mzee wa watu amefanya maajabu makubwa sana Ruangwa tofauti na waheshimiwa wengine kwenye maeneo yao. Mwenye macho haambiwi tazama WanaRuangwa nawakumbusha tu kwamba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ndiye mtu sahihi ambaye anatakiwa kutuwakilisha tena bungeni kwa...
  17. Waufukweni

    PreGE2025 Waziri Mkuu Majaliwa: Rais Samia hapaswi kupata shida sisi tukiwepo

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ametoa wito kwa Wananchi wa Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi na Watanzania kwa ujumla kuendeleza kauli ya kumuunga mkono Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa awamu nyingine ya uongozi, akisisitiza kuwa kauli ya "Mitano Tena kwa Dkt. Samia" inapaswa kutoka...
  18. Nandagala One

    Mbunge wa Busega umetumwa au umejigeuza CHAWA wa Waziri Mkuu Majaliwa ???

    Wana JF , Heshima kwenu!! Moja kwa moja kwenye mada, Leo katika Bunge alipokuwa anachangia hoja juu ya bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu ,Ndugu Simon Songe,umetumia muda mwingi kumsifia waziri Mkuu, huku ukiwataka wakazi wa Lindi mintarafu Ruangwa kumwamini Waziri Mkuu,ukirejea kuwa kaleta...
  19. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Waziri mkuu Majaliwa: "Serikali Yatumia Trilioni 1.49 Kununua Ndege 7 Katika Kipindi cha 2020–2025

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema katika kipindi cha Novemba, 2020 hadi Februari, 2025, Serikali ilitumia shilingi trilioni 1.49 kununua ndege saba ambapo ndege sita ni za abiria na ndege moja ni ya mizigo. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
  20. Waufukweni

    Waziri Mkuu Majaliwa: Pato la Taifa limekua kwa asilimia 5.5

    "Mwenendo wa viashiria vya uchumi na bajeti katika mwaka 2024/2025 umeendelea kuwa wa kuridhisha. Katika mwaka 2024, Pato halisi la Taifa lilikua kwa wastani wa asilimia 5.5 ikilinganishwa na asilimia 5.1 mwaka 2023. Ukuaji huo ulitokana na kuongezeka kwa uzalishaji wa umeme; uimarishaji wa...
Back
Top Bottom