wazi

Bug Juice is a Disney Channel reality series that premiered on February 28, 1998. The series focuses around 20 kids and their experiences at summer camp. Together, the kids work hard to excel in their activities and become friends. The phrase bug juice is a camping slang term for a very sweet juice drink made from powdered mixes, such as Kool-Aid, which are often served at summer camps.On August 4, 2017, Disney Channel announced a revival series based on the original, titled Bug Juice: My Adventures at Camp, which premiered on July 16, 2018.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa akamatwa na watu waliojitambulisha kama Polisi

    Muda mchache uliopita kavamiwa nyumbani kwake, polisi hawajasema wametoka kituo gani na haijajulikana anapelekwa wapi. Habari zaidi, soma: Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar, sasa kuchangia robo tatu ya bajeti ya nchi --- Kupitia mtandao...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ombi la wazi kwa Mheshimiwa Tundu Lisu

    Ni mfuatiliaji na mshabiki halisi wa Mheshimiwa Tundu Lisu, na namuhesabu kati ya wasomi waliosheheni elimu ya sheria. Ninachohitajia kwake ni kutumia hekima na busara amuombe radhi na msamaha Raisi Samia. Photos speaks thousands word.
  3. JamiiForums Tanzania An Open Letter to Her Excellency Dr. Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania

    Your Excellency, Dr. Samia Suluhu Hassan, the President of the United Republic of Tanzania, Assalam Alaykum. Greetings with utmost respect and honor. I sincerely hope that you and your family are in good health and high spirits. I offer my prayers for your well-being and success as you shoulder...
  4. JamiiForums Tanzania Sioni mantinki kulalamika katazo Plate Namba za 3D

    Naona watu wengi wanalalamika Jeshi la polisi kupiga marufuku plate namba za 3D. Katika hali ya kawaida na mtu yoyote mwelevu hawezi kimbilia kuweka namba za 3D, ili hali akitambua 1. Plate number zina viwango ambazo zimethibitishwa na TBS pia. 2. Plate number zenyewe bila kuwekewa 3D zile...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Wafahamu viumbe sita wanaolala jicho wazi

    Kulala huku macho yakiwa wazi huwasaidia wanyama kuwa macho dhidi ya hatari zinazoweza kutokea na kuwawezesha kujibu mapigo inapohitajika. Ni maisha ya kuvutia ambayo huwaruhusu kupata hitaji la kupumzika na hitaji la usalama katika eneo lao. Hawa ni baadhi ya wanyama ambao hulala jicho moja...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe aendesha zoezi la kupiga kura ya wazi juu ya hoja ya Bandari akiwa Nyehunge Geita

    Baada ya zoezi Hilo la kupiga kura ya WAZI, Matokeo ni kuwa, Wananchi wote wameazimia Kwa pamoja kuwa Bandari zetu haziuzwi, hazikodishwi Wala kugawiwa Bure. Pia wananchi wameweka mikono kichwani na kupiga ukunga/nduru na kulia uwi! Hii ni Ishara kuwa, wananchi wanachukizwa na jaribio lenye...
  7. JamiiForums Tanzania Elon Musk is a croock freemason ushahidi umewekwa wazi the code X is debunked

    Huyu tajiri ni freemason au freemanga anapenda kula vya bure. Baada ya kubadilisha jina kutoka twitter mpaka X nia na lengo la imani yake imesha julikakana. Ndugu zangu duniani kuna mitandao mingi mfano mjusi mark ameanzisha mtandao unaitwa threads ambayo chata yake ni 666. Hii hapa. Pia huyu...
  8. JamiiForums Tanzania Mipango miji: Sehemu za wazi kufanyia mazoezi hasa calisthenics zipo wapi?

    Habari wana JF Juzijuzi tu tumesikia taarifa mbaya ya watu kugongwa na gari wakiw wanafanya mazoezi barabarani. Maoni ya wadau yakawa mengi mbalimbali. Mi nina swali kwa wapangao miji. Kutokana na ongezeko la urahisi wa kazi maofisini. Watu wengi zaidi wanaingia kwenye kutakiwa kufanya...
  9. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri wa Afya Ummy Mwalimu uliyekurupuka kuhusu Bima ya Afya

    Ummy mwalimu. Nianze kwa masikitiko makubwa ya kile kinachoendelea kwenye mahospitali, vituo vya afya na zahanati imma na binafsi. Ummy (MB) na waziri umepewa dhamana lakini hujui msuguano uliosababisha. Wachangiaji na familia zetu typo kwenye mkwamo tusiostahili. Huduma ya afya Kwa kadi za...
  10. JamiiForums Tanzania Ni Kweli tumekosa Wahariri wakutuonesha ata mapungufu ya wazi katika IGA ya Tanzania na DP World?

    Moja ya kitu cha wazi ni pale wataalamu wakina PHD Johari wanasema si bandari zote ila ni Bandari ya Dar es Salaam pekee! Hivi ni kweli waandishi wa habari wote Tanzania hawajasoma Headline ya IGA? hawakuelewa? walishindwa ata kuona ufafanuzi wanautoa upande wa Serikali una warakini? Tumepewa...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Habari ya Kenya na waarabu sio justification

    Rais wa Kenya, William Ruto leo Jumamosi ametangaza kuwa amefanya mazungumzo Ikulu ya Nairobi na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Sheikh Shakhboot bin Nahyan Al Nahyan, kujadili fursa za uwekezaji nchini humo.
  12. JamiiForums Tanzania Vunjabei alikuwa na nafuu ila huyu Sandaland ni hovyo

    Jezi zimekosa ubunifu, ningekuwa na mamlaka ningemuweka ndani huyu Sandaland. Bure kabisaaaa
  13. JamiiForums Tanzania SoC03 Maeneo ya Wazi na ya Umma Mijini na Vijijini Yalindwe

    Utangulizi Kimsingi, maeneo yote ya wazi ni ya umma. Ni maeneo yaliyotengwa na serikali kwa ajili ya shughuli za kijamii na hata kiserikali. Maeneo haya sii lazima yawe tupu; ni maeneo yasiyokuwa na majengo ya aidha makazi au ya shughuli nyingine za kibiashara. Maeneo haya ni pamoja na viwanja...
  14. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Barua Ya wazi kwake Waziri wa Uwekezaji Kitila Mkumbo

    Tanzania na Uwekezaji Barua ya wazi kwa Mhe Kitila Mkumbo, Waziri wa Ofisi ya Rais Uwekezaji na Mipango Mhe Kitila, Hongera kwa uteuzi wako kuongoza Wizara hii muhimu. Umepata ubatizo wa moto na sio mafuta kufuatia “ishu” ya uwekezaji kwenye Bandari na Seikali ya Dubai. Nionavyo malumbano...
  15. JamiiForums Tanzania CHADEMA: 'Tulipiga Kura za Wazi kwasababu Kulikuwa na dalili za Rushwa'

    Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Chadema, Ruth Mollel amesema katika mkutano wa baraza kuu uliofanyika Mei 11 mwaka jana, walilazimika kupiga kura za wazi kwa kuwa kulikuwa na dalili za rushwa. Mollel alieleza hayo jana wakati akihojiwa maswali ya dodoso na Wakili Ipilinga Panya katika kesi ya...
  16. JamiiForums Tanzania Wekeni mambo wazi, ujenzi wa Ikulu Chamwino ni kazi nzuri ya hayati Magufuli, angekuwepo hata bandari ingeendelezwa na JKT bila DP World

    Miundo mbinu ya bandari ni cranes, na kuwa na gati za kisasa. Hili halihitaji mwarabu kupewa kwa nguvu hata JKT wangepata utalaamu kutoka China wqngefunga cranes za kisasa na kuwezesha ufanisi. Hii ya Ikulu Chamwino msitie Chumvi za uongo aliyepambana ni hayati. Vinginevyo wangejenga hata...
  17. JamiiForums Tanzania Naona wazi kabisa kukiwa na nchi ya Tanganyika Demokrasia itakuwa ni ndogo sana, nchi itaongozwa kimuseveni kwa mabavu zaidi

    Mzanibari pamoja na makando kando yake ila akiingia huwa kuna unafuu katika demokrwasia (hatujawai kuwa na demokrasia kamili) Tunapotoka kwenye awamu za uminyaji wa demokrasia basi mzanzibari akiingia ndio tunapata nafuu ya demokrasia kuanzia uhuru wa kutoa maoni, Vyama vya upinzani hupewa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Kwa haya ya bandari, ni wazi serikali Tatu ni muhimu

    Kungelikuwa na serikali tatu, taabu yote hii isingelitokea. Kwa haya sasa serikali tatu ni LAZIMA. 1. Zanzibar wawe na vyao, 2. Tanganyika tue na vyetu na 3. vya Muungano viainishwe!
  19. JamiiForums Tanzania Uhuru wa maoni uwe na mipaka. Kinachoendelea sasa hivi Tanzania ni uchokozi

    Hakuna shaka yoyote, kwa sasa hivi tunaona Watanzania wengi, wanaojiita wasomi, wanaojiita mawakili wakitowa maoni yao kwa lugha ambazo ni za kuudhi, kukebehi, kukejeli mpaka kutusi. Haya yanayoendelea si maoni tena bali ni uvunjifu wa amani uliokusudiwa. Uhuru wa maoni ni lazima uwe na mipaka...
  20. JamiiForums Tanzania MoU zote 30 zilizosainiwa Dubai ziwekwe wazi Watanganyika wazisome,tusije kulala uchi kwa Mwarabu.

    Uaminifu umepungua kabisa kwa huyu Mama,na inawezekana amesaini mabaya zaidi,hivyo basi kabla ya kuendelea mbele MoU zote zilizosainiwa Dubai ziwekwe wazi, inawezekana tumeuzwa kama mbuzi ndani ya gunia.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…