Sioni mantinki kulalamika katazo Plate Namba za 3D

gango2

JF-Expert Member
Aug 31, 2011
1,942
2,251
Naona watu wengi wanalalamika Jeshi la polisi kupiga marufuku plate namba za 3D. Katika hali ya kawaida na mtu yoyote mwelevu hawezi kimbilia kuweka namba za 3D, ili hali akitambua

1. Plate number zina viwango ambazo zimethibitishwa na TBS pia.

2. Plate number zenyewe bila kuwekewa 3D zile namba zimevimba.

3. Katika maeneo kadhaa, lazima ziwe AUTO-DETECTED zikipita kwenye mifumo kadhaa.

4. Wanaotengeneza hizi 3D ni watu ambao wako mitaani tu, ambao wengine hatujui material wanazotumia.

Mawazo huru

Pia soma:
Kamata kamata tinted taa za Magari
 
picha tafadhali hatuzijui wengine
 
Bila Picha hii thread haina maana yeyote.
 
Attachments

  • 3d-pic.jpg
    3d-pic.jpg
    50.3 KB · Views: 21
Founders wa 3D number plates hawakupita kwenye taratibu na vibali vyote ?

Kama wali amka tu na kuanza Biashara hilo ni Tatizo
 
Watanzania wengi wamekurupuka kuweka 3D lakini kitu ambacho hawafahamu ni kwamba plate number ni zaidi ya maandishi meusi yanayosomeka...

Kwa kawaida rangi inayotumika kuandika kwenye plate namba ni Reflective, hivyo hata wakati wa usiku inasomeka na camera ina uwezo wa kuinasa vizuri...

Na zimetengenezwa kwa viwango vya kimataifa ISO ( International Organization for Standardization) hapa TRA na Polisi siyo wanaoamua plate number za gari ziwe vipi..bali ni kwa kuzingatia kanuni za viwango kimataifa..

Sasa unakuta mtu kaweka 3D camera za usalama barabarani hazinasi kitu kwa maana plate number zimetengenezwa kwa namna ambayo hata gari ikiwa kwenye mwendo camera za usalama barabarani zinaweza kunasa namba...

Pia ni rahisi wahalifu wakatumia kwa ajili ya uhalifu

Mfano gari ni DPL unakuta hiyo P inabandikwa 3D inaonekana kama B au namba 3 inabandikwa na kuwa 8 .....

Gari lako kama ni zuri ni zuri tu au kama ni bovu kuweka au kutokuweka 3D hakubadilishi chochote
Ni ushamba vitu vingine.
 
Naona watu wengi wanalalamika Jeshi la polisi kupiga marufuku plate namba za 3D. Katika hali ya kawaida na mtu yoyote mwelevu hawezi kimbilia kuweka namba za 3D, ili hali akitambua

1. Plate number zina viwango ambazo zimethibitishwa na TBS pia.

2. Plate number zenyewe bila kuwekewa 3D zile namba zimevimba.

3. Katika maeneo kadhaa, lazima ziwe AUTO-DETECTED zikipita kwenye mifumo kadhaa.

4. Wanaotengeneza hizi 3D ni watu ambao wako mitaani tu, ambao wengine hatujui material wanazotumia.

Mawazo huru

Pia soma:
Kamata kamata tinted taa za Magari
Wewe na hao polisi wote hamna logical reason kwenye hili, mmekurupuka.
Naomba nijibu hoja zako kama ifuatavyo;

1. Suala kama ni issue viwango vinavyokubalika na TBS, kwa nn polisi ndo wazungunzie technicalities za taasisi nyingine, nilidhani mwenye kusema 3D Number plate hazina viwango ni TBS na si Polisi. Lkn hata kama kuna viwango vinatakiwa basi TBS wangeshauri aidha kupunguza au kuongeza textures, reflects na any material or makeup standards (ISO Compliance)kwenye utengenezaji wa hizo number plate. Dunia inabadilika, polisi wakumbuke innovations ndio unakimbiza dunia kwa sasa.

2. Kuvumba kwa number plate za kawaida ni tofauti na hizi za 3D hata hvyo kimwonekano bado 3D zinaonekana zaidi kwa maana ya visualisation!

3. Maeneo unayozunguzia ni yale ambayo ni automated na machine au device ambazo naamini zimetengenezwa sio ku suite number plate katika namna pana zaidi. Mimi nimefunga hiyo 3D lkn kwenye ile camera ya kukamata madeni nilishawahi kamatwa kwa maana kwamba ioe camera ilinasa kwamba kuna deni sija clear, Daraja la Kigamboni pia napita daily na nalipa kwa mwezi so pale nikifika Camera ina captur3 namba na kuni-realise.

4. Ni sawa wanaotengeneza ni watu wa kawaida lkn wanatumia mitambo na machine nyingine ambazo hata kama ni polisi, TBS au taasisi yyt mfano Masasi Sign writters wangetumia.

Conl:
Mimi nafikiri polisi wafanye kazi kisasa wawe na logical kwenye makatazo ambayo wanayatoa, kwa jambo kama hili nadhani wangeonesha hata ku-promote innovation kama hzo, lkn pia kama wanadhani ni so lavishly basi wa-introduce hata kodi ya sh 5K kwa mtu anayetaka aweke 3D number plate angalau tungeona wamefocus kuongeza mapato kwa serikali!
 
ni ulimbukeni tu na ushamba kwa waliochonga hayo ma 3D.. mbona za tbs zipo vzr tu
 
Tatizo lako una lalamika lalamika sana ,nakushauri jifunze kutoa ushauri
 
Kibaya zaidi text hazihusiani na reflectivity, zaid ya plate which is standard
 
Ni rahisi kubandua na kubandika namba tofauti!! Hivyo wahalifu wanaweza pitia humo! Ni mawazo yangu tuu
 
Wewe na hao polisi wote hamna logical reason kwenye hili, mmekurupuka.
Naomba nijibu hoja zako kama ifuatavyo;

1. Suala kama ni issue viwango vinavyokubalika na TBS, kwa nn polisi ndo wazungunzie technicalities za taasisi nyingine, nilidhani mwenye kusema 3D Number plate hazina viwango ni TBS na si Polisi. Lkn hata kama kuna viwango vinatakiwa basi TBS wangeshauri aidha kupunguza au kuongeza textures, reflects na any material or makeup standards (ISO Compliance)kwenye utengenezaji wa hizo number plate. Dunia inabadilika, polisi wakumbuke innovations ndio unakimbiza dunia kwa sasa.

2. Kuvumba kwa number plate za kawaida ni tofauti na hizi za 3D hata hvyo kimwonekano bado 3D zinaonekana zaidi kwa maana ya visualisation!

3. Maeneo unayozunguzia ni yale ambayo ni automated na machine au device ambazo naamini zimetengenezwa sio ku suite number plate katika namna pana zaidi. Mimi nimefunga hiyo 3D lkn kwenye ile camera ya kukamata madeni nilishawahi kamatwa kwa maana kwamba ioe camera ilinasa kwamba kuna deni sija clear, Daraja la Kigamboni pia napita daily na nalipa kwa mwezi so pale nikifika Camera ina captur3 namba na kuni-realise.

4. Ni sawa wanaotengeneza ni watu wa kawaida lkn wanatumia mitambo na machine nyingine ambazo hata kama ni polisi, TBS au taasisi yyt mfano Masasi Sign writters wangetumia.

Conl:
Mimi nafikiri polisi wafanye kazi kisasa wawe na logical kwenye makatazo ambayo wanayatoa, kwa jambo kama hili nadhani wangeonesha hata ku-promote innovation kama hzo, lkn pia kama wanadhani ni so lavishly basi wa-introduce hata kodi ya sh 5K kwa mtu anayetaka aweke 3D number plate angalau tungeona wamefocus kuongeza mapato kwa serikali!
Nchi haiwezi endeshwa hovyo hovyo kila mtu anajiamulia plate namba yake, mara wengine 2d, wengine 3d, inajulikana kuna plate number private za majina nazo haziandikwi kwa 3d, nani aliyetoa kibali kuwe na 3d? Ni nchi gani Duniani kila mmoja anajiamulia tuu aina ya plate number?. Za kenya ni mbaya ila umeshaona wakibadili maandishi hovyo hovyo kila mtu ili zionekane eti nzuri?
 
Watanzania wengi wamekurupuka kuweka 3D lakini kitu ambacho hawafahamu ni kwamba plate number ni zaidi ya maandishi meusi yanayosomeka...

Kwa kawaida rangi inayotumika kuandika kwenye plate namba ni Reflective, hivyo hata wakati wa usiku inasomeka na camera ina uwezo wa kuinasa vizuri...

Na zimetengenezwa kwa viwango vya kimataifa ISO ( International Organization for Standardization) hapa TRA na Polisi siyo wanaoamua plate number za gari ziwe vipi..bali ni kwa kuzingatia kanuni za viwango kimataifa..

Sasa unakuta mtu kaweka 3D camera za usalama barabarani hazinasi kitu kwa maana plate number zimetengenezwa kwa namna ambayo hata gari ikiwa kwenye mwendo camera za usalama barabarani zinaweza kunasa namba...

Pia ni rahisi wahalifu wakatumia kwa ajili ya uhalifu

Mfano gari ni DPL unakuta hiyo P inabandikwa 3D inaonekana kama B au namba 3 inabandikwa na kuwa 8 .....

Gari lako kama ni zuri ni zuri tu au kama ni bovu kuweka au kutokuweka 3D hakubadilishi chochote
Ni ushamba vitu vingine.
Nimekuelewa vzr Sana may hazikidhi viwango bas wapigwe marufuku tu mm mwenyee ccpendi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom