Kwa haya ya bandari, ni wazi serikali Tatu ni muhimu

Serikali tatu haziepukiki, tume ya jaji Nyalali na Tume ya Jaji Warioba zote zilithibitisha,
 
Kwa sasa hii sintofahamu iko hivi : Tanzania= zanzibar +jamhuri wa muungano ya Tanzania🙆🙆🙆 hata mwendawazimu anashangaa
 
Ni haki yetu watanganyika kuwa na taifa letu, tuhakikishe tunaliweka juu litambulike kimataifa.
 
Back
Top Bottom