Mbowe aendesha zoezi la kupiga kura ya wazi juu ya hoja ya Bandari akiwa Nyehunge Geita

Rabbon

JF-Expert Member
Apr 16, 2022
15,160
22,665
Baada ya zoezi Hilo la kupiga kura ya WAZI,

Matokeo ni kuwa,

Wananchi wote wameazimia Kwa pamoja kuwa Bandari zetu haziuzwi, hazikodishwi Wala kugawiwa Bure.

Pia wananchi wameweka mikono kichwani na kupiga ukunga/nduru na kulia uwi!

Hii ni Ishara kuwa, wananchi wanachukizwa na jaribio lenye Nia Ovu kuuza bandari zetu.

Ikiwa zoezi hili la upigaji wa kura za WAZI litaendelea Nchi nzima, ni dhahiri tutakuwa tumepata mbadala wa kura za Siri ambazo zimekuwa zikichakachuliwa.

Ushauri; 2024/2025 wananchi tupige kura ya WAZI mabarabarani na Viwanjani Ili kuhakikisha Nchi yetu inarudi mikononi mwetu Kutoka kundi dogo lenye Nia Ovu!!!

Mungu ibariki TANZANIA.

Amen
 
Baada ya zoezi Hilo la kupiga kura ya WAZI,

Matokeo ni kuwa,

Wananchi wote wameazimia Kwa pamoja kuwa Bandari zetu haziuzwi, hazikodishwi Wala kugawiwa Bure.

Pia wananchi wameweka mikono kichwani na kupiga ukunga/nduru na kulia uwiiiiiiiiiiiii!!!!!

Hii ni Ishara kuwa, wananchi wanachukizwa na jaribio lenye Nia Ovu kuuza bandari zetu.

Ikiwa zoezi hili la upigaji wa kura za WAZI litaendelea Nchi nzima, ni dhahiri tutakuwa tumepata mbadala wa kura za Siri ambazo zimekuwa zikichakachuliwa.

Ushauri; 2024/2025 wananchi tupige kura ya WAZI mabarabarani na Viwanjani Ili kuhakikisha Nchi yetu inarudi mikononi mwetu Kutoka kundi dogo lenye Nia Ovu!!!

Mungu ibariki TANZANIA.

Amen
Video ya tukio kusindikiza Uzi please
 
Kura za mabarabarani na Viwanjani Tume ya nini?
Mimi nashauri turudi kwenye utaratibu wa kura ya mlolongo! Yaani! Mgombea anasimama mbele,wanaompigia kura wanasimama nyuma yake na kuhesabiwa😀Hawa fisiem wamezoea kutuibia sana kupitia makaratasi. Hii itakuwa bonge la kura ya wazi!
 
😅😅😅
 
Naunga mkono HOJA 🙏🙏

Sanduku la kura liliibwa 2020 na halijapatikana,

Kura ya WAZI Viwanjani na mabarabarani ni mbadala sahihi kabisa.
 
Back
Top Bottom