Elon Musk is a croock freemason ushahidi umewekwa wazi the code X is debunked

badison

JF-Expert Member
May 29, 2015
1,450
2,702
Huyu tajiri ni freemason au freemanga anapenda kula vya bure.

Baada ya kubadilisha jina kutoka twitter mpaka X nia na lengo la imani yake imesha julikakana.

Ndugu zangu duniani kuna mitandao mingi mfano mjusi mark ameanzisha mtandao unaitwa threads ambayo chata yake ni 666. Hii hapa. Pia huyu jamaa tajiri elon musk nae kaja na ukweli wote kwamba taasisi ya wanga na wachawi inamiliki pia mtandao wa X. Chata yao hii hapa. Ushauri wangu jikite mbali sana na hii mitandao ya kijamii na pia epuka kutumia majina yako halisi,tarehe halisi ya kuzaliwa pamoja na mwaka utanishukuru kumbuka usiweke picha zako wewe na familia yako pia. Hawa watu wanajua kila kitu.

Kama wewe unafuatilia mitandao hii ni kawaida yako kuota ndoto za watu maarufu kama Wanasiasa na wasanii. Hizo siyo ndoto nzur. Ukiota msanii au mwanasiasa mara nyingi sana jua nyota yako ipo hatarini.

Epuka mitandao ya kijamii tumia kwa akili usiwele taarifa zako za kweli mfano email au namba ya simu zitowe huko anza upya na fekelo lako utanishukuru.

Alama hizi za dini ya freemason zilizotumiwa hapa ni kwa manufaaa ya jamii basi mimi sina lengo la kumtoa mtu kwenye hiyo mitandao. Siku hizi ukimponda mtuaarufu anakufata hadi ndotoni ukiwa umelala.

Screenshot_2023-07-07-12-33-47-647_com.twitter.android.jpg
Screenshot_2023-07-31-20-32-13-307_com.twitter.android.jpg
 
Kwa level za utajiri wake yuko kwenye daraja sahihi la The Masons.. Daraja la utukufu wa dunia.. Amevuka vile viwango vya kukemewa mapepo na kwenda kanisani siku ya ibada

Hana tofauti na Mfalme Suleiman baada ya kutunukiwa utajiri na Mwenyezi Mungu akajitaafutia mapepo 72 ya kumlinda

Elon Musk kwasasa yuko eneo salama zaidi la Freemason, sisi acha tuendelee na akina mwamposa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu tajiri ni freemason au freemanga anapenda kula vya bure.

Baada ya kubadilisha jina kutoka twitter mpaka X nia na lengo la imani yake imesha julikakana...

freemason ni nini hasa

Freemasonry is fundamentally a self-improvement, volunteer association that teaches moral, intellectual, and spiritual lessons through three initiation ceremonies. Freemasonry's three degree are modeled after a craftsman's progress: Apprentice, Fellowcraft, and Master Mason.

Huyu tajiri ni freemason au freemanga anapenda kula vya bure.

Baada ya kubadilisha jina kutoka twitter mpaka X nia na lengo la imani yake imesha julikakana.

Ndugu zangu duniani kuna mitandao mingi mfano mjusi mark ameanzisha mtandao unaitwa threads ambayo chata yake ni 666. Hii hapa. Pia huyu jamaa tajiri elon musk nae kaja na ukweli wote kwamba taasisi ya wanga na wachawi inamiliki pia mtandao wa X. Chata yao hii hapa. Ushauri wangu jikite mbali sana na hii mitandao ya kijamii na pia epuka kutumia majina yako halisi,tarehe halisi ya kuzaliwa pamoja na mwaka utanishukuru kumbuka usiweke picha zako wewe na familia yako pia. Hawa watu wanajua kila kitu.

Kama wewe unafuatilia mitandao hii ni kawaida yako kuota ndoto za watu maarufu kama Wanasiasa na wasanii. Hizo siyo ndoto nzur. Ukiota msanii au mwanasiasa mara nyingi sana jua nyota yako ipo hatarini.

Epuka mitandao ya kijamii tumia kwa akili usiwele taarifa zako za kweli mfano email au namba ya simu zitowe huko anza upya na fekelo lako utanishukuru.

Alama hizi za dini ya freemason zilizotumiwa hapa ni kwa manufaaa ya jamii basi mimi sina lengo la kumtoa mtu kwenye hiyo mitandao. Siku hizi ukimponda mtuaarufu anakufata hadi ndotoni ukiwa umelala.
badison

b - 2
a - 1
d - 4
i - 9
s - 19
o - 15
n - 14

2+1+4+9+19+15+14=62

62×1+604+0 = 666
Wewe pia ni freemason ndugu😫
 
Back
Top Bottom