wazazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wazazi wasioweza kulipa ada ya shule za msingi na sekondari Tanzania, wanapata wapi uwezo wa kulipa mamilioni ya ada za vyuo vikuu?

    Wanajamvi habari za mapumziko. Nikiri kwamba mimi nilisoma Mlimani, naumia sana nikisikia serikali hii inayonunua mindege inashindwa kuwakopesha wanafunzi kwa wakati. Nikiri kwamba nilikuwepo na niligoma na kuandamana haswa pale mwaka 2004, serikali ya srlikali ya CCM chini ya Mzee Mkapa...
  2. JamiiForums Tanzania Wazazi wadaiwa kukingia kifua watuhumiwa ubakaji

    Wakati vitendo vya ubakaji na ulawiti vikiongezeka mkoani wa Dar es Salaam kwa kipindi cha miezi 10 ndani ya miaka miwili, wadau akiwamo Mkuu wa Wilaya Kigamboni, Sarah Msafiri, wameeleza tatizo la wazazi kuwakingia kifua watuhumiwa. Takwimu zinaonyesha katika kipindi cha miezi 10, mwaka jana...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya wazazi hawapendi watoto wao kuoa 'single mother'?

    Habari zenu wadau, Leo nimejitokeza kidogo kwa Mara ya kwanza nilikuwa na swali ambalo ningependa ku share nanyi na nipate maoni yenu. Eti ni kwanini wazazi hawapendi mtoto wao (wakiume) waoe mwanamke aliyekwisha kuwa na mtoto (single mother)
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…