Wale wanaorudia mitihani ya Kidato cha 4, wanaohitaji kufanya mitihani ya QT, wale waliofeli mitihani ya kidato cha 2 pitieni hapa

hongera sana pia umeonyesha moyo wa kuwasaidia wenzetu wenye malengo ya kufika mbali ki elimu.

mimi zaman niliichukia sana shule baada ya kufeli ila siku zilizidi kusogea nilijipa moyo na kurudi shule na kupata matokeo mazuri sana.

kwa kupitia bandiko lako hili naamini yupo mtu anakuja kufaidika kwa kupitia mawazo yako.

Mungu akubariki sana ndg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom