Umewahi kufumaniwa na wazazi wako ukisaka papuchi?

jogijo

JF-Expert Member
Mar 29, 2019
260
490
Ndugu, poleni na hekaheka za kupambana na huyu kiumbe Corona.

Niende moja kwa moja kwenye mada, nikita form two miaka ileeeee, kulikua na jamama tumezoeana sana kiasi kwamba ilikua lazima tukae tupige story kila siku jioni. Huyu mama alikua mke wa mtu japo walikua wametengana na mumewe ambae nilikua nafahamiana nae.
Niseme ukweli yule mama nilijikuta naanza kumkula na ndio mwanamke alienifungulia dimba la mapenzi hadi sasa. Yule mwanamke alikua mtam sana, na alikua akivaa shanga kiunoni zilizokua zikimpa munkali wakati wa gegedo pale unapozichezea.

Siku moja nikiwa na miadi nae Kua saa tano usiku niende baada ya mumewe kuondoka, nilienda home nikala nikajifanya naenda kujisomea ndani(geto) ili wazazi wakisinzia mimi nitoke. Baada ya mda niliona pamekua kimya sana nje na hivo kudhani kuwa walikua tayar wamelala, nilitoka kwa kunyata na nilivoona viatu (kandambili) vinapiga kelele nikaamua kuzishika mkononi. Wakati natoka kumbe Wazeee wananiona tu kupitia dirishani.

Nilienda nikagonga mlango mama wa watu akafungua mlango na nikazama na kuanza shughuli na nilipomaliza nikamshukuru na kurudi home. Ile naingia tu geto nikakuta mzee kajilaza kwenye kitanda changu.. daaah ilikua Aibu sana, maana aliniambia pia kanifuatilia hadi naingia chumba cha yule mama.
kesho yake asubuhi bi mkubwa kanisimulia kisa chote hadi wakati nakumbatia kandambili zangu. ilikua ni fedheha kwangu.
nimekumbuka kisa hiki nikajikuta nacheka mwenyewe...

NB: Hii dhambi nilishaitubu na naamini Mungu alishanisamehe maana na mm nimeoa sasa na naona wivu sana kuchukuliwa mke wangu.
 
Kitambo sana siri ilivuja home natafuna mtoto wa jirani, basi ikawa nataniwa yaani ile noma hadi washua wakajua... tangu hapo sinaga ujasiri kujadili mambo hizo na mtu yeyote.

Siwezi kushirikisha mtu yeyote, sio ndugu wala mshkaji.... ni kimya kimya tu.
 
Nilitoka nikaenda kwa manzi kitandani nikatengeneza shape ya mtu kwa kutumia nguo na kumfunika vizuri then nikatoka milango sija lock target yangu nirudi saa kumi hiv
Kurudi milango ipo locked kuchungulia dirishani mtu wangu kavurugwa kitandani daah
Asubuhi siangalii mtu usoni mama akanambia baba aliota nimeumwa nimekimbilia hospitali mwenyew ndo akaamua kuja kunichek
 
hamjui tu huwa ni faraja sana kwa wazazi wenu,kuliko kuwa kimyaaa au story kuwa kinyume chake.


binafsi kuna demu alikuja kuishi home,yeye alikuwa anasomea chuo cha ualimu,mimi nikiwa form two b kipindi hicho.huyu dada yeye alikuwa ni mpwa wa mama yangu wa kambo,ni mmeru mtoto mmoja mzuri si kawaida.alikuwa akija home kipindi wamefunga chuo,anakutana na mnyabi namimi shule imefungwa.

basi siku moja ikawa kama bahati mbaya tu,tumekaa kwenye kochi tunaangalia tv amelala kichwa kakiweka kwenye paja langu,nimemshika nywele,ghafla faza akaingia akitokea kazini akakuta ile situation akakausha akapitiliza chumbani,tuakaa vizuri.

tetesi za chini chini zikaanza kwamba tunapashana,ila shahidi ni faza bimkubwa hataki maana anaamini tumeachana umri siwezi,isitoshe dogo anajiheshimu sana,basi siku moja,
asubuhi nikaamka naumwa kabisaa nikaomba kutokwenda kokote niende hospitali,kulikuwa na trip ya kwenda shamba somewhere,huyu dada nayeye bila kujua kumbe kaomba udhuru kwa bimkubwa tokea jana yake usiku kwamba siku hiyo anaomba abaki kuna mishe za chuoni kwao apitie.hapa ndio bimkubwa akili ikamkaa sawa,kwamba kuna mchezo unachezwa,kumbe hata wahusika hatujui kama tunabaki wawili home siku hiyo.mimi nikaenda zangu hospital nikatibiwa nikarudi nakuta demu yupo home,aisee homa ikakata jamaa yangu.

faza anarudi saa saba naona jicho analoniangalia sio kabisaa,maza nayeye karudi hana amani kabisa anajua tumetoana hamu vilivyo,but kiukweli sikufanya chochote.ila baada ya lile tukio niliona mzee ameongeza sana utani na mimi,na bimkubwa akawa ananitania sana pia.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom