wazazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mauno mkeo watoto: Uswahilini na maadili

    Kwa wale ambao hawajui maisha ya uswahilini, kuna vigoma vingi Sana watu wanapita wakiwa Na Madera (ndani chupi hakuna) wanacheza Na kujifunua uchi uchi. Kuna siku nilipita nikaona uchi Wa Malaya wanacheza aisee walikuwa uchi wa mnyama, zile nuksi nilizozipata mana nilikoswakoswa na magari...
  2. Fahamu kuhusu Bullying na jinsi wazazi wanavyochangia kutokea kwa unyanyasaji huu unaowaathiri sana watoto wawapo shuleni

    Bullying ni aina ya Unyanyasaji unaoweza kufafanuliwa kama shambulio la kisaikolojia, kimwili au vitisho ambalo hulenga kusababisha woga, mawazo au kumdhuru mwathirika. Bullying inapofanyika mashuleni huwa katika mazingira ambapo mwanafunzi hujikuta katika unyanyasaji wa kimfumo (pamoja na wigo...
  3. Kwa hasara ambayo huyu mtoto ameniingizia: Nashauri Sheria itungwe iwe ni shuruti watoto kusaidia Wazazi uzeeni

    Ameangusha Laptop na kuua harddisk na kupoteza data zote. Nikaiweka mbali, amedandia na kukwea kabati na kuiangusha kupasua kioo slim laptop. Amedumbukiza simu ya mama yake kwenye ndoo ya maji. Ameshapasua simu nyingine kama mbili (anavizia ukijisahau tu). Amechana Macover ya vitabu vyangu na...
  4. Kati ya watoto wakike na wakiume, Ni watoto gani hukumbuka kuwatunza wazazi wao ?

    Salaam wapenzi wa jukwaa hili bora, katika jamii kumekuwa na minong'ono kuwa watoto wakike hukumbuka nyumbani na kulipa fadhila kwa wazazi wao pindi wanapozeeka au kuwa na uhitaji, watoto wa kiume nao hujitutumua kuwa tuhuma hizo si za kweli! Kwa wote tupo katika jamii na tunaona, je msimamo na...
  5. J

    Makonda: Kufikia tarehe 01/03/2020 wanafunzi wote wa sekondari watakaa madarasani kila mmoja na dawati lake, wazazi hawatachangishwa!

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh Makonda amesema jiji la Dar es Salaam lina upungufu wa madarasa 381 baada ya wanafunzi wengi kufaulu. Hivyo mkoa utakamilisha ujenzi wa madarasa hayo kufikia tarehe 28/02/2020 na mnamo tarehe 01/03/2020 kila mwanafunzi atasomea darasani akiwa na kiti na meza...
  6. Wazazi msiwapangie au kuwatafutia wachumba watoto wenu

    Wazazi msiwapangie au kuwatafutia wachumba watoto wenu. Kuna rafiki yangu mmoja tumeshibana sana.Tangu shule ya msingi mpaka sasa hivi nywele zinakaribia kubadilika rangi. Baada tu ya kuhitimu chuo kwa upande wangu nilitafuta mke anayeendana na mahitaji yangu,kuanzia muonekano n.k na kuishi...
  7. Wazazi 17,000 kuanza kusakwa watoto kukacha kidato cha kwanza

    Serikali ya Mkoa wa Mtwara imesema itaanza kuwasaka wazazi ambao watoto wao wameshindwa kuripoti shuleni kuanza kidato cha kwanza mwaka huu. Wanafunzi hao wa kidato cha kwanza wameshindwa kuripoti shuleni, huku idadi ya waliofaulu ni zaidi ya 20,000, hivyo serikali kuagiza wazazi wote waliogoma...
  8. Mtoto kuwashitaki mahakamani wazazi wake kwa kumzaa bila ridhaa yake

    Kijana mmoja Uingereza anakusudia kuwashitaki wazazi wake. Hoja yake ya msingi ni kwanini walimleta kwenye hii dunia yenye shida na mateso kwa starehe zao? Wao kwa starehe zao za mapenzi kwanini wamlete duniani? Nadhani wazazi wana kesi ya kujibu!
  9. Matokeo yule binti aliefiwa na wazazi wote(Anna Zambi)

    Salam wakuu, hivi yule binti aliepoteza wazazi na wadogo zake kwa ajali alipokua akijiandaa na mitihani ya kidato cha nne, nani anajua matokeo yake alifaulu? ==== Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Wazazi wamuua mwalimu kutokana na shule yake kutoa matokeo mabaya

    Washukiwa wawili wamekamatwa baada ya kukashifiwa kwa kumuua mwalimu wa shule ya msingi kaunti ya Kitui Wawili hao wanazuiliwa huku uchunguzi ukifanywa dhidi yao Wambua Mwangangi na Chris Kyalo Muli wanasemekana kumuua mwalimu huyo baada ya shule yake kutoa matokeo mabaya katika mtihani wa...
  11. Joe Kangaroo aliokolewa katika moto huko Australia

    Joe ana majeraha machache lakini amepoteza wazazi wote wawili. Sasa hivi amelazwa kwa ni mgonjwa wa kulazwa kwa daktari wa wanyama.
  12. Inasemekana mtoto kaibiwa Dar. Kama unamfahamu huyu mtoto wajulishe wazazi wake, yupo Nzega

    Mwanamke huyu katika picha amekutwa na mtoto mdogo, katika picha, uchunguzi wa awali unaonyesha mwanamke huyu ana tatizo la akili. Awali alikuwa anasafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Mwanza na baada ya kufika Nzega mtoto huyo katika picha aliugua na kulazwa hospital ya wilaya ya Nzega, ndipo...
  13. Wazazi wasioweza kulipa ada ya shule za msingi na sekondari Tanzania, wanapata wapi uwezo wa kulipa mamilioni ya ada za vyuo vikuu?

    Wanajamvi habari za mapumziko. Nikiri kwamba mimi nilisoma Mlimani, naumia sana nikisikia serikali hii inayonunua mindege inashindwa kuwakopesha wanafunzi kwa wakati. Nikiri kwamba nilikuwepo na niligoma na kuandamana haswa pale mwaka 2004, serikali ya srlikali ya CCM chini ya Mzee Mkapa...
  14. Wazazi wadaiwa kukingia kifua watuhumiwa ubakaji

    Wakati vitendo vya ubakaji na ulawiti vikiongezeka mkoani wa Dar es Salaam kwa kipindi cha miezi 10 ndani ya miaka miwili, wadau akiwamo Mkuu wa Wilaya Kigamboni, Sarah Msafiri, wameeleza tatizo la wazazi kuwakingia kifua watuhumiwa. Takwimu zinaonyesha katika kipindi cha miezi 10, mwaka jana...
  15. Kwanini baadhi ya wazazi hawapendi watoto wao kuoa 'single mother'?

    Habari zenu wadau, Leo nimejitokeza kidogo kwa Mara ya kwanza nilikuwa na swali ambalo ningependa ku share nanyi na nipate maoni yenu. Eti ni kwanini wazazi hawapendi mtoto wao (wakiume) waoe mwanamke aliyekwisha kuwa na mtoto (single mother)
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…