Inasemekana mtoto kaibiwa Dar. Kama unamfahamu huyu mtoto wajulishe wazazi wake, yupo Nzega

Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
267,553
1,092,278
Mwanamke huyu katika picha amekutwa na mtoto mdogo, katika picha, uchunguzi wa awali unaonyesha mwanamke huyu ana tatizo la akili. Awali alikuwa anasafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Mwanza na baada ya kufika Nzega mtoto huyo katika picha aliugua na kulazwa hospital ya wilaya ya Nzega, ndipo ilipobainika kuwa mtoto huyo sio wake na hajulikani alipomtoa. Mtoto huyu anakadiriwa kuwa na umri kati ya mwaka mmoja na nusu hadi miwili. Kwa yeyote anayemfahamu na kumtambua afike kituo cha polisi Nzega

Share ujumbe huu kwenye magroup mengine.

IMG-20200101-WA0016.jpg
IMG-20200101-WA0017.jpg
IMG-20200101-WA0018.jpg
IMG-20200101-WA0019.jpg
IMG-20200101-WA0022.jpg


Updates:

Watoto wamepatikana
IMG-20200102-WA0010.jpg
 
Polisi wadeal na uyo anaejiita kichaa mbona atasema uyo mwingine yupo wapi.

Au wampeleke kwa madaktari wa magonjwa ya akili wao ndio watasema kama kichaa au mzima.

Kama mzima basi wafanye yao. Ataje vyote.
 
Habari njema ni kuwa wazazi wa uyo mtoto wamepatikana wapo tabora mjini mda huu wanaelekea nzega, uyo mtoto alipotea mbeya siyo dar

Hii ndio habari iliyofanya wazazi wapatikane kiurahisi baada ya watoto kupotea tarifa zilitolewa katika magroupView attachment 1309767
Hii habari nimejisikia vizuri sana. Nguvu ya Social Networks ni kubwa sana. 2020 tumeanza vizuri.

Sisi 01 Shetani 0.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom