Walimu wa chato wapewe nini sasa???
Anachana vyema sema ana connection chache
"Ongea na Mwanaoo sema naye, sikio lako ligawe..
Mfungulie account ya busara na nidham, siyo account ya mtandao Instagram"
Anaitwa Maalim Nash.
-Kaveli-
Anachana vyema sema ana connection chache
Namuelewaga sana huyu jamaa
Sure. Jamaa yuko vizuri sana alafu simple tu.Ni miongoni mwa best emcees. The guy is keeping it right, not keeping it real !
-Kaveli-
Sure. Jamaa yuko vizuri sana alafu simple tu.
Album yake ya kwanza kabisa Mzimu wa Shaaban Robert ilipotoka, niliinyaka fasta.
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us