Wazazi wenzangu hili jambo tulitafakari,

mtimawachi

JF-Expert Member
Apr 1, 2020
1,109
2,000
Hapa ninazungumzia suala la afya za watoto wetu hawa tunaowazaa.
Inataka kuzoeleka sasa kwa watoto kuzaliwa wakiwa tayari wakiwa wameathirika na ukimwi licha njia mbalimbali za kitaalamu kuwepo.Sasa hivi mashuleni utakuta vitoto vidogo vinatumia dozi (ARVs) au ukipita CTC baadhi ya siku za jmos utakuta vitoto vimejazana vikicheza huku vikusubiria vipatiwe dozi na lishe
Mahudhurio ya watoto hawa shuleni ni ya kubahatisha,siku mbili enda shule wiki mbili haendi kisa afya imetetereka, au utakuta analia tu hana furaha,WANATIA HURUMA SANA

OMBI:Wazazi tulinde afya zetu ili watoto watakaozaliwa wawe imara

Kama tumeathirika tayari basi tujitahidi kutumia njia za kitaalamu ili wao wazaliwe salamu

Nyie mnaosambaza ukimwi kwa makusudi mlaaniwe kwa sababu athari zinaenda hadi kwa watoto waso hatia.

KAMA UMEOA UKIMWI HAUNA MWENYEWE,omba Mungu bila kukoma mwenzi wako awe mwaminifu
 
Lihakanga

JF-Expert Member
Dec 17, 2016
2,761

Ikibidi kama ni mwathirika acha usizae kabisa
 
stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
12,160
2,000
Tuiepuke zinaa,ina madhara mengi sana kuliko faida,vitabu vy a Mungu vinatuasa sana tuache zinaa lakini tunaona kam vile tunanyimwa raha,tutambue kuwa chohote kile ambacho Mungu amesema ni dhambi kina madhara kwa binadamu either ya kimwili au kiroho...
 
mkombengwa

JF-Expert Member
Dec 4, 2011
1,908
2,000
Hapa ninazungumzia suala la afya za watoto wetu hawa tunaowazaa.
Inataka kuzoeleka sasa kwa watoto kuzaliwa wakiwa tayari wakiwa wameathirika na ukimwi licha njia mbalimbali za kitaalamu kuwepo.Sasa hivi mashuleni utakuta vitoto vidogo vinatumia dozi (ARVs) au ukipita CTC baadhi ya siku za jmos utakuta vitoto vimejazana vikicheza huku vikusubiria vipatiwe dozi na lishe
Mahudhurio ya watoto hawa shuleni ni ya kubahatisha,siku mbili enda shule wiki mbili haendi kisa afya imetetereka, au utakuta analia tu hana furaha,WANATIA HURUMA SANA

OMBI:Wazazi tulinde afya zetu ili watoto watakaozaliwa wawe imara

Kama tumeathirika tayari basi tujitahidi kutumia njia za kitaalamu ili wao wazaliwe salamu

Nyie mnaosambaza ukimwi kwa makusudi mlaaniwe kwa sababu athari zinaenda hadi kwa watoto waso hatia.

KAMA UMEOA UKIMWI HAUNA MWENYEWE,omba Mungu bila kukoma mwenzi wako awe mwaminifu
Sina Cha kuongeza...BARIKIWA MKUU...MUNGU AKUPE BUSARA ZAIDI NA HEKIMA..BARIKIWA
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom