Musoma-Mara, watoto 40 wanasomea chini ya mti, wazazi waamua kujenga madarasa

mshale21

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
2,050
4,904
Watoto 40 wa darasa la awali, katika Shule ya Msingi Buraga Mwaloni, Kata ya Bukuma, Musoma Vijijini mkoani Mara, wanasomea chini ya miti, hali iliyowalazimu wazazi kujenga madarasa kwa ajili ya watoto wao.

Chanzo: Nipashe
__________________________________________________________

Naomba wanaCCM tuelezane ukweli, mwaka 2020 mlichaguliwa au mlijichagua?
Huku Mwananchi anapambana na tozo ya maendeleo ya Kijiji kwa ajili ya ujenzi wa madarasa, huku serikali inamtoza tozo kwa ajili ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa madarasa, MAAJABU HAYA!

Serikali mnaona fahali kuagiza midege huku watoto wa wapiga kura wenu wakisomea chini ya mti??
 
Hao wazazi hawana simu wakatumiana pesa ili wachangie ujenzi kwa tozo?
 
Back
Top Bottom