wazazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Countrywide

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ni mzuri kupitiliza, wazazi walikua na wasiwasi naweza kusalitiwa. Akiwa mbali nakosa amani

    Miaka kadhaa nyuma when i introduced my wife to my father, I desperately hoped he’d get on. Mshua akanitoa pembeni akaniuliza are you sure she’s faithful to you? My father simply couldn’t accept that someone as good looking as my wif’ wouldn’t be cheating on me at every opportunity, a wave of...
  2. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Wazazi nani kawadanganya watoto wenu wa kike na kiume hawanyanduani?

    Mzazi ukiwa Na watoto wa kike Na watoto wa kiume walio fikia umri wa balekhe hakikisha unaweka ukuta Kati Yao ili usije kupata hasara. Dunia ya Sasa hivi watu hawana maadili kabisa. Maadili ni kama yalisha kufa Na kuzikwa.. Kama una Mtoto WA kike ameisha vunja ungo hakikisha unamwambia asikae...
  3. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Alama za kutambua aina za maudhui ya filamu na umri sahihi wa mtazamaji

    Kuna namna nyingi sana mtoto wako anaweza kufikia maudhui tofauti kwa kupitia vipindi vya televisheni na filamu kwa urahisi. Watoto wa kizazi hiki wamekuwa na fursa nyingi zaidi za kutazama maudhui yasiyofaa. Uelewa wa mzazi kuhusu aina za filamu na vipindi vya TV au video za mtandaoni ni...
  4. wazanaki

    JamiiForums Tanzania Swali tunaloshindwa kujibu na kuwaelezea watoto wetu na kizazi kipya

    Wakuu, kuna story nyingi positive zinazowahusu waafrika. Kuna nyingine zinadai kua waafrika walikua powerful sana, sikatai, hili tunaweza lithibitisha hata sasa hv kwenye wakati huu. Kua waafrika wanafit kila sehemu kuanzia kwenye michezo hadi ubunifu na uwezo wao mkubwa wa kuhimili magonjwa na...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Anachoweza kufanya Mzazi kuhakikisha mtoto anabaki salama mtandaoni

    1) Kuwaeleza Watoto umuhimu wa kuweka nywila (Password) kwenye vifaa vyao, na kutompa mtu mwingine hata kama wana ukaribu 2) Kuzungumza na Watoto, na kuwaonesha wanaweza kuwafuata pale wanapopata matatizo mtandaoni ikiwemo CyberBullying (Uonevu Mtandaoni) 3) Kuhakikisha Mtoto haweki taarifa...
  6. C

    JamiiForums Tanzania IGP alitusihi wazazi tusizae majambazi, vipi yeye kuongoza wauaji huko Jeshi la Polisi

    Wazazi tulianza kufanyia kazi ushauri wa IGP alitushauri vizuri tu tena kwa roho safi kua wazazi tusizae majambazi na magaidi kama HAMZA naamini lengo lilikua kudumisha amani na utulivu nchini ni sawa wazazi tulipokea ushauri huo kwa mikono yote miwili. Vipi yeye sasa kuongoza waporaji wa mali...
  7. lwambof07

    JamiiForums Tanzania Sababu zinazopelekea wazazi kutoelewana na wakwe zao

    "Sababu zinazopelekea wazazi kutoelewana na wakwe zao, ni pamoja na matarajio ya pande zote mbili, wazazi wengi wamekuwa wanatarajia wakwe zao wawe na mwonekano fulani au na tabia fulani." "Wazazi wengi wanataka wakwe zao wawe na tabia kama za watoto wao kitu ambacho hakiwezekani kwa sababu sio...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wazazi tuendelee kuchangia elimu ya watoto wetu

    Kumekuwapo na matamko ya kuzuia michango shuleni lakini ukweli ni kwamba hawa wanaotoa matamko haya watoto wao hawasomi shule hizi za kata na ajenda yao ni kuwafanya Watanzania tuendelee kuwa wajinga na wapumbavu. Kikawaida fidia ya elimu bure ni Tsh 20000 kwa kila mwanafunzi, kiasi hiki cha...
  9. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nahisi hawa wote ni wazazi wa Kambo. Pamoja na kunilea miaka yote, nimekuja kugundua ukubwani

    Mimi nina Elimu ya Chuo Kikuu. Nilimaliza mwaka 2003. Nikafanya fanya kazi maeneo kadhaa nikawa naacha wakinizingua. Huwa sipendi kuzinguliwa kazini. So usitegemee utaniajiri halafu ulete za kuleta eti nikuache. Kama sijakuwamba makofi basi naweza kukupa maneno ambayo hutasahau maishani mwako...
  10. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Kwanini wazazi wengi bado wako 'obsessed' na As na Bs za matokeo ya mitihani?

    Leo Baraza la mitihani limetangaza matokeo ya kidato cha 2,4 na mitihani ya ufahamu kwa wanafunzi wote waliofanya hiyo mitihani mwaka 2021. Mwezi june 2022 itatutangazia matokeo ya form 6 pia kama kawaida ya miaka yote, kila mwaka ni matokeo ya ulinganifu wa nani kafanya vizuri na nani kafanya...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania DC kukamata wazazi, walezi wasiopeleka watoto shuleni

    Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Alhaji Majdi Mwanga, ametishia kuwakamata na kuwafikisha mahakamani wazazi na walezi watakaoshindwa kuwapeleka shuleni watoto waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza. Mwanga alisema hayo mjini hapa katika mkutano wa hadhara na wananchi kuhusu...
  12. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Kwanini watoto wengi wanaua mama zao?

    Kumekua na ungezeko la watoto kuua mama zao wa kuwazaa hivi karibuni jambo linaloibua huzuni na hofu kwenye jamiii. Asilimia kubwa imekuwa wahanga ni kina mama zaidi ya kina baba nimewaza jambo hili kwa kina ndani ya siku mbili hizi kuna mambo nayohisi yanaweza kuchangia kwa kiasi kikubwa zaidi...
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Makosa tunayo fanya wazazi kwa watoto wetu ni kutowapa ufahamu wa kutosha tangu wakiwa wadogo

    Ufahamu wa mtoto tangu akiwa mdogo anaanza kuongea ni kama bank account, unachohifadhi ndicho unachovuna. Watoto wakianza kuongea wanakua na maswali mengi, hii ni asili yao ya kutaka kufahamu dunia. Usichoke kumfahamisha mazingira anayo ishi. Ukiamka asubuhi akikuuliza unakwenda wapi mueleze...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Ni kweli mawazari tunao wengi, ila Mh Lukuvu ni zaidi ya waziri, kuna mtu anaogopa kufunikwa....

    1 Nchi yetu kupata maendeleo ya kweli, mpaka watu wote wenye wivu kwa watu wachapa kazi watakapoacha kuzaliwa! 2. Ili nchi yetu ifikie maendeleo ya kweli, tunapaswa tupate katiba itakayotoa mwongozo wa wananchi wenyewe kuwakataa wazembe na kuwakingia kifua wote wachapakazi na wapenda maendeleo...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Pale ambapo mzazi mwema anapata watoto watukutu na watoto wema wanapata mzazi mbaya

    Kama umejaaliwa kuwa kwenye familia ambayo tabia zako na za mzazi wako zinaendana, yaani mambo mengi yakiwa yanaenda sawia baina yenu basi mshukuru mungu umebahatika sana. Nimeshuhudia sana mifano mingi ambapo mtoto safi amekua akitaabika kutokana na mapungufu makubwa aliyonayo mzazi wake. Kwa...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Wazazi wenye watoto wa kike ni rahisi sana kuachana kuliko watoto wa kiume.

    Utafiti uliofanyika huko Marekani na Netherlands kuanzia miaka ya 80 unaonyesha kwamba wazazi wenye watoto wa kike ni rahisi sana kuachana kuliko watoto wa kiume. Sababu inaonyesha kwamba ni rahisi kulea watoto wadogo wa kiume kuliko wa kike. Utafiti unaenda mbali zaidi na kusema talaka inakua...
  17. 2019

    JamiiForums Tanzania Kuna haja gani ya kusoma elimu ya juu wakati unakuwa mzigo kwa wazazi na serikali?

    Kijana unatumia Miaka 17 kutafuta elimu na kujiongezea maarifa lakini baada ya kumaliza muda huo unasubiri serikali ikupe ajira. Wewe ambaye unasubiri kuajiriwa nakuuliza je hukuwa na pan B? Kama huna elimu uliyopata imekusaidia nini? Wale uliotoka nao darasa 1 wakaishia katikati leo wana...
  18. Mjamaa1

    JamiiForums Tanzania Wazazi: Tuwafundishe watoto wetu mila na desturi njema za wazee

    Salamu, Heri kwa siku kuu ya Krisimasi. Ndugu zangu ,leo tunaadhimisha Dominika ya Familia Takatifu. Katika muktadha huo, nimependa tujadiliane juu ya malezi ya watoto wetu hasa kuwafundisha mila na desturi njema za wazee wetu. Wazazi tunawajibu huo kwasababu wengi wetu tumeacha kuwafundisha...
  19. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania CCM Mara: Bulembo aliiuza Shule ya wazazi Isango saa 2 usiku kwa milioni 70

    Wakati mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Wazazi ukiendelea, alisimama Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara, Mrida Marocha aliyemtaja Abdallah Bulembo kuwa yeye na kundi lake walishiriki kuiuza Sekondari ya Isango. Alisema walifanya hivyo saa mbili usiku kwa bei ya Sh70 milioni. Marocha alisema shule...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Wazazi Tusifumbie macho mambo haya! Mwisho wake huchangia ukatili wa kinyama (kuna wajibu, haki na sheria)

    Nilipokuwa mdogo niliamini Jeshi la Polisi ni taasisi inayo mulika kila mahali! Niliamini Polisi ni Dubwana kuuubwaa lenye kuona yaliyopita, yaliyopo na yajayo! Hii Imani ilinifanya nivimbe kichwa na kutembea kifua mbele! Sikuogopa ujambazi kwasababu niliamini jeshi lipo! Nilikatiza popote...
Back
Top Bottom