Wazazi wa binti wa Kilokole wamenikataa hata baada ya kusema nitabadili dini na kuwa kama wao

marcoveratti

JF-Expert Member
Sep 21, 2017
964
1,685
Nimempenda binti wa kilokole sanaa, mnooo na nataka kumuoa. Sujaomba hata busu nikaomba kwenda kwa wazazi wake ili nifuate taratibu zote na si uchochoroni.

Cha ajabu wazazi wa binti wamekataa kisa mimi sio wa imani yao. Nikasema okay, mimi nakuja kuokoka na nitakuwa muumini wa kanisa lao bado hawataki!

Nimeshindwa kuelewa kabisa shida ipo wapi!
 
Mkuu embu jisebeze mademu wakiislam wako kibao ni vizuri hujamtia mimba mtoto wa watu kwani unaadvantage kubwa yakusaka wa Dini yako
 
Unapoamua kubadili dini kwaajili ya mapenzi basi hata wanaokupokea wanajua kabisa huyu muda wowote atarudi alikotoka na pia inaonyesha ni jinsi gani umekosa misimamo.
 
Muache.bila baraka za wazazi ni ngumu ndoa kuwa na furaha.maana hata wakikuona wanakua na kitu moyoni,nani ataozesha bintiye kishingo upande?
Atampata mlokole mwenzie.
 
Hili jambo kila siku tunaonya humu kuwa ,ukimpenda mtu usikubal imani zakikolon ziwatenganishe, be4 ujawaeleza wazaz wa huyo bint ilibid umpe daras huyo mtu wako kuwa ndoa haihusian na iman wala dini, dini haina nafas kwa maisha ya mtu, dini haikupeleki popote, baada ya kumtoa ktk slavery mindset ndpo ungewafuata hao walokole uchwara nao wapewe somo fupi mpka waingie kingi, wakigoma mtie mimba bint yao wala hawatapinga tena, dunia ya leo kuendelea kuamini mambo yakipumbv kama hayo ni kupoteza muda, usikubali ujinga ukukoseshe mke
 
Back
Top Bottom