Tusiwalaumu wazazi wetu

Tusiwalaumu wazazi wetu

jamaikatz

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2023
Posts
393
Reaction score
1,385
Sema ile kauli ya
"Sitaki watoto wangu waje kuishi maisha kama niliyoishi mimi"

Kwa namna moja ama nyingine huwa tunawakosea sana wazazi wetu.
Walijitahidi sana kutupa Kila kitu kwa nafasi zao na walicho jaaliwa 📌
 
Wenyewe hua wanasoma, usipo kazana na shule utakua mkulima/Masikini kama sisi wazazi wak 😁
 
Back
Top Bottom