JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,306
5,452
Watoa huduma hao wanaofanya kazi na Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC) wametekwa wakati wakiwa barabarani Kaskazini Mashariki mwa Miji ya Gao na Kidal.

Mali imekuwa na changamoto ya usalama tangu Mwaka 2012, matukio ya utekaji na kisha watekaji kutaka fedha ni ya kawaida kutokea.

ICRC imefanya kazi Mali kwa miaka 32 imesema haina upande katika migogoro inayoendelea na inaomba kuachiwa kwa wafanyakazi hao.

===========

Two aid workers kidnapped in Mali militant hotspot

Two workers for the International Committee of the Red Cross have been kidnapped in Mali.

The organisation said the abductions took place on a road between the north-eastern cities of Gao and Kidal - an area which has long been a hotspot for violence by Islamist militias.

Mali has been gripped by a security crisis since 2012 and kidnappings are common, with motives including demands for ransom and acts of reprisal against security operations by the government.

Last month in Mali, a World Health Organization doctor was freed weeks after he was kidnapped from his car in the district of Ménaka. And back in May 2022, gunmen abducted three Italians and a Togolese national.

The violence has also spread into neighbouring Burkina Faso and Niger, killing thousands and displacing more than two million people in the region.

Source: BBC
 
Wagner wameanza kazi, Africa jamani hivi hatuna akili za kusimamia na kujiamini kwamba sisi nchi huru na hatutaki ujinga kama hizo za Wagner??

Mkoloni mweusi tabu jamani
 
Inasemekana mamluki wa Wagner wako huko wameimarisha usalama baada ya majeshi ya Ufaransa kuondoka
 
Back
Top Bottom