watu wasiojulikana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kama Amiri Jeshi Mkuu, tuambie hawa "wasiojulikana" ni akina nani tutakupa kura, mengine tutakusamehe

    Wakuu leo nimekuja na kibwagizo kipya. Kwanza tunaweza kukiri kuwa katika mambo ambayo ni makosa na ambayo hayawezi kuvumilika hata mbele za mwenyewezi Mungu ni kitendo cha mwanadamu kutoa uhai wa mwanadamu mwingine kwa sababu yoyote ile. Kisa cha Kaini kumuua Abel ni mfano tosha kwa sisi...
  2. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea ubunge jimbo la Mvomero kupitia CHADEMA ndugu Peter Mdidi ametekwa na watu wasiojulikana na kupelekwa kusikojulikana

    Huko Mvomero mgombea ubunge kupitia CHADEMA ndugu Peter Mdidi ametekwa na mpaka sasa haijulikani alipo PIA SOMA - Uelewa wangu juu ya kundi la watu wasiojulikana ~ Matukio ya Watu kupotea na wengine kudaiwa kutekwa, nini kinaendelea kuhusu usalama wa raia - Kiongozi wa Madaktari (Dr...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar: Mwandishi Bollen Ngetti adaiwa kutekwa tena na watu wasiojulikana; apatikana

    Ikiwa ni siku 4 tangu Afisa Programu na Elimu kwa Umma wa LHRC, Tito Magoti ‘atekwe’ na wasiojulikana, kuna taarifa kuwa mwandishi Bollen Ngeti naye ametekwa na wasiojulikana leo maeneo ya Msasani, Dar POLISI: HATUNA TAARIFA UTEKWAJI WA MWANDISHI. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni kupitia...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwanahabari Erick Kabendera akamatwa na Polisi nyumbani kwake; yadaiwa anaendelea na Mahojiano

    Mwandishi wa habari za uchunguzi Erick Kabendera anadaiwa kuvamiwa na 'watu wasiojulikana' nyumbani kwake Mbweni jijini Dar es salaam baada ya watu kadhaa wakiwa na magari kuvamia na kuzingira nyumba na kuzuia watu kuingia. Namba ya gari lililomchukua imetajwa ni T746DFS. Erick Kabendera, a...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe azungumzia Kauli ya Kabudi kuwa Azory Gwanda amefariki

    July 11, 2019 Bonn, Germany Waziri Harrison Mwakyembe mwenye dhamana ya kusimamia habari Tanzania katika mahojiano na Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Ujerumani DW, ametofautiana na kauli ya waziri wa mambo ya nje ya Tanzania Prof. Palamagamba Kabudi. Harrison Mwakyembe amesema hawezi kusema kwa...
  6. Influenza

    JamiiForums Tanzania Waziri Kabudi akanusha kuthibitisha kifo cha Mwanahabari, Azory Gwanda

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Profesa Palamagamba Kabudi amekanusha kuwa amethibitisha 'kifo' cha mwanahabari Azory Gwanda. Msemaji mkuu wa serikali ya Tanzania, Dkt Hassan Abbas amemnukuu Profesa Kabudi kwa kupitia mtandao wake wa kijamii wa Twitter akisema: "Nimepokea kwa masikitiko...
  7. Informer

    JamiiForums Tanzania Prof. Palamagamba Kabudi has admitted on BBC FOCUS ON AFRICA that Azory Gwanda has “disappeared and died”

    Akihojiwa na mtangazaji Zuhura Yunus wa BBC, waziri Kabudi amesema Tanzania kuna uhuru wa kutosha wa vyombo vya habari. Alipoulizwa kuhusu kupotea kwa mwandishi Azory, Prof Kabudi amesema serikali inaendelea na uchunguzi. Waziri amesema hali ya Kibiti na Mkuranga ilikuwa tete na haijawahi...
  8. Informer

    JamiiForums Tanzania Msaidizi wa Benard Membe, Allan Kiluvya adaiwa kutekwa na watu ‘wasiojulikana’

    Wakuu, Taarifa nilizozipata punde zinaonyesha ndugu Allan Kiluvya ametekwa jana usiku maeneo ya Mbezi. Allan anadaiwa kuchukuliwa na watu takribani 7 waliokuwa na silaha. Benard Membe ambaye alikuwa Mbunge wa Mtama, ni mwanasiasa aliyefikia viwango vya juu nchini Tanzania, alikuwa Waziri wa...
  9. Informer

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Raphael O. Ongangi atekwa na watu wasiojulikana! Ni aliyekuwa Msaidizi wa Zitto

    Mfanyabiashara wa jijini Dar, Raphael O. Ongangi anadaiwa kutekwa siku ya Jumatatu tarehe 24 Juni, 2019 na watu wenye silaha akiwa anaelekea nyumbani kwake maeneo ya Masaki. Raphael alikuwa mshauri wa karibu wa ndugu Zitto kabla ya Uchaguzi Mkuu 2015. Jeshi la Polisi kupitia kwa Kamanda wake...
  10. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Mwanahabari wa Tanzania aliyetoweka Azory Gwanda aorodheshwa miongoni mwa visa 10 vya wanahabari duniani vinavyohitaji dharura

    Mwandishi wa Tanzania aliyetoweka Azory Gwanda ameorodheshwa miongoni mwa visa kumi vya dharura na kudi moja la muungano wa uhuru wa vyombo vya habari duniani. Kulingana na gazeti la The Citizen nchini Tanzania Mwandishi huyo ambaye hajaonekana tangu Novemba 2017 ameshirikishwa katika orodha ya...
  11. G Sam

    JamiiForums Tanzania Hebu tuanzie hapa: Ben Saanane alitoka kwao saa mbili asubuhi ila hakurudi mpaka leo. Yupo hai? Kuna huu ujumbe aliotuambia

    Juzi niliona picha ya Rais Magufuli akimuombea mama yake mzazi ambaye amepatwa na maswahibu kama yaliyokatisha uhai wa binti yake ambaye alizikwa hivi karibuni.Nilipomuona nilijikuta nikiwaza sana! Turudi kwenye mada. Ben Saanane mara ya mwisho kabla hajapotea alitoka kwao asubuhi kama kawaida...
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa UVCCM aliyesema Peter Zacharia katekwa na watu wasiojulikana, apandishwa kizimbani

    Tarime. Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM (UVCCM) Wilaya ya Tarime, Godfrey Francis atapandishwa kizimbani muda wowote leo Julai 2, 2018 baada ya kukamilika kwa mahojiano na polisi. Francis anatuhumiwa kutoa taarifa za uwongo katika mitandao ya kijamii kuhusu sakata la kukamatwa kwa mmiliki wa...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Polisi Zanzibar walichora Mchoro wa wasiojulikana wakakamatwa, bara tunashindwa nini kwa Lissu?

    Heshima kwenu wakuu, Kigugumizi cha nini baba? Padri wa Kanisa Katoliki, Evaristus Mushi aliyefariki dunia baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana wakati akiegesha gari kando na Kanisa la Mtoni mwaka 2013, rais Jakaya Kikwete katika salamu zake za rambirambi baada ya mauaji ya Padri...
  14. AbaMukulu

    JamiiForums Tanzania ORODHA: Watu Waliouawa/Kutekwa/Kupotezwa na Watu Wasiojulikana/Police Brutality Utawala Wa Magufuli

    Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya kuweka rekodi za watu waliouwa/kutekwa/kupotezwa na watu wasiojulikana/police brutality kwenye utawala wa awamu ya 5. Matukio yote yatakayowekwa yawe yametokea kuanzia 05 November 2015. Kuweka kumbukumbuku sawa tuweke majina, tarehe za matukio na picha za wahanga...
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Taifa linahangaika na wasiojulikana waliomshambulia Tundu Lissu! Je, ni hawa?! Mhe. Mwigulu, IGP, anzieni hapa!

    Wanabodi, Hili ni bandiko la swali tuu kuhusu watu watu, kwa kulisaidia jeshi letu la polisi na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kuitumia mitandao ya kijamii positively as source of a security tip ya vital information kuhusu uchunguzi mbalimbali. Usisubiri hadi mtu akaripoti polisi kuhusu...
  16. ubongokid

    JamiiForums Tanzania 2017 Mwaka wa watu wasiojulikana

    Asalaam Alleykum: Mwaka 2017 ulikuwa na mbwembwe nyingi sana. Moja wapo ya mbwembwe hizo ni zile za watu wasiojulikana ambao walipiga vita za madawa ya kulevya wakashindwa, wakavamia Clouds na kutisha watu, wakamiminia Tundu Lissu risasi na mambo mengi ambayo yalilitia doa nchi yetu kama vile...
  17. HOMBOY

    JamiiForums Tanzania Kushambuliwa Tundu Lissu: Mwigulu aahidi vyombo vya dola vitawatia mbaroni watu wasiojulikana!

    Singida. Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amesema hakuna haja ya kuanza kuhangaika kutafuta wachunguzi kutoka nje kwa ajili ya kufuatilia wahusika wa shambulizi la Mbunge wa Singida Mashariki(Chadema), Tundu Lissu kwa vile vyombo vya ulinzi na usalama nchini vinajitosheleza na vina...
  18. William J. Malecela

    JamiiForums Tanzania Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

    EXTRA STRAIGHT TALK:- Unaporusha rusha maneno ya kichochezi kuhusu kushambuliwa kwa Mh. Tundu Lissu bakisha maneno na tafuta Facts kwanza .... Naomba nikukumbushe kwa FACTS: Mauaji ya Waisilamu Mwembe Chai mwezi Mei, mwaka 1998 - Rais hakuwa Magufuli! Wakati wafuasi wa CUF Pemba walipopigwa...
  19. Ghazwat

    JamiiForums Tanzania Kenya: Nyumba ya Makamu wa Rais William Ruto yashambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana

    Watu wasiojulikana wameshambulia nyumbani ya mashambani ya Makamu wa Rais wa Kenya William Ruto Magharibi mwa Uasin Gishu Kaunti, ripoti zinasema. Ripoti katika eneo hilo zinasema kuwa washambuliaji hao waliwashinda nguvu polisi mmoja katika lango la nyumba hiyo na kuingia ndani. Ufyatulianaji...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya ekari elfu 7 za mazao ya wananchi Kigoma zavunwa na watu wasiojulikana na nyumba kuchomwa

    Wananchi wa kijiji cha Kitanga katika wilaya ya Kasulu mkoani kigoma wamelalamika zaidi ya ekari elfu saba za mazao kuvunwa na watu wasiojulikana pamoja na nyumba zao kuchomwa kutokana na mgogoro uliosababisha pia kifo cha mtu mmoja. Wamemwambia Naibu waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya...
Back
Top Bottom