Mfanyabiashara Raphael O. Ongangi atekwa na watu wasiojulikana! Ni aliyekuwa Msaidizi wa Zitto

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,582
6,627
Mfanyabiashara wa jijini Dar, Raphael O. Ongangi anadaiwa kutekwa siku ya Jumatatu tarehe 24 Juni, 2019 na watu wenye silaha akiwa anaelekea nyumbani kwake maeneo ya Masaki.

Raphael alikuwa mshauri wa karibu wa ndugu Zitto kabla ya Uchaguzi Mkuu 2015.

Jeshi la Polisi kupitia kwa Kamanda wake, Mambosasa limedai linachunguza tukio hili.

raphael.jpg

Pichani ni Raphael Ongangi
====

A Kenyan businessman is missing after he was abducted by unknown people in Dar es Salam, Tanzania.

Mr Raphael Ongnagi was abducted on Monday at the intersection of Msasani and Karume Road in Oysterbay neighbourhood by three gunmen who had three cars and two motorbikes.

His wife Veronica reported to the local authorities and Kenyan High Commission about the incident.

Ongangi has been running a transport business between Dar es Salam, DRC Congo, Zambia and Rwanda.

Kenyan High Commissioner to Tanzania Dan Kazungu confirmed the incident and added they are working with local authorities to solve it.

“We are aware of the incident and the mission is seized of the matter. The mission is working around the clock and will be sharing progress reports of this matter,” he said.

The motive of the incident is yet to be established. It is not clear if the abductors had contacted the family of the victim with demands.

=====

UPDATES 02/07/2019

Hatimaye kapatikana. Kwa mujibu wa Mke wake, Veronica Kundya kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Kijamii wa Instagram amesema kuwa mume wake Raphael amepatikana leo Mombasa na yupo salama.

Soma Mfanyabiashara, raia wa Kenya anayeishi nchini, Raphael Ongangi apatikana akiwa Mombasa nchini Kenya
 
Mwana biashara huyo ambaye hufanya shughuli za kusafirisha mizigo baina ya Dar na mataifa jirani kama Zambia, DRC na Rwanda, ametekwa nyara na kundi ambalo huogopwa sana kule linafahamika kama 'wasiojulikana', ambao walikua na magari matatu na pikipiki mbili.
--------------------------------------------
A Kenyan businessman is missing after he was abducted by unknown people in Dar es Salam, Tanzania.
Mr Raphael Ongnagi was abducted on Monday at the intersection of Msasani and Karume Road in Oysterbay neighbourhood by three gunmen who had three cars and two motorbikes.

His wife Veronica reported to the local authorities and Kenyan High Commission about the incident.

Ongangi has been running a transport business between Dar es Salam, DRC Congo, Zambia and Rwanda.
Kenyan High Commissioner to Tanzania Dan Kazungu confirmed the incident and added they are working with local authorities to solve it.

“We are aware of the incident and the mission is seized of the matter. The mission is working around the clock and will be sharing progress reports of this matter,” he said.

The motive of the incident is yet to be established. It is not clear if the abductors had contacted the family of the victim with demands.
 
Nimeileta taarifa kama ilivyo ambayo imetoka kwenye chombo cha habari, wewe pia leta habari zinazokana utekwaji huo.....
Mnakokwenda hakufai, rekebisheni mapema.
Tumeshazoea kutekana wala hatuoni tabu tunakuja kumteka huyo mbunge aliyeongea mbofu mbofu
 
Tumeshazoea kutekana wala hatuoni tabu tunakuja kumteka huyo mbunge aliyeongea mbofu mbofu

Hehehe!! Hivi yule Mhindi bilionea mliyemteka na kumrejesha, mbona amepiga kimya, haskiki tena, vipi bado anaendelea na ufadhili wa Simba au kaamua kuufyata kabisa.
 
Back
Top Bottom