Watu wasiojulikana wampiga risasi na kumuua Alphonce Nyinzi M/Kiti wa Mtaa wa Bulale mkoani Mwanza

johnmashilatu

JF-Expert Member
Sep 16, 2010
819
867
Nimeongea na OCS Igogo muda unaenda hakuna msaada. Mwenyekiti wa mtaa wa Bulale Trazo amepigwa risasi SAA 1.45. Mpaka sasa polisi hawaonekani. Ni Mwanza, Nyamagana kata ya Buhogwa.
========

TAARIFA RASMI:

Watu wasiojulikana wampiga risasi na kumuua M/Kiti wa Mtaa wa Bulale mkoani Mwanza, Ndg Alphonce Nyinzi na kumjeruhi mama mmoja, polisi wathibitisha.

PIA SOMA
- Uelewa wangu juu ya kundi la watu wasiojulikana

~ Matukio ya Watu kupotea na wengine kudaiwa kutekwa, nini kinaendelea kuhusu usalama wa raia

- Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
 
Poleni sana, naona ni karibu li saa limoja limepita. Naamini msaada unakuja
 
Nimeongea na OCS Igogo muda uunaebda hakuna msaada mwenyekiiti wa mtaa wa Bulale trazo amepigwa risasi SAA 1.45, p mpaka sasa polisi hawaonekani. Ni Nyamagana kata ya buhobgwa
Mkuu siku nyingine fanya uhakiki kabla ya ku-post ulichoandika.
 
Nimeongea na OCS Igogo muda uunaebda hakuna msaada mwenyekiiti wa mtaa wa Bulale trazo amepigwa risasi SAA 1.45, p mpaka sasa polisi hawaonekani. Ni Nyamagana kata ya buhobgwa
Mkuu, ungeidadavua kidogo tukaielewa. Kwa nini mwenyekiti wa mtaa? Kulikuwa na shughuli gani eneo hilo? Je wauaji wamefahamika? Nn reaction ya wananchi eneo hilo?
 
Mkuu, ungeidadavua kidogo tukaielewa. Kwa nini mwenyekiti wa mtaa? Kulikuwa na shughuli gani eneo hilo? Je wauaji wamefahamika? Nn reaction ya wananchi eneo hilo?
mwenzio ametoa tu taarifa fupi ya tukio na kuomba msaada wa polisi.wewe unamuuliza maswali kwani kakwambia yeye ni mwandishi wa habari? jaribu kuwa serious.
 
mwenzio ametoa tu taarifa fupi ya tukio na kuomba msaada wa polisi.wewe unamuuliza maswali kwani kakwambia yeye ni mwandishi wa habari? jaribu kuwa serious.
Na wewe kuwa serious kufikiri basi. Kama ameshuhudia unadhani anakosa cha kuongeza hapo?
 
Back
Top Bottom