watu wasiojulikana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Determinantor

    JamiiForums Tanzania TANZIA Thomas Mashali afariki dunia baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana

    Radio Free Africa kipindi cha michezo asubuhi hii wametangaza kifo cha ghafla cha Bondia Thomas Mashali. Thomas ni bondia aliyeleta changamoto kwenye gemu na kuifanya ichangamke. Chanzo cha Kifo chake inadaiwa kuwa kimesababishwa na kipigo cha wananchi hapa maeneo ya Kimara. ======= Mashali...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Watu wasiojulikana wampiga risasi na kumuua Alphonce Nyinzi M/Kiti wa Mtaa wa Bulale mkoani Mwanza

    Nimeongea na OCS Igogo muda unaenda hakuna msaada. Mwenyekiti wa mtaa wa Bulale Trazo amepigwa risasi SAA 1.45. Mpaka sasa polisi hawaonekani. Ni Mwanza, Nyamagana kata ya Buhogwa. ======== TAARIFA RASMI: Watu wasiojulikana wampiga risasi na kumuua M/Kiti wa Mtaa wa Bulale mkoani Mwanza, Ndg...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Profesa Athuman Mavige auawa kwa risasi Bunju

    Habari wakuu, Kwa Mjibu wa radio one nipashe aliyewahi kuwa profesa wa chuo kikuu cha Dar es Salaam profesa Athumani Mavige ameuawa na watu wasiojulikana nyumbani kwake Bunju. Polisi wamenukuliwa kuwa alikua anaishi peke yake na hivo hakuna ajuaye kauawa vipi na kauawa jana usiku na kuwa kwa...
  4. figganigga

    JamiiForums Tanzania Watu wasiojulikana wakata nguzo za umeme katika line kuu na kusababisha hasara

    Watu wasiofahamika wamekata nguzo za umeme katika eneo la Kola B mjini Morogoro kwa lengo la kuiba kopa na mafuta ya Transfoma katika line kuu ya umeme na kulisababishia shirika la umeme Tanesco hasara ya zaidi ya shilingi milioni 200. ITV imeshushudia wafanyakzi wa shirika la umeme Tanesco...
  5. mende 2014

    JamiiForums Tanzania Watu wasiojulikana wameiba sanduku lenye chatu na kulitelekeza

    Wezi waliiba sanduku wakidhania kuwa kuna pesa ndani yake kumbe sivyo. Waliopofungua sanduku hilo, walikutana na #Chatu mkubwa sana na hatimaye walikimbia na kutelitelekeza hilo sanduku. Huyo joka alikuwa yuko hai na akauwawa na watu. Source ITV. --- Wakazi wa sinza uzuri jijini Dar es salaam...
  6. CDMhub

    JamiiForums Tanzania Mgombea Udiwani Kata ya Mtae atekwa na watu wasiojulikana

    Mgombea udiwani wa CHADEMA kata ya mtae jimbo la Mlalo ametekwa leo mchana na hajulikani alipo. Hajarudisha fomu za kugombea udiwani, familia inamtafuta na makamanda wa CHADEMA wanamsaka. Vijana wameapa watakesha nyumbani kwake na ikibidi wanatoka na mtu. PIA SOMA - Uelewa wangu juu ya kundi la...
  7. idawa

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Wananchi wenye hasira wachinja hadi kuua watoto wawili wa Diwani wa CCM

    Watu wasiojulikana wamewaua watoto wawili,mmoja akiwa ni binti wa kazi wa Diwani wa CCM kata ya Mkingamo wilaya Momba mkoani Mbeya. Chanzo cha mauaji inasemekana ni dhuluma ya viwanja kwa wananchi wa kawaida. Habari zaidi zinasema kawadhurumu wananchi viwanja vingi sana,wakati mwingine huuza...
  8. Goodluck Mshana

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Watu watatu wa familia moja waliuawa kikatili, kwa kunyongwa na watu wasiojulikana

    Usiku wa kuamkia leo jijini Mwanza, kata ya Buhongwa kumetokea mauaji ya kinyama. Mauaji hayo yamefanywa leo saa kumi usiku. Watu watatu wa familia moja akiwemo Mtoto wa miezi saba (7) waliuwawa kikatili, kwa kunyongwa, ndani ya nyumba yao na watu wasiojulikana. Kwa habari za awali ni kwamba...
  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Picha: Nyumba ya Asha Baraka yabomolewa na watu wasiojulikana eneo la Hanansifu jijini Dar

    Mkurugenzi wa bendi ya African Stars 'Twanga Pepeta', ambaye pia ni Mjumbe wa Nec CCM, Asha Baraka, akiwaka wakati akizungumza na mtandao huu jana jioni alipokuwa akisimamia zoezi la kuwazuia wabomoaji kutobomoa nyumba na vibanda vya wananchi katika eneo hilo la Hanansifu bila kufikia muafaka...
  10. dosama

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Segerea latupiwa 'bomu' la mafuta, laungua; KKKT Kijitonyama kwaibuka hofu!

    Watu wanne wakiwa na chupa nne za bia huku zikiwa na mafuta ya petrol wakatupia ndan ya kanisa na kukimbia huku ikiwa waumini wake wakiwa katika maombi ya kujiandaa na semina ya injili wiki ijayo --- Ni vijana wa nne walirusha chupa na taa ya chemli, baada ya kutupa ile taa ililipukia ndani...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Vurugu zimetokea Msikitini huko Kyela, watu wajeruhiwa kwa visu na mapanga

    Kuna vurugu kubwa zimeripotiwa kutoka Mbeya ambapo kikundi cha watu wanaojiita waasi wamevamia msikiti na kujeruhi watatu! .:Ni shambulio msikitini Kyela Mbeya. Kikundi cha watu wanaojiita waasi na wanasema wanafanya kazi na Al Qaeda wamevamia watu wakati wakisali swala ya Eid na kuwajeruhi...
  12. MPANDA Jr

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Gairo amwagiwa Tindikali na watu wasiojulikana

    Mwenyekiti wa CCM Wilaya mpya ya Gairo Bwana Omary Awadhi, amemwagiwa tindikali usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake Gairo. Kwa mujibu wa mwenyekiti huyo tukio hilo lilitokea usiku wa manane baada ya watu wasiojulikana kumgongea na kumwamsha. Hata hivyo anasema aligoma kufungua mlango bali...
  13. nngu007

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kasulu mjini Moses Machalli avamiwa na kupigwa na watu wasiojulikana!

    JUNE 20, 2013 Mbunge wa kasulu mjini kupitia tiketi ya Chama cha NCCR Mh. Moses Machalli Habari zilizoifikia Maisha Times muda huu kutoka Dodoma zinaripoti kwamba Mbunge wa Kasulu mjini kupitia tiketi ya Chama cha NCCR Moses Machalli amevamiwa na kupigwa na watu wasiojulikana katika eneo...
  14. nginda

    JamiiForums Tanzania Mwandishi Andrew Chale anusurika kutekwa na watu wasiojulikana

    Dar es Salaam MWANDISHI wa Habari wa Gazeti la Tanzania Daima Andrew Chale ameanza kuishi maisha ya wasiwasi baada ya watu wasiojulikana kufanya jaribio la kumteka. Chale alisema kwamba siku ya Jumamosi usiku watu wasiojulikana walikuwa wakifuatilia nyedo zake. Alisema watu walikuwa kwenye...
  15. Mohamedi Mtoi

    JamiiForums Tanzania Mwanaharakati Albanie Marcossy atoweka kunusuru maisha yake

    Mwanaharakati Marcosy Albanie ametoweka nyumbani kwake baada ya kufuatiliwa na watu wasio julikana kwa kipindi cha siku kadhaa. Mtakumbuka mara ya mwisho Bwana huyu alionekana kwenye kipindi cha kipima joto kilicho rushwa kwenye runinga ya ITV kikimshirikisha yeye, mbunge wa Singida mashariki...
  16. Tina

    JamiiForums Tanzania Absalom Kibanda (Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri) avamiwa na watu wasiojulikana na kujeruhiwa

    Mwanahabari Absalom Kibanda TAARIFA ZA AWALI Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya New Habari wachapishaji wa magazeti ya Mtanzania, Dimba, Bingwa na Dimba, Absalom Kibanda amevamiwa na watu wasiojulikana akiwa ndani ya gari lake wakati...
  17. kbm

    JamiiForums Tanzania 'Wahuni' wateketeza mali za kanisa Sumbawanga

    Watu wasiojulikana,wamevamia na kufyeka ekari 25 za mahindi katika shamba linalomilikiwa na Kanisa la Efatha la Sumbawanga. Tukio hilo lilitokea wiki iliyopita na eneo lililofyekwa ni sehemu ya ekari 96 za shamba hilo. Akizungumzia tukio hilo, Meneja wa shamba hilo, Peter Kibona,alisema...
  18. dada white

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

    Padri Evarist Mushi, ambaye ni paroko wa parokia ya Minara Miwili - Mtoni Zanzibar amepigwa risasi na watu wasiojulikana leo mida ya saa moja asubuhi akielekea kanisani kuongoza ibada. Source: Radio Wapo --- Padre E. Mushi Paroko wa parokia ya Minara Miwili Mtoni Zanzibar ameuawa kwa kupigwa...
  19. Mtu wa Pwani

    JamiiForums Tanzania Kubenea kumwagiwa tindikali: Nini chanzo?

    Shahidi kesi ya Kubenea: Watuhumiwa waliahidiwa mil. 2/- Na Mwandishi Wetu SHAHIDI wa kwanza katika kesi ya kuwajeruhi na kuwamwagia tindikali waandishi wawili wa magazeti ya Mwanahalisi na Mseto, amedai watuhumiwa waliahidiwa kulipwa sh milioni mbili na bosi wa Kampuni ya Bakhresa, endapo...
  20. Halisi

    JamiiForums Tanzania Mhariri Mtendaji wa Gazeti la MwanaHALISI, Saed Kubenea avamiwa na kumwagiwa tindikali akiwa ofisini kwake

    Kuna habari kwamba watu wasiojulikana wanaodhaniwa kuwa majambazi wamemvamia mhariri na mmiliki wa Mwanahalisi, Saed Kubena na kumkata kwa mapanga. Habari zaidi baadaye. =========== Mwanahabari Saed Kubenea akiwa hospitali baada ya kumwagiwa tindikali Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Mwana...
Back
Top Bottom