watu wasiojulikana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Magonjwa Mtambuka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanasheria: Hakukuwa na hati ya kukamatwa kwa Dkt. Fred Matiang’i

    ======== Lawyer Danstan Omari was the lawyer who spoke to members of the forth estate alongside Raila Odinga at the Karen home of former Interior CS Dr. Fred Matiang’i following the raiding of his house by an elite police squad. While insisting the squad had no reason whatsoever to prove their...
  2. Story za nguate

    JamiiForums Tanzania Watu wasiojulikana

    Ni kipi kilijificha nyuma ya watu wasuojulikana? Tumeshuhudia matukio mengi ya kutisha na kuogofya ndani ya ardhi ya Tanzania kama: ~ Mauaji ya Kibiti. ~ Mapigano ndani ya mapango ya Amboni. Lakini haya yote yalimezwa na watu wasiojulikana. Swali: Je, ni nani alikua nyuma ya hili? Mada...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania Tanzania sio Kisiwa cha amani tena, ni baada ya kufuga watu Wasiojulikana

    Baada ya Tanzania kulaumiwa na Jumuiya za kimataifa kwa kumiliki kikundi cha watu wasiojulikana ambao kazi yao ni kuteka, kuua kutesa, kubambikizia kesi, Tanzania imetoka kuwa nchi ya kwanza yenye amani Afrika na kuwa ya 16. Ila kuwaliwaza wanasema ni ya 7 Ifuatayo ni Orodha ya Nchi zenye...
  4. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Heka heka za watu wasiojulikana kwenye awamu ya sita

    Wasalaam wana JF. Wakati tukitafakari mchango wa wananchi wenzetu wanoko waliosanifu na kutoa wazo shule la uanzishwaji wa tozo, tusisahau heka heka za watu wasiojulikana. Katika awamu ya tano watu wasiojulikana walikua busy na mishe mishe anuai waki fanya hili na lile. Cha ajabu, katika awamu...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Watu wasiojulikana waiba vikombe nyumba ya Watawa

    Mtu asiyefahamika ameingia nyumba ya watawa wa Shirika la Veronika lililopo Soweto, wilayani Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro na kuiba vikombe vya kuwekea komunyo (siborio). Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Simon Maigwa akizungumza na waandishi wa habari jana, alisema kutokana na uzembe uliofanyika...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mwanaume akatwa nyeti na watu wasiojulikana

    Mkazi wa Kijiji cha Orkine, wilayani Kiteto mkoani Manyara, Nanaa Mepukori (54) amelazwa katika hospitali ya wilaya hiyo baada ya kujeruhiwa kwa kukatwa sehemu zake za siri na watu wasiojulikana. Tukio la mwanaume huyo kukatwa nyeti lilitokea Juni 28, 2022 usiku ambapo inadaiwa kuwa alikuwa...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: 2017 niliwahi kufuatwa na watu wasiojulikana ila Balozi wa Umoja wa Ulaya akaninusuru!

    Akihojiwa kwenye kipindi cha kinagaubaga ndugu Maxence Melo amesema walikuja watu wasiofahamika wakitaka kumchukua ili wakamhoji kwanini amefanya mahojiano na Balozi wa Umoja wa Ulaya, lakini Balozi aliwakatalia katakata akisema hamuwezi kumchukua nikiwa naye mimi. Kweli nchi ilikuwa ngumu sana...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Habari wa Wasafi Media - Arusha, Potte Mmanga adaiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana

    Mwandishi wa habari wa Wasafi Media Arusha, Potte Mmanga anadaiwa kukamatwa mchana huu nyuma ya Chuo cha Technical College na watu waliojitambulisha kwake kama askari polisi wakidai wanampeleka ofisi ya RCO kwa mahojiano. Ofisi ya RCO Arusha imesema haina taarifa za kukamatwa kwake. Chanzo...
  9. let the caged bird sings

    JamiiForums Tanzania Nimekuta sehemu ya mazao yangu yamevunwa na watu wasiojulikana

    Leo Asubuhi nimeenda shambani kwangu nimekuta sehemu ya mazao yangu yamevunwa na watu wasiojulikana. Usiku wa jana majira ya 3 usiku natoka senta kupiga piga story kijiweni nilikutana na vijana Sita wakiwa na Guta wamekwama karibu na Shule yetu ya kijiji na vitu walivyokuwa wamebeba ndivyo kama...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inadaiwa Wakili Peter Madeleka amekamatwa na Jeshi la Polisi akiwa Serena Hotel

    Wakili Peter Madeleka adaiwa kutekwa na watu wasiojulikana muda mfupi baada ya kutoka katika Hotel ya Serena Jijini Dar Es Salaam Jioni hii. ---- Hilda Newton kupitia akaunti yake ya Twitter amesema haya Wakili Peter Madeleka amekamatwa muda huu Serena Hotel Dar Es Salaam na askari...
  11. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Watu wasiojulikana wavunja na kuingia nyumbani kwa Humphrey Polepole na kuiba

    Habari iliyopo kwa sasa ni kwamba nyumba ya mbunge mheshimiwa Polepole mkoani Dodoma imevamiwa na watu wasiojulikana wameharibu mali za thamani na kuacha ujumbe mzito wa kuwa aache kuichafua serikali ya sasa ===== WATU WASIOJULIKANA WAVAMIA NYUMBANI KWA MBUNGE HUMPHREY POLEPOLE, Watu...
  12. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Lindi: Wanachama watano wa CUF wadaiwa kutekwa na watu wenye silaha usiku wa manane

    Lindi. Watu watano wakazi wa Kijiji cha Rutamba Halmashauri ya Mtama wanadaiwa kuwa ni wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), wamepotea tangu Oktoba 30, 2021. Katibu wa CUF Wilaya ya Lindi, Shadhil Bosha amesema kuwa watu hao waliopotea ni wanachama wa chama hicho akidai kuwa walichukuliwa na...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya CHADEMA Jimbo la Tunduma yapigwa kiberiti na watu Wasiojulikana, nyaraka zateketea

    Jambo hili la kusikitisha limefanyika usiku wa kuamkia leo, ambapo watu wasiofahamika wamelipua ofisi hiyo na kisha kutokomea kusikofahamika, nyaraka kadhaa za Chama hicho zimeteketea na nyingine zenye thamani kubwa zimeibwa. Ikumbukwe pia kwamba Viongozi wa Chadema zaidi ya 50 wa Tunduma...
  14. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Watu wasiojulikana wamepotelea wapi?

    Hawa miamba waliotesa Awamu ya Tano , wamepotelea wapi?
  15. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya kumpumzisha aliyekatwa shingo na "wasiojulikana"

    Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema. Ikumbukwe kuwa kuna uzi uliletwa humu juzi kuwa Moshi, Kilimanjaro kata ya Mwika Uuwo kuna mama alikatwa shingo hadi kufa na watu wasiojulikana na jeshi la polisi mkoa wa Kilimanjaro akasema chanzo cha kifo ni wivu wa kimapenzi basi leo ndio...
  16. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka kuanza kuwafichua wale waliojulikana kama ‘Watu wasiojulikana’

    Habari za siku nyingi wana jamvi. Naomba niingie kwenye hoja moja kwa moja. Baada ya kufariki kwa John Magufuli ambaye serikali yake 'haikuwa' na uwezo wa kuwatambua na kuwashughulikia watu wasiojulikana ambao walitesa na kuua watu wetu wengi, sasa ni wakati muafaka wa kuwaumbua na kuwajua wale...
  17. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Nani huyu anayepigwa hivi? Amekosa nini? Au ndio wasiojulikana?

    Ni nani huyu anaepigwa hivi? Amekosa nini? Kwanini wenye kumpiga wanasema "atatuharibia kazi" kazi gani? Na ame' post neno "kimeumanaaa" wapi? Ndiyo kosa lake? Anaefahamu kisa hiki atusaidie, tufahamu. Namba za gari ni T 777 BWS. Hii si ni kama huyu jamaa ametekwa na anachezea kipigo, What if...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Waziri wa Uganda apigwa risasi na watu wasiojulikana karibu na nyumba yake

    Watu wenye silaha wamemshambulia na kumjeruhi Waziri na Kamanda wa zamani wa jeshi la Uganda, na kumuua binti yake na dereva. Walioshuhudia tukio hilo wanasema washambuliaji ambao hawajafahamika walliokuwa kwenye pikipiki walifyatua risasi kadhaa kwenye gari alimokuwa Jenerali Katumba Wamala...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Watu Wasiojulikana wafunga ofisi ya serikali ya mtaa Jijini Mwanza

    Zaidi ya wakazi 3,000 wa mtaa wa mwananchi kata ya Mahina jijini Mwanza kwa miezi miwili sasa, wamekuwa wakihangaika kupata huduma za kiserikali bila mafanikio, baada ya kundi la watu wasiojulikana kuifunga ofisi ya serikali ya mtaa huo kwa madai ya kutoridhishwa na hatua ya kurejeshwa kwa...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Lindi: Watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Msimamizi wa Uchaguzi na nyumba ya Mbunge

    Vitendo hivi vinazidi kushamiri nchini, watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Mwenyekiti wa Kijiji wamechoma moto magari na nyumba ya Msimamizi wa uchaguzi vile vile wamechoma moto magari na nyumba ya Mbunge. PIA SOMA - Uelewa wangu juu ya kundi la watu wasiojulikana ~ Matukio ya Watu...
Back
Top Bottom