watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mabasi ya kubeba wanafunzi ya St. Anne ya Rweikiza hayafanyiwi 'service', yanaweza kuleta madhara kwa watoto

    Asubuhi ya leo nimekutana na magari mawili makubwa aina DCM yakiwa yamepakia wanafunzi kwenye barabara ya kwa Musuguri. Aisee magari yakiwa yanashuka bondeni ukiwa bwaloni pale, gari dereva akipunguza break utadhani ni bom la Ukraine gari zinalia sana kuashiria yakuwa hazifanyiwi services...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuwazindika watoto wetu

    VIP
  3. JamiiForums Tanzania Kikwete ni mmoja ya Marais ambao miaka Ijayo watoto wetu watatushangaa sana kuwa ilikuaje....

    Yaani akatumia pesa za wananchi maskini kukusanya maoni ya katiba. Yakapatikana. Akatumia mabilioni ya pesa za Maskini kuliitisha Bunge la Katiba....likakaa...wakalipana mapesa mengi. Kisha akavuruga mchakato. Akakaa pembeni akicheka mchezo aliofanya....watanzania ni wasahaulifu sana. Leo...
  4. JamiiForums Tanzania Nguo za mtumba za watoto sh 500/1000Tzs anayeuza

    Habari za wakati na poleni na mihangahiko. Naulizia Nguo za mtumba za watoto kwa anayefungua mzigo kwa bei hiyo 500/1000TZS tuongee biashara hapa hapa na wengine wanufaike mi ninanunua naenda kuuza nipate angalau faida kidogo. Mimi niko mkoani.
  5. JamiiForums Tanzania Jamii isipuuze vipaji vya watoto

    Vipaji vya sanaa mbalimbali watoto huzaliwa navyo, wengine hujifunza kwa kuona kwa watoto wenzao na kuweza kumudu na hatimaye kuwa na uwezo katika sanaa husika. Mara nyingi vipaji vya watoto wetu vimekuwa vikichukuliwa kama sehemu ya michezo ya utotoni na hivyo mtoto kukosa msisitizo wa...
  6. JamiiForums Tanzania Mwalimu aliyelea wanafunzi wa Ustashi wakati watoto wake wamekua mateja

    Familia ya bwana kabati ilifikia hatua ya juu ya mafanikio katika jamii yao. Mwana kabati ni meneja wa benki na mama ni mwalimu tena alifikia kuwa Mwalimu Mkuu. Walibahatika kupata mapacha wawili wakiume. Baba akiwa meneja wazo la kuchukua mkopo na kuanzisha shule itakayoongozwa na mke wake...
  7. JamiiForums Tanzania Wazee wenzangu akiwemo Paskali Mayalla, tujitahidi sana watoto wetu wawe na kesho njema

    - Haya maisha haya? leo kidogo niaibishwe na mtoto wangu kutoka katika korodani zangu katika mojawapo ya kumbi ya starehe katika jiji maarufu. Kisa na mkasa kakutana na watoto wa big fives, kiukweli leo nimekuwa mpole sana. Pascal Mayalla
  8. D

    JamiiForums Tanzania Tabia ngumu ya mzazi, watoto mtaijua vizuri pale mzazi mmoja akifariki (wakiwa hivi pamoja hufichiana siri)

    Familia nyingi zina watu mizigo. Ninaposema tabia mizigo ninamaanisha watu wenye tabia ngumu kumeza. Watu ambao wanavumilika tu kwasababu ni ndugu au wazazi lakini kiuhalisia hawafai hawafai! (Yaani kama ni chakula basi hawafai kwa kulamba, kutafna au kulumangia). Na hizi tabia ngumu za wazazi...
  9. JamiiForums Tanzania Majibu ya damu yagundua mwanaume ana matatizo ya ugumba akiwa kwenye ndoa na watoto wanne

    Baba zao walikua maswaiba, katika kulinda mali za familia zao walipanga kuwaoza watoto wao. Binti hakuwahi kumkubali jamaa lakini kwake pia aliona ile ndoa ni life opportunity. Familia ya mume ilikua matawi ya juu. Baada ya harusi mke alileta house boy nyumbani. Ni kijana mdogo ndiyo...
  10. JamiiForums Tanzania Mambo Yanayosababisha Baadhi ya Watoto Wasifanye Vizuri Kwenye Masomo

    1. Matatizo ya kisaikolojia Watoto wanaweza kukabiliwa na matatizo mbalimbali ya kisaikolojia ambayo huathiri uwezo wao wa kujifunza shuleni. Baadhi ya watoto huzaliwa na matatizo haya huku mengine hutokana na matendo kama vile ukatili wa kijinsia au unyanyasaji mwingine wanaofanyiwa baadhi ya...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali imejipanga Vipi kuwahesabu Watoto wa Mitaani siku ya Sensa?

    Salaam Wakuu, Napenda kujua ni namna gani Serikali imejipanga kuwajumlisha Watoto wa Mtaani kwenye Sensa ya Taifa ili na wao wapate nafasi ya kuhudumiwa kama watu wengine. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepanga kufanya Sensa ya Watu na Makazi ifikapo mwezi Agosti 2022. Wizara ya...
  12. JamiiForums Tanzania Iringa: Watoto 19 wafanyiwa unyanyasaji wa kulawitiwa na mtoto wa miaka 15

    Hii habari niliyo isikia punde toka katika taarifa ya habari ya Ufm Ni huko Iringa mitaa ya Kiesa ambapo mtoto mmoja wa umri wa miaka 15 anaedaiwa kuwalawiti watoto wenzie zaidi ya 10 kwa kuwahadaa kwa vipipi na kuwawashia luninga nyumban kwao kisha kuwafanyia mchezo huo mbaya wa kikatili...
  13. JamiiForums Tanzania 17 wajeruhiwa katika shambulizi la hospitali ya kujifungua Ukraine - maafisa

    Takriban watu 17 wamejeruhiwa na shambulizi la angani la Urusi kwenye hospitali ya Mariupol, kulingana na utawala wa kijeshi wa Ukraine katika eneo la mashariki la Donetsk. Wafanyikazi na wanawake walio katika harakati za kijifungua walikuwa miongoni mwa waliojeruhiwa, maafisa walisema. Pavlo...
  14. JamiiForums Tanzania Wazazi tuwe tunatathmini watoto, elimu ya juu si wote wanaiweza

    Wazazi wengi hasa walioenda shule wanapenda watoto wao wa some Elimu ya juu yaani kidato cha tano, sita na kwenda chuoni kusoma degree na ikiwezekana apate na masters. Unapowalea watoto wako tangu wakiwa wadogo unaweza kuelewa mwenye kumbukumbu nzuri na mwenye kuelewa haraka. Pamoja na kuwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Je wewe ni mkongwe wa shamba au wa mjini? Umeona sinema ngapi kati ya hizi? Watoto nyie subirini kuangalia seasons

  16. JamiiForums Tanzania Nina watoto sita, kila mtoto na mama yake, sitaki mama zao wawe "single mothers", nawezaje kuishi nao wote?

    Nimebahatika kujenga nyumba mitaa hii ya Mbezi Msakuzi. Mimi kwa sasa nina jumla ya watoto sita kutoka kwa mama tofauti. Je nifanyeje niwa convince 😋 niishi nao wote nyumba moja? Napenda kuona watoto wangu wakiishi wote pamoja na Baba yao, wacheze pamoja na wale pamoja. Niwafundishe maadili...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ajira kwa vijana: Watoto wote wa viongozi wana ajira

    Nimekuwa nikiumizwa sana na vijana wengi wanaomaliza masomo kila mwaka na kukosa ajira. Uchunguzi niliyofanya nimegundua kuwa ajira karibu zote zinagawiwa kwa watoto wa viongozi wa kisiasa na serikali. Hakuna mtoto wa kiongozi asiye na ajira kama walivyo watoto wawakulima na wafanyakazi wa...
  18. JamiiForums Tanzania Watoto ombaomba ni halali kutolewa Mjini? Wakikamatwa Serikali inawapeleka wapi?

    Suala la watoto wa mitaani kwa sasa ni kama halizungumzwi kwa sauti kubwa kwa kuwa hapo kati mamlaka zikishughulika nao kwa kiwango cha juu. Nakumbuka kuna wakati Mzee Yusuph Makamba miaka ya nyuma alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alipambana sana na ombaomba wakiwemo watoto waliokuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Kama unashangaa au hauoni mantiki ya Putin kuivamia Ukraine basi wewe upo kwenye Kundi la watu hawa

    Unatazama movie , kwenye movie Kuna tukio limetokea let's say WTC imelipuliwa. One week later maelfu ya wamarekani wanakusanyika katika viwanja vya Madison square garden Kwa ajili ya kufanya ibada maalumu ya kuwaombea marehemu walio poteza Maisha Yao kwenye tukio Hilo pamoja Na kulaani walio...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Msinililie mimi bali jililieni ninyi nafsi zenu na watoto wenu

    Leo nakuja na aina nyingine ya mawazo kwa dhamira njema ya nchi yangu na taifa, hii siyo kwa ajili ya maslahi ya mtu mmoja mmoja ila kwa maslahi ya nchi Hivi toka uhuru hakujawahi kutokea mjumbe, balozi wa nyumba kumi, mwenyekiti wa mtaa au mjumbe wa kamati ya ya ulinzi na usalama wa mtaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…