Majibu ya damu yagundua mwanaume ana matatizo ya ugumba akiwa kwenye ndoa na watoto wanne

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
Baba zao walikua maswaiba, katika kulinda mali za familia zao walipanga kuwaoza watoto wao. Binti hakuwahi kumkubali jamaa lakini kwake pia aliona ile ndoa ni life opportunity. Familia ya mume ilikua matawi ya juu.

Baada ya harusi mke alileta house boy nyumbani. Ni kijana mdogo ndiyo kwanza amemaliza kidato cha nne. Houseboy alipewa servants quarter na furniture zote alinunuliwa.

Kitu cha heshima alichofanya bibi yule ni kuto mruhusu houseboy kuingia kwenye matrimonial bedroom anayolala na mume wake. Lakini jamaa akiwa kwenye mihangaiko mama anakua kwenye servants quarter na houseboy. Lengo na madhumuni ni kupata watoto wenye sura nzuri kwani sura ya mume wake hakukubaliana nayo.

Mtoto wa kwanza alizaliwa na wa pili na watatu mpaka wakafika wanne. Katika kipindi chote hiki, mke alimhakikishia mume wake kuwa yeye ndiye Managing Director wa nyumbani kama alivyo mume katika biashara zake na wasiingiliane. Houseboy alifundishwa udereva na akawa anawapeleka watoto shule na kuwachukua. Jioni alicheza nao mpira na kuwafundisha shughuli nyingi kama kutunza bustani na kupanda maua na mboga mboga.

Maisha yalikua mazuri sana, ni zile familia ukiziona kwenye Range Rover yao ya 2021 unatamani maisha yao.

Mid term walipanga kwenda kupumzika Dubai, mume alikua na mkutano muhimu Morogoro, katika kukamilisha taratibu za uwekezaji huko. Alijijua asipofanya hima atachelewa ndege, hivyo kutoka Morogoro akiiimbiza Range, aliishia kupata ajali mbaya sana.

Mungu ni mwema alinusurika na kifo. Lakini wakati wa matibabu madaktari walichukua damu kwa vipimo vingi, ndipo walipogundua ana rare condition na wanaume wenye hii condition huwa ni wagumba sasa yeye ni baba wa watoto wa nne inakuwaje?

Uchunguzi ulianzia hapa, na wahenga walisema hakuna siri chini ya jua.
 
Hatuwez kujua tatizo la ugumba limempata kabla au baada ya hao watoto.

Lazima kuwepo na cautious &calculated moves unapodeal na matatizo makubwa ya wanandoa Kama hayo.

Ukijump directly into conclusion ukaanza kunyooshea watu flani vidole,

Utajikuta umesababisha utengano,maafa na maangamizi kwny familia ya watu.

TAHADHALI NI MUHIMU NA UCHUNGUZI WA KINA UFANYIKE
 
Katika jamii ya Kimasai, kuna mwanaume ana wake nane. Na ni mgumba. Lakini ana watoto zaidi ya 40.

Anajijua hali yake. Lakini mwanamke haruhusiwi kubeba mimba kabla mzee hajaanza kula mzigo. Mwanamke sasa anafanya timing, mzee tu akianza kulala naye, anatafuta mwanaume anayependa kuzaa naye. Anamtungisha mimba kwa siri.

Mume asijue kwa lolote. Na mtoto akizaliwa, mpaka anakufa, ataendelea kumjua kama baba yake ni Mume wa mama yake.

Hata akiwa mkubwa akaupata ukweli, ataendelea kumheshimu mno baba yake huyo. Na ni muungano ambao utadumu milele.
 
Mtoa mada unataka kutuaminisha,
Kwamba uwepo wa uyo houseboy kwenye iyo nyumba kwa vizazi vyote vinne ndo kumechangia jamaa asiwe na uwezo wa kutungisha mimba?

Mtoa mada unataka kutuaminisha, kwamba kitendo Cha uyo mama kua anakwenda kwenye servant quarter ndiko kulikochangia kupatikana kwa watoto 4 ?

Mtoa mada unataka kutuaminisha,
Kwamba kitendo Cha houseboy kupandishwa cheo kua dreva ndiko kumechangia kupatikana kwa watoto 4 ?

Mtoa mada unataka kutuaminish,
kwamba mama mwenye nyumba aikua na mahusiano na houseboy wake,
Vipi Kuna mahali umewahi kuskia baba mwenye nyumba kamfumania mkewe na uyo house boy au dreva wao?

Mtoa mada unataka kutuaminisha, kwamba mahusiano mazur ya uyo mama na houseboy wao kwa miaka yot mpk wanapatikana watoto 4.

Ndo yamesababisha jamaa awe mgumba.
Unataka kusema walimroga,walimpa sumu au kumsababishia akose uwezo wa kutunga mimba?

Au unataka kutuaminisha Nini hasa?

MASWALI NI MENGI MDA NI MCHACHE
 
Katika jamii ya Kimasai, kuna mwanaume ana wake nane. Na ni mgumba. Lakini ana watoto zaidi ya 40.

Anajijua hali yake. Lakini mwanamke haruhusiwi mimba kabla mzee hajaanza kula mzigo. Mwanamke sasa anafanya timing, mzee tu akianza kulala naye, anatafuta mwanaume anayependa kuzaa naye. Anamtungisha mimba kwa siri.

Mume asijue kwa lolote. Na mtoto akizaliwa, mpaka anakufa, ataendelea kumjua kama baba yake ni Mume wa mama yake.

Hata akiwa mkubwa akaupata ukweli, ataendelea kumheshimu mno baba yake huyo. Na ni muungano ambao utadumu milele.
Kwakweli baba ni yule aliyepigania uhai wako, aliye amka asubuhi na kuhakikisha umekula, una nguo za kuvaa, una mahali Pa kulala, na mahitaji mengine kama shule na afya.

Kama baba hakufanya haya yote yeye ni sperm donor.
 
Mtoa mada unataka kutuaminisha,
Kwamba uwepo wa uyo houseboy kwenye iyo nyumba kwa vizazi vyote vinne ndo kumechangia jamaa asiwe na uwezo wa kutungisha mimba?

Mtoa mada unataka kutuaminisha, kwamba kitendo Cha uyo mama kua anakwenda kwenye servant quarter ndiko kulikochangia kupatikana kwa watoto 4 ?

Mtoa mada unataka kutuaminisha,
Kwamba kitendo Cha houseboy kupandishwa cheo kua dreva ndiko kumechangia kupatikana kwa watoto 4 ?

Mtoa mada unataka kutuaminish,
kwamba mama mwenye nyumba aikua na mahusiano na houseboy wake,
Vipi Kuna mahali umewahi kuskia baba mwenye nyumba kamfumania mkewe na uyo house boy au dreva wao?

Mtoa mada unataka kutuaminisha, kwamba mahusiano mazur ya uyo mama na houseboy wao kwa miaka yot mpk wanapatikana watoto 4.

Ndo yamesababisha jamaa awe mgumba.
Unataka kusema walimroga,walimpa sumu au kumsababishia akose uwezo wa kutunga mimba?

Au unataka kutuaminisha Nini hasa?

MASWALI NI MENGI MDA NI MCHACHE
Ni chai Kali San hi imeletwa nashukuru kwa kuona hili
 
Mama mwenye nyumba aliyafanya yote pasi kujua hali ya mume wake ki afya. Yeye alipenda sura ya houseboy na aliuza mechi kwa houseboy kila akiingia ovulation na kumalizia kwa mume wake.

Alipanga kitoy boy kiwe houseboy ili kubana mianya ya habari kuvuja. Hata akitoka kwenye quater ya toyboy anazuga alikua anaangalia nyanya tu bustanini.

Isingekua ajali kamwe mume asingejua yeye ni mlezi wa watoto wa mtu anaemuoshea gari. Alichoshangaa ni kuwa kila akimgombeza houseboy mke anasema kesi za houseboy aachiwe yeye kwani yeye ndiy MD nyumbani.
 
Wewe ushahidi wa Ayo yote unayohukumu umeutoa wapi?

Alikiri makosa yake?
Alikusimulia uko saloon?
Alifumaniwa?

Wewe hizo conclusion zako twambie unazitoa wapi? Kwa ushahidi upi?
 
Back
Top Bottom