watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. Jela miaka 150 kwa kubaka watoto wake watano(5)

    Mkazi wa Ndaleta wilaya ya Kiteto mkoa wa Manyara Jackson Ole Naiko (57) amehukumiwa kifungo cha miaka 150 na faini ya Milioni Tano (5,000,000/=) kwa kosa la kuwabaka watoto wake wa kuwazaa. Hakimu wa kesi hiyo Mosi Sassy amesema mahakama imezingatia ushahidi wa pande zote mbili na kila kesi...
  2. SoC03 Jinsi ya kuepuka kupata watoto wenye ulemavu au kupata watoto haraka kwa mwanamke tasa au mwanaume mgumba

    It goes down in one word! ZINC... Kwa utafiti ambao nimeanza kuufanya, matokeo ya awali yanahusisha utasa au ugumba na upungufu mkubwa wa madini ya zinc mwilini. Pia matokeo ya awali yanahusisha upungufu mkubwa wa madini ya Zinc na uwezekano wa kuzaa mtoto mwenye ulemavu wa kudumu. Upungufu...
  3. Chakula kilikuwa kizuri lakini mazingira ya wale watoto wake sikuyapenda

    Twende kazi Maisha ya ubachelor ni kazi Sana nakumbuka since way back kabla sijaoa..Kuna sehemu nilikuwa napata msosi mchana Mara chache nikiwa Niko free. Yule dada aliokuwa anamiliki mgawaha alikuwa mpishi mzuri Sana in short alikuwa anatengeneza msosi mtamu, kwa sisi wapenda kula alitukamata...
  4. Case study: Tangu nikiwa mdogo ni kawaida kukuta watoto wa kikristo wana malezi ya wazazi wote ila kwa waislam ni mama tu, nini chanzo?

    Walengwa ni watoto ambao wazazi wao walifunga ndoa, Ukweli familia nyingi za kiislamu watoto kukua na mama bila baba kuwa karibu ni kawaida sana Nilianza kuyaona haya nilipofika darasa la tano, nakumbuka nikiwa naenda kwenye nyumba ya rafiki yangu wa kiislam kwenda kucheza game namkuta mama...
  5. Wazazi mnafatilia kweli kujua mabasi ya shule yanayobeba watoto wenu yana hali gani? Au mkishalipa hela mmemaliza?

    Habari Wakuu, Leo asubuhi wakati naenda kwenye michakato yangu nimekutana na magari mawili njiani yakiwa na wanafunzi, kwakweli yanaogopesha na inatisha. Gari moja lilikuwa la wanafunzi na jingine la mtu binafsi lakini pia limebeba wanafunzi. Gari lililobeba wanafunzi, gari la Shule ya St...
  6. Naishauri Serikali itoe ruzuku Bima ya Afya ya watoto

    Serikali hii yenye fedha nyingi mno kiasi cha baadhi ya watu kujichotea mihela bila aibu hata hofu ya Mungu haiwezi kushindwa kutoa ruzuku kwenye bima ya afya ya watoto. Nilimsikia waziri wa afya akilalamika kuwa michango ni bilioni 4 wakati matumizi ni bilioni 40 (kwa mwaka?). Serikali hii...
  7. CHADEMA waache kutumia watoto kwenye mikutano ya kisiasa

    Ni kwa nia njema tu katika kulinda haki za watoto. Kwenye picha za mikutano ya chadema utaona idadi kubwa ya watoto pengine kuliko hata watu wazima. Hii si sawa. Akili ya watoto haina uwezo wa kupambanua mambo yanayohusu siasa. Badala yake watawatengezea tu msongo wa mawazo.
  8. Kuna viongozi wenye watoto wanaosoma kwenye shule yenye madarasa kama haya?

  9. Msaada: Daktari mtaalamu wa watoto

    Wanabodi, heshima mbele.. Nina binti yangu mdogo wa miezi mitatu sasa. Tatizo lake kubwa ni kucheua /kutema maziwa kupitiliza. Yani akinyonya tuu, ndani ya dakika chini ya tano anakuwa ameshayatema yote. Sio asubuhi, sio mchana, sio usiku. Hali hii imesabisha uzito wake kuongezeka kwa kiasi...
  10. Ni sawa kwa baba au mama kuwaficha watoto kuwa ana ugonjwa wa (UKIMWI)

    Habari zenu Wana Jamii forums Wazazi wengi wanaishi na ugonjwa wa UKIMWI kwa Siri bila watoto wao kujua na wanatumia ARV kwa siri chumbani. Na wengi wao wanaogopa kueleza Hali zao za Afya kwa familia wakihofia kudharaulika,sababu watoto now days shuleni wanajifunza UKIMWI unatokana na ngono zembe.
  11. Madereva wa magari ya shule ni hatari kwa maisha ya watoto wetu

    Siku Hizi kumekuwa na trend ya matukio kadhaa ya madereva wa gari za shule 'School Bus' kuwa rough njiani, na hawako makini kabisa, hawajali kabisa kama wamebeba watoto ndani ya gari hizo. Hii video ni moja ya matukio ambayo yamekamatwa kwenye camera Gari ya shule yenye jina la MARTHA...
  12. Watoto wameshalala ni kampeni ya kuchocheo mmomonyoko wa maadili

    WAONGOZAJI MADANGURO ambao pia wana dhaminiwa na watu wa upinde wa mvua kwa maksudi kuharibu kizazi cha TANGANYIKA wanalipiwa bando na posho kila usiku huku wakiwa kila mtu na akaunti zisizopungua 10 na kila moja ipo active, hawa WATOTO WAMELALA wanaposti picha za wanawake ama wakiwa uchi ama...
  13. Naungana na Shigongo Mawaziri na Watumishi wote wa serikali watoto wao wasome shule za serikali

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema huko tunapoenda tuweke utaratibu kuwa mtu akichaguliwa kuwa waziri, mtoto wake asome shule za serikali. Amesema hii itasaidia kufanya mawaziri wasimame mitaala na kuunda sera zenye maslahi mapana kwa taifa Amesema hayo akijadili bajeti ya elimu...
  14. Watoto 4 Wakutwa Wakiwa Hai Siku 16 Baada ya Ajali ya Ndege

    Maofisa nchini Colombia, wanasema watoto wanne waliotoweka tangu ndege kuanguka msituni, wamepatikana wakiwa hai zaidi ya wiki mbili baadaye. Mama yao na watu wazima wengine, walifariki katika ajali hiyo. Shirika la Serikali la Ustawi wa Watoto (ICBF), lilisema limepata taarifa kutoka eneo hilo...
  15. Jamii na makabila mengi yanataratibu zao, hii ya kurithi watoto imekaaje?

    Inatokea mzazi amefatiki, tuseme baba anatokea. Baba mdogo anawarithi watoto kuwapa tumaini la uwepo na baba Yao mzazi, Wakuu ikiwa baba mdg anakiwa KERO je ukiamua kujua maisha yako, akidai atakulaani inahusu hapa?..
  16. Kilichobaki sasa kila mtu apambane aidha yeye au watoto wake wakaajiriwe TRA.

    Hi! Kama umri unatosha unaweza ukajipanga issue za kupata elimu (makaratasi) ya kukuwezesha kuajiriwa TRA au ofisi zingine nyeti nyeti ndani ya serikali tukufu ya JMT ill ukajenge nchi. Ukishindwa wewe basi weka juhudi kwa watoto wako wakajenge nchi.
  17. Kuoa sio maendeleo acheni kulazimisha watoto kuoa mapema

    Imekua ni kawaida kwa Vijana wengi kuoa mapema kuanzia miaka 20-25 tatizo wengi wanaolea nyumbani kwa wazazi unakuta nyumba vyumba vitatu Babu, Bibi, Baba, Mama na Wajukuu wengi mithili ya vifaranga wa Tai. Wote wanaishi hapo nyumbani. Muda ambao kijana alitakiwa kutafuta maisha ndio...
  18. Msaada: Nataka kwenda Ustawi wa Jamii, baba wa watoto ananisumbua huduma

    Naombeni msaada nataka kwenda ustawi, baba wa watoto huduma ananisumbua maana ni mfanyakaz serikalini na mimi ni mke wa ndoa tuna watoto wawili
  19. Nitawashangaa watoto wa Lemutuz wakigandana huko Marekani na kutelekeza mirathi ya baba yao

    Mi naona Lemutuz alikuwa mjasiriamali mpambanaji kwenye sekta ya social media na matangazo. Sekta ambayo kwa Tanzania na kwa ukubwa wake na mazingira ya matangazo mitandaoni, inaweza kuwa na potential ya kukuingizia sio chini ya free cash flow ya Tsh. 5 hadi Tsh. 6 million kwa mwezi ukiondoa...
  20. Watoto wanaochukua mfanano wa mama zao au wajomba zao; sisi baba zao huwa tunakuwa katika wakati mgumu sana

    Unakuta mtoto hana mfanano wowote kwa upande wa baba au ndugu za baba yake; wengi sisi wababa huwa tunahisi, tumepigwa na kitu kizito kichwani. Ingawa waswahili wanasema kitanda hakizai haramu; lakini kutokuwa na mfanano wowote huwa inatutesa sana. Wakuu, hili huwa mnalichukuliaje?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…