Swimming pool za wapi zenye watoto?

February Makamba

JF-Expert Member
Jan 31, 2020
2,116
2,820
Wadau wa kupiga mbizi tujuane tupeane na machimbo.

Mimi napenda kupiga maji Kila weekend na napenda pia pool iwe na watoto wakali...ila sio zile za uswahilini isijae watu mob mpaka ukose pa kukanyaga...Zile swaga za Dem mmoja anaingia anapiganiwa na watu sita siziwezi.

Napenda Ile unakuta pool kubwa ila watu kama 15 tu na watoto Kama wote. Drinks na mziki wa mbali kwa pembeni.

Kama mdau tumeelewana tupeane machimbo,
Naanza mimi
1. Viva villa mbezi
2. Sunrise hotel kigamboni
3.........
 
Zitaje baadhi
Mkuu, Swimming Pools zote ambazo unalipia 10,000 kwenda kuogelea, hizo ni sawa na Choo cha Jumuiya.
Labda zile Swimming Pools za Five Star Hotels zina afadhali, kwakuwa watumiaji wake wamestaarabika.
Huo mchezo mchafu sana yani... halafu sikuizi kuna mijitu inajionea kawaida tu 🤢
Ndio kizazi cha sasa kilipofikia, Ngono ndio inaongoza akili zao.
Tangu siku dem wangu alipoogelea kwenye swimming pool huku akiwa period sijawahi kuoga tena
February Makamba umesoma alichoandika mchangiaji hapo juu? Huo ndio UKWELI na Uhalisia wenyewe.
 
Wengi humu Wanaogelea kwenye Mitaro na mabwawa ya Samaki, akitoka swimming pool anatafuta bafu akaoge.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom