UN: Ghaza imegeuka eneo la makaburi ya watoto kufuatia hujuma ya Israel

Malaria 2

JF-Expert Member
Oct 17, 2023
2,646
3,936

Nov 01, 2023 12:18 UTC

  • UN: Ghaza imegeuka eneo la makaburi ya watoto kufuatia hujuma ya Israel
Eneo la Wapalestina la Ghaza limegeuka kuwa makaburi kwa watoto kwani maelfu wameuawa kufuatia mashambulizi yanayofanywa na utawala haramu wa Israel, huku zaidi ya watoto milioni moja wakikabilwa na uhaba wa mahitaij muhimu na maisha yao ya baadaye yakiwa mashakani.

Hii ni kauli ya Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Misaada ya Kibinadamu, OCHA, Martin Griffiths aliyoitoa kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa X. Griffiths amezungumza Jumanne kwa njia ya simu na familia zilizoko Ghaza akiwa Quds (Jerusalem) Mashariki, familia ambazo zimemsimulia kile wanachopitia tangu utawala haramu wa Israel uanzishe mashambulizi ya kinyama Oktoba 7.

Naye James Elder, msemaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto, UNICEF, amenukuliwa akisema kwamba Wizar Aya Afya ya Palestina imethibitsha kuwa hadi sasa watoto 3,450 wameuawa katika hujuma za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Ghaza.

Ofisi ya OCHA nayo imeripoti kuwa watoto wengine 1,000 Ghaza hawajulikani waliko na pengine wamenasa au wamefukiwa wakiwa tayari wamekufa kwenye vifusi vya majengo yaliyobomolewa kwa mashambulizi.
 
Muislam akifa kwa kuuliwa na kafiri ni peponi na akimuua kafiri ktk vita kama hivi ni peponi.
Sasa km ni hivo tafuteni kitu cha hiloshima ...nuke moja matata mtandike nchi zote za wakristo na sisi wapagani ili huyo allah afurahi
 
Muislam akifa kwa kuuliwa na kafiri ni peponi na akimuua kafiri ktk vita kama hivi ni peponi.

Umeandika uzi kwa huruma sana mpaka ukasabisha nipate huzuni na kuwahurumia, ila kuja huku chini nakutana na hii comment yako mnavyojitapa, na hiki ndio kinachoendelea kule, HAMAS wanachokoza halafu wanajificha ndani ya raia ili waonewe huruma.
Muamue moja, aidha mlie lie tuwaonee huruma au mjishaue muendelee kupokea kichapo.
 
Muislam akifa ktk vita hivi ni peponi kafiri motoni
 
Umeandika uzi kwa huruma sana mpaka ukasabisha nipate huzuni na kuwahurumia, ila kuja huku chini nakutana na hii comment yako mnavyojitapa, na hiki ndio kinachoendelea kule, HAMAS wanachokoza halafu wanajificha ndani ya raia ili waonewe huruma.
Muamue moja, aidha mlie lie tuwaonee huruma au mjishaue muendelee kupokea kichapo.
Ujinga ni mzigo pole sana
 
Nov 01, 2023 12:18 UTC

  • UN: Ghaza imegeuka eneo la makaburi ya watoto kufuatia hujuma ya Israel
Eneo la Wapalestina la Ghaza limegeuka kuwa makaburi kwa watoto kwani maelfu wameuawa kufuatia mashambulizi yanayofanywa na utawala haramu wa Israel, huku zaidi ya watoto milioni moja wakikabilwa na uhaba wa mahitaij muhimu na maisha yao ya baadaye yakiwa mashakani.

Hii ni kauli ya Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Misaada ya Kibinadamu, OCHA, Martin Griffiths aliyoitoa kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa X. Griffiths amezungumza Jumanne kwa njia ya simu na familia zilizoko Ghaza akiwa Quds (Jerusalem) Mashariki, familia ambazo zimemsimulia kile wanachopitia tangu utawala haramu wa Israel uanzishe mashambulizi ya kinyama Oktoba 7.

Naye James Elder, msemaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto, UNICEF, amenukuliwa akisema kwamba Wizar Aya Afya ya Palestina imethibitsha kuwa hadi sasa watoto 3,450 wameuawa katika hujuma za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Ghaza.

Ofisi ya OCHA nayo imeripoti kuwa watoto wengine 1,000 Ghaza hawajulikani waliko na pengine wamenasa au wamefukiwa wakiwa tayari wamekufa kwenye vifusi vya majengo yaliyobomolewa kwa mashambulizi.
Walaumu ndugu zako magaidi wa Hamas.

Bila kuchokoza mzinga wa Nyuki saa hizi wapalestina wangekuwa majumbani wanatwanga tu Ulojo.

Mchumba Janga hula na wa kwao
 
Nov 01, 2023 12:18 UTC

  • UN: Ghaza imegeuka eneo la makaburi ya watoto kufuatia hujuma ya Israel
Eneo la Wapalestina la Ghaza limegeuka kuwa makaburi kwa watoto kwani maelfu wameuawa kufuatia mashambulizi yanayofanywa na utawala haramu wa Israel, huku zaidi ya watoto milioni moja wakikabilwa na uhaba wa mahitaij muhimu na maisha yao ya baadaye yakiwa mashakani.

Hii ni kauli ya Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Misaada ya Kibinadamu, OCHA, Martin Griffiths aliyoitoa kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa X. Griffiths amezungumza Jumanne kwa njia ya simu na familia zilizoko Ghaza akiwa Quds (Jerusalem) Mashariki, familia ambazo zimemsimulia kile wanachopitia tangu utawala haramu wa Israel uanzishe mashambulizi ya kinyama Oktoba 7.

Naye James Elder, msemaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto, UNICEF, amenukuliwa akisema kwamba Wizar Aya Afya ya Palestina imethibitsha kuwa hadi sasa watoto 3,450 wameuawa katika hujuma za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Ghaza.

Ofisi ya OCHA nayo imeripoti kuwa watoto wengine 1,000 Ghaza hawajulikani waliko na pengine wamenasa au wamefukiwa wakiwa tayari wamekufa kwenye vifusi vya majengo yaliyobomolewa kwa mashambulizi.
Wa kulaumiwa ni magaidi wa hamas
 
Back
Top Bottom