Balozi wa Palestina aliepo Tanzania awapigie simu HAMAS waachie watoto wetu waliotekwa na magaidi hao au arudi kwao Palestina

Mr Nyau

JF-Expert Member
Oct 18, 2018
1,128
2,338
Ndugu watanzania , Vijana wetu wawili waliomiongoni na vijana wengine waliopelekwa nchini Israel kwa ajili ya mafunzo ya kilimo wametekwa na kundi la kigaidi ambalo linaungwa mkono na palestina vijana hao kwa majina ni Joshua Loitu Mollel and Clemence Felix Mtenga

Taarifa hizi zimechapishwa katika ukurasa maalumu wa serikali ya Israel katika mtandao X (twitter)
nanukuu "Joshua Loitu Mollel and Clemence Felix Mtenga from #Tanzania were in Israel as a part of an Agricultural Internship Program.

They were kidnapped by Hamas terrorists and are being held hostage in Gaza.

Please join us in praying for their safe and immediate return. "

View: https://twitter.com/Israel/status/1718620871714103699?t=3jsTj2ru-Sv4FZ6t-SvH-Q&s=19

Kutokana na Taarifa hii

Tunaitaka Serikali itoe tamko ikiwa ni pamoja na Balozi wa palestina aliepo hapa Tanzania awapigie simu hao magaidi Hamas waachie vijana wetu.

Post hii (imenukuliwa kutoka twitter)
 
Fatah na Hamas hawana maelewani,Hamas wanawaona Fatah kama vibaraka so kikubwa ni Balozi Wetu kutafuta Viongozi wa Iran au Russia wawasiliane na Viongozi wa Hamas wataachiwa maana Kwa asili Tanzania ni pro Palestine Toka enzi za Mwalimu na picha za matukio zipo ikiwepo kufuta mahusiano na Israel
 
Ingekuwa nchi nyingine kungetokea maandamano kuelekea ubalozi wa palestina kushinikiza raia wao waachiwe huru na kikundi hicho cha kipalestina kinachotawala Gaza. Huyu balozi aambiwe tu kuwa wale raia wa Tanzania waachiwe,Tanzania haina ugomvi na palestina
 
Ndugu watanzania , Vijana wetu wawili waliomiongoni na vijana wengine waliopelekwa nchini Israel kwa ajili ya mafunzo ya kilimo wametekwa na kundi la kigaidi ambalo linaungwa mkono na palestina vijana hao kwa majina ni Joshua Loitu Mollel and Clemence Felix Mtenga

Taarifa hizi zimechapishwa katika ukurasa maalumu wa serikali ya Israel katika mtandao X (twitter)
nanukuu "Joshua Loitu Mollel and Clemence Felix Mtenga from #Tanzania were in Israel as a part of an Agricultural Internship Program.

They were kidnapped by Hamas terrorists and are being held hostage in Gaza.

Please join us in praying for their safe and immediate return. "

View: https://twitter.com/Israel/status/1718620871714103699?t=3jsTj2ru-Sv4FZ6t-SvH-Q&s=19

Kutokana na Taarifa hii

Tunaitaka Serikali itoe tamko ikiwa ni pamoja na Balozi wa palestina aliepo hapa Tanzania awapigie simu hao magaidi Hamas waachie vijana wetu.

Post hii (imenukuliwa kutoka twitter)

Aione FaizaFoxy
 
Back
Top Bottom