Kupigwa kwa kambi ya Jabaliya. Watoto wanabeba maiti za wenzao

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,194
10,929
Kambi yaJabaliya ambayo ipo kaskazini ya Gaza ni moja ya eneo lenye msongamano mkubwa zaidi katika Gaza na mitaa yake si rahisi kupita hata gari.Kambi hiyo ni matokeo ya kufukuzwa wapalestina kutoka maeneo yao jirani na hapo mnamo mwaka 1948.

Katika taarifa yake serikali ya Israel kupitia msemaji wa jeshi imesema ilifanya hivyo ili kumpata kamanda mmoja wa Hamas aliyeshiriki kupanga shambulio la Oktoba 7.

Kupigwa kwa kambi hiyo ndio kumeijulisha dunia zaidi Israel na jeshi lake la IDF ni nani.

1. Ni waongo sana
Hamas wamesema hawana kamanda yeyote anayeishi kwenye kambi hiyo.

2.Ni waoga wa mwisho
Walikuwa wanamsaka kamanda mmoja lakini wamerusha makombora 7 mazito yaliyoangusha majengo zaidi ya 20.Inakuwaje mtu mmoja anapigwa na idadi ya yote hiyo ya makombora.

Kwa vile wametangaza wameshaingia Gaza si wangetuma askari kwenda kumuu huyo kama waliyemtaka bila kutumia ndege.

Katika shambulio hilo watu zaidi ya 100 wengi wakiwa ni watoto wameripotiwa kufa hapo hapo na wengi kujeruhiwa.

Waandishi wa habari na wahudumu wa mashirika ya kutoa misaada ambao si waislamu wamehuzunishwa sana na shambulio hilo kwa watu maskini.

Kilichowatoa machozi baadhi yao ni kuona watoto wadogo wakibeba maiti za watoto wenzao na wengine wakbeba majeruhi waliokuwa viuongo vikidondoka chini.

Akinamama na watoto walionekana kupata mshtuko na kutojua wapi waelekee na maiti na majeruhi hao mikononi mwao.

imewahuzunisha sana kuona watoto wa kike kwa kiume wakiingia kwenye shughuli hiyo kubeba maiti na majeruhi bila kuelekezwa na yeyote huku wakiwa wamechanganyikiwa.

Hayo ndio madhara ya Hamas kutumia watu wa Gaza kama kinga Yao/Humanshield.Israeli ilipowaambia watu wa Gaza waondoka walijua haya yangetokea.Kukaa karibu na Hamas inachukuliwa na wewe ni mmoja wao🤔
 
Kambi yaJabaliya ambayo ipo kaskazini ya Gaza ni moja ya eneo lenye msongamano mkubwa zaidi katika Gaza na mitaa yake si rahisi kupita hata gari.Kambi hiyo ni matokeo ya kufukuzwa wapalestina kutoka maeneo yao jirani na hapo mnamo mwaka 1948.
Katika taarifa yake serikali ya Israel kupitia msemaji wa jeshi imesema ilifanya hivyo ili kumpata kamanda mmoja wa Hamas aliyeshiriki kupanga shambulio la Oktoba 7.
Kupigwa kwa kambi hiyo ndio kumeijulisha dunia zaidi Israel na jeshi lake la IDF ni nani.
1. Ni waongo sana
Hamas wamesema hawana kamanda yeyote anayeishi kwenye kambi hiyo.
2.Ni waoga wa mwisho
Walikuwa wanamsaka kamanda mmoja lakini wamerusha makombora 7 mazito yaliyoangusha majengo zaidi ya 20.Inakuwaje mtu mmoja anapigwa na idadi ya yote hiyo ya makombora.
Kwa vile wametangaza wameshaingia Gaza si wangetuma askari kwenda kumuu huyo kama waliyemtaka bila kutumia ndege.
Katika shambulio hilo watu zaidi ya 100 wengi wakiwa ni watoto wameripotiwa kufa hapo hapo na wengi kujeruhiwa.Waandishi wa habari na wahudumu wa mashirika ya kutoa misaada ambao si waislamu wamehuzunishwa sana na shambulio hilo kwa watu maskini.
Kilichowatoa machozi baadhi yao ni kuona watoto wadogo wakibeba maiti za watoto wenzao na wengine wakbeba majeruhi waliokuwa viuongo vikidondoka chini.
Akinamama na watoto walionekana kupata mshtuko na kutojua wapi waelekee na maiti na majeruhi hao mikononi mwao.
imewahuzunisha sana kuona watoto wa kike kwa kiume wakiingia kwenye shughuli hiyo kubeba maiti na majeruhi bila kuelekezwa na yeyote huku wakiwa wamechanganyikiwa.

Kila penye Hamas mmoja hata kama yupo katikati ya raia 500 piga na kuteketeza wote. Nyambafu
 
Hivi una habari wapalestina wako under occupation kwa miaka zaidi ya 75. Hauna huruma kwao hata kidogo?
Wakristo wa Ulaya wana huruma kuliko wa Tanzania.Sijui ni kwa nini.
Katibu mkuu UN pia kaona ukweli lakini huyu pangu pakavu hapati huruma kama hiyo.
 
Ni kama kukumbatia panya road ktk makazi yenu na kuzuia serikali kutekeleza majukumu yake

927FB293-D101-45AA-A564-E00DB6B0398B.jpeg
 
Na wewe kwa akili zako ulitegemea Hamas wakubali kweli kwamba kamanda wao alikimbilia kujichanganya na wakazi wa hapo ili wao walaumiwe?
Haielekei kamanda wa Hamas aende hapo.Wale wanaowapiga askari wa IDR nje ya kambi wanapata amri kutoka kwa nani
 
Kambi yaJabaliya ambayo ipo kaskazini ya Gaza ni moja ya eneo lenye msongamano mkubwa zaidi katika Gaza na mitaa yake si rahisi kupita hata gari.Kambi hiyo ni matokeo ya kufukuzwa wapalestina kutoka maeneo yao jirani na hapo mnamo mwaka 1948.
Katika taarifa yake serikali ya Israel kupitia msemaji wa jeshi imesema ilifanya hivyo ili kumpata kamanda mmoja wa Hamas aliyeshiriki kupanga shambulio la Oktoba 7.
Kupigwa kwa kambi hiyo ndio kumeijulisha dunia zaidi Israel na jeshi lake la IDF ni nani.
1. Ni waongo sana
Hamas wamesema hawana kamanda yeyote anayeishi kwenye kambi hiyo.
2.Ni waoga wa mwisho
Walikuwa wanamsaka kamanda mmoja lakini wamerusha makombora 7 mazito yaliyoangusha majengo zaidi ya 20.Inakuwaje mtu mmoja anapigwa na idadi ya yote hiyo ya makombora.
Kwa vile wametangaza wameshaingia Gaza si wangetuma askari kwenda kumuu huyo kama waliyemtaka bila kutumia ndege.
Katika shambulio hilo watu zaidi ya 100 wengi wakiwa ni watoto wameripotiwa kufa hapo hapo na wengi kujeruhiwa.Waandishi wa habari na wahudumu wa mashirika ya kutoa misaada ambao si waislamu wamehuzunishwa sana na shambulio hilo kwa watu maskini.
Kilichowatoa machozi baadhi yao ni kuona watoto wadogo wakibeba maiti za watoto wenzao na wengine wakbeba majeruhi waliokuwa viuongo vikidondoka chini.
Akinamama na watoto walionekana kupata mshtuko na kutojua wapi waelekee na maiti na majeruhi hao mikononi mwao.
imewahuzunisha sana kuona watoto wa kike kwa kiume wakiingia kwenye shughuli hiyo kubeba maiti na majeruhi bila kuelekezwa na yeyote huku wakiwa wamechanganyikiwa.
Wewe utakuwa ni muongo, Hamas wamesema watu hamsini wewe unasemaje 100. Hiyo idadi umelipata wapi.
Hujawahi kuona watoto wamebeba wenzao! Kweli au ni ule unafiki tu.
Hukaona Somalia watoto
Kambi yaJabaliya ambayo ipo kaskazini ya Gaza ni moja ya eneo lenye msongamano mkubwa zaidi katika Gaza na mitaa yake si rahisi kupita hata gari.Kambi hiyo ni matokeo ya kufukuzwa wapalestina kutoka maeneo yao jirani na hapo mnamo mwaka 1948.
Katika taarifa yake serikali ya Israel kupitia msemaji wa jeshi imesema ilifanya hivyo ili kumpata kamanda mmoja wa Hamas aliyeshiriki kupanga shambulio la Oktoba 7.
Kupigwa kwa kambi hiyo ndio kumeijulisha dunia zaidi Israel na jeshi lake la IDF ni nani.
1. Ni waongo sana
Hamas wamesema hawana kamanda yeyote anayeishi kwenye kambi hiyo.
2.Ni waoga wa mwisho
Walikuwa wanamsaka kamanda mmoja lakini wamerusha makombora 7 mazito yaliyoangusha majengo zaidi ya 20.Inakuwaje mtu mmoja anapigwa na idadi ya yote hiyo ya makombora.
Kwa vile wametangaza wameshaingia Gaza si wangetuma askari kwenda kumuu huyo kama waliyemtaka bila kutumia ndege.
Katika shambulio hilo watu zaidi ya 100 wengi wakiwa ni watoto wameripotiwa kufa hapo hapo na wengi kujeruhiwa.Waandishi wa habari na wahudumu wa mashirika ya kutoa misaada ambao si waislamu wamehuzunishwa sana na shambulio hilo kwa watu maskini.
Kilichowatoa machozi baadhi yao ni kuona watoto wadogo wakibeba maiti za watoto wenzao na wengine wakbeba majeruhi waliokuwa viuongo vikidondoka chini.
Akinamama na watoto walionekana kupata mshtuko na kutojua wapi waelekee na maiti na majeruhi hao mikononi mwao.
imewahuzunisha sana kuona watoto wa kike kwa kiume wakiingia kwenye shughuli hiyo kubeba maiti na majeruhi bila kuelekezwa na yeyote huku wakiwa wamechanganyikiwa.
Wewe nawe utakuwa muongo kama hao Israel.
Hamas wanasema tena waziri wao wa afya waliouwa ni hamsini.
Swala la la watoto kuwabeba wenzao ina maana hujawahi kuona ,au ni huo unafiki tu!.
Somalia watoto wanabeba wenzao Kila.uchao ,Ethiopia, Yemen, Nigeria hukuona kule yugoslavia.
Basi jua vita haichagui mtoto wala mwanamke wala.mzee.
Wanaosalimika.watasaidiana kwa ndivyo hali ilivyo kwa wakati huo.
Nilisema humu Israel watakapoingia viunga vya Gaza watapenyeza watafuta habari katika maeneo mengi ndani ya Gaza ili kupata taarifa za hamas, wakijua yupo hata mmoja nyumba fulani lazima hiyo nyumba ivunjwe .
Ama kuhusu hamas kukanusha , ulitegemea waseme ndiyo tunajifucha huko!
 
Haielekei kamanda wa Hamas aende hapo.Wale wanaowapiga askari wa IDR nje ya kambi wanapata amri kutoka kwa nani
Labda kama uamue kukaza fuvu but kwa akili ya kawaida tu Hamas siku zote wao wakishachokoza hukimbilia ndani ya mitaa yenye makazi ya watu maana wanajua kwa kufanya hivyo raia watakufa na dunia itawatetea ila tujiulize........

Lengo lao wanadai ni kuikomboa ardhi ya Palestine inayokaliwa kimabavu na Israel,sasa kwanini wao wasisonge mbele kuelekea Israel na kuweka ukuta wa kijeshi wa mashambulizi kulinda raia wa Gaza instead wanarudi tena ndani ya Gaza?kwani wanachokipigania kipo hapo Gaza au nje ya Gaza?
 
Kambi yaJabaliya ambayo ipo kaskazini ya Gaza ni moja ya eneo lenye msongamano mkubwa zaidi katika Gaza na mitaa yake si rahisi kupita hata gari.Kambi hiyo ni matokeo ya kufukuzwa wapalestina kutoka maeneo yao jirani na hapo mnamo mwaka 1948.
Katika taarifa yake serikali ya Israel kupitia msemaji wa jeshi imesema ilifanya hivyo ili kumpata kamanda mmoja wa Hamas aliyeshiriki kupanga shambulio la Oktoba 7.
Kupigwa kwa kambi hiyo ndio kumeijulisha dunia zaidi Israel na jeshi lake la IDF ni nani.
1. Ni waongo sana
Hamas wamesema hawana kamanda yeyote anayeishi kwenye kambi hiyo.
2.Ni waoga wa mwisho
Walikuwa wanamsaka kamanda mmoja lakini wamerusha makombora 7 mazito yaliyoangusha majengo zaidi ya 20.Inakuwaje mtu mmoja anapigwa na idadi ya yote hiyo ya makombora.
Kwa vile wametangaza wameshaingia Gaza si wangetuma askari kwenda kumuu huyo kama waliyemtaka bila kutumia ndege.
Katika shambulio hilo watu zaidi ya 100 wengi wakiwa ni watoto wameripotiwa kufa hapo hapo na wengi kujeruhiwa.Waandishi wa habari na wahudumu wa mashirika ya kutoa misaada ambao si waislamu wamehuzunishwa sana na shambulio hilo kwa watu maskini.
Kilichowatoa machozi baadhi yao ni kuona watoto wadogo wakibeba maiti za watoto wenzao na wengine wakbeba majeruhi waliokuwa viuongo vikidondoka chini.
Akinamama na watoto walionekana kupata mshtuko na kutojua wapi waelekee na maiti na majeruhi hao mikononi mwao.
imewahuzunisha sana kuona watoto wa kike kwa kiume wakiingia kwenye shughuli hiyo kubeba maiti na majeruhi bila kuelekezwa na yeyote huku wakiwa wamechanganyikiwa.

Sema Takbirrrr
 
Back
Top Bottom