watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jamani, Msikimbie majukumu ya watoto wenu wa nje. Ukizaa jua kuna kulea mtoto

    Habari wa jf. Kuna rafiki yangu mmoja alioa mwanamke mwenye mtoto tena mapacha ni wakike tupu. Ila wao wanakaa kwa Baba yao na Baba yao ashaoa na amezaa watoto 3 na mke wake huyo mwingine 1 alizaa na mchepuko ni mdogo, Kwa hio mwamba anawatito 6 home kwake. Huyu rafiki yangu yeye anawatoto 2...
  2. JamiiForums Tanzania Uchoyo kwenye Ndoa, Mkeo na watoto wamekondeana alafu wewe umenawiri

    UCHOYO KWENYE NDOA, MKEO NA WATOTO WAMEKONDEANA ALAFU WEWE UMENAWIRI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Wakati nakua Wazee wangu walitupiga marufuku kula bingo. Bingo ñi chakula ambacho vijana wanachanga pesa kisha wanaenda kukipika, inaweza kuwa Nguna(ugali) na samaki au nyama yenye...
  3. JamiiForums Tanzania Nauliza hivi shule ya Sunshine Secondary kibaha wanapokea watoto wa kidato cha nne?

    I mean kumhamisha mwanafunzi kutoka shule nyingine kumpeleka Sunshine Sec Kibaha ahamie kidato cha nne dirisha la January 2024? Au hawapokeagi wanafunzi kuhamia kidato cha nne? Vipi kuhusu ufaulu wao? Ada zao ni how much? Maadili?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Vigogo na Watoto wa Vigogo wana mitaji lakini mbona hawajiajiri?

    Kwanza nikiri watoto wa vigogo wengi wamesoma sana na wana bidii sana kwenye masomo. Zamani niliaminishwa vijijini kwamba watoto wa matajiri hawapendi shule na kwamba huwa wanafeli. Baada ya kusogea mbele ki elimu nikahama mkoa niliokuwa naishi huko vijijini nilikutana na ulimwengu wa tofautu...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Walimu Shule ya Msingi Chanika, acheni kuwafungia darasani watoto wasiotoa mchango wa chakula

    Katika hali isiyotarajiwa wanafunzi wameanza kupata shida mashuleni. Iko hivi, baada ya Serikali kutoa mwongozo kwa ajili ya watoto wetu kula chakula mashuleni hali imekuwa tofauti kabisa. Watoto wanalalamika kuwa chukula wanachopewa ni kibaya, wameenda mbali na kusema wakati mwingine kinakuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi wazazi na walezi mnawezaje kuishi watoto viburi majumbani kwenu?

    Mimi ni mtoto wa pili katika familia ya watoto 8 nina miaka 27, bado naishi nyumba ya kifamilia bado mambo bila bila (maisha magumu kuhama) nimepoteza mzazi wa kike na wakiume anaishi mbali kidogo na sisi ila tunashukuru hajakataa uzazi wake. Kama mnavyojua katika familia lazima baadh ya muda...
  7. JamiiForums Tanzania Mbunge Ntate: Wazazi Kuweni Makini na Malezi Hasa ya Watoto wa Kike

    Mbunge wa Viti Maalum (Anayewakilisha Wafanyakazi Nchini) Anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janejelly James Ntate amewaasa wazazi na walezi kuwa makini na malezi ya watoto hasa watoto wa kike kwa kuwa watoto hao wapo hatarini sana kutokana na kukumbana na vishawishi vya kila aina tofauti...
  8. JamiiForums Tanzania Single Mothers Mnashindwa nini kawakataa Baba watoto wa vichakani kwa kusajili watoto kwa majina ya Ukoo wako?

    Single Mothers Mnashindwa nini kawakataa Baba watoto wa vichakani kuwa huyu simjui na simfahamu na sina mtoto. Unashindwa nini kumroga na kumpeleka kaburini haraka sana kibwengo msumbufu asiye na faida na mleta sumu kwenye maisha yako? Ebu imagine single mother umezaa mtoto wa kichakani baba...
  9. JamiiForums Tanzania Hamas yakanusha kuchinja akina mama na watoto

    Viongozi wa Hamas wamesema jeshi la Israel kwa sasa linatafuta kuungwa mkono na jumuiya za kimataifa kwa kuwasingizia kwamba walichinja watu hasa wanawake na watoto wachanga. Wamekanusha kufanya vitendo hivyo na wameitaka Israel watoe ushahidi. ======== Palestinian group Hamas, which undertook...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia kasafiri hadi na mtoto wake?

    Kweli Magufuli aenziwe Daima, "Nchi hii ilichezewa sana" in Magufuli's mara gafla imeanza kuchezewa. Sasa mama Samia kusafiri na Mawaziri Buku, Waandishi Buku, Wanasiasa buku, wachekeshaji jero na wasanii jero haijatosha kumbe kasafiri hadi na watoto wake. Yani mpaka familia yake inaenda kwenye...
  11. JamiiForums Tanzania Watoto 45 kufanyiwa upasuaji wa moyo

    Madaktari bingwa wa upasuaji wa moyo na mishipa ya damu kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao kutoka Shirika la Mending Kids la nchini Marekani wakimfanyia mtoto upasuaji wa kuziba tundu lililopo kwenye moyo wakati wa kambi maalumu ya siku tano iliyoanza...
  12. JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa ajabu unawatesa watoto wenye umri chini ya miaka 10

    Niende kwenye hoja. Sijui ni ugonjwa gani huu, mapele na yakipasuka yanageuka madonda. Watoto wanawashwa na akijikuna anazidisha maambukizi na madonda huwa makubwa na kwa dalili ilivo inaonekana wanaumia sana. Madktari nilionana nao wapo kana kwamba wanabuni tatizo. Kama kuna aliyeona shida...
  13. JamiiForums Tanzania Ungefanya nini ? unagundua kila mwaka mke huenda kwao kutambika baada ya kuona watoto wamerudi na chale walipomsindikiza mama yao.

    Kuna anko anaenda miaka kama 43 hivi ana familia yake yenye watoto wawili wa kiume. Mke wake yuko fresh sijawai sikia malalamiko, ni mtiifu, anawajali ndugu wa mme wake, anafua nguo za mmewe japo kuna housegirl, kanisani anaenda, n.k. Kila mwaka unapoisha siku 2 baada ya krismas kwenye tarehe...
  14. JamiiForums Tanzania Duka la nguo za watoto

    Habari Naomba ushauri juu ya biashara ya nguo za watoto pamoja na mazaga zaga yanayo husu watoto Nina 5 Milioni, io n pesa ya kununua mzigo tu, namaanisha mbali na kodi ya chumba Je kwa uzoefu wa wenye kuifanya hii kazi, naweza toboa au laaa!!?? Location yangu ni Tunduma
  15. JamiiForums Tanzania Wiki ya tatu watoto wamesimamishwa masomo kwa sababu ya fee

    Shule bianfsi za msingi na seckondari zinatabia hii sana. Lakini mzazi anapolipa hakuna compasatiion ya siku aozokosa. Shule hizi hubeba dhambi tu. Hawa viongozi wa shule biafsi hukosa utu na kwamba hawana haya kumsimamisha masomo mtoto aisye na hatia. Hata kama wao wanasepa na maden lakini...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Watoto wa kishua walisumbua sana Dar miaka ya 90s. Via Social media na internet watoto wa uswaz wamepindua meza

    Habari wadau. Nimekumbuka Dar ya miaka ya 90s. Vijana waliokuwa wanatamba mjini ni wale wa kishua. Watoto wa o bey, upanga, mikocheni ndio walikuwa habari ya mjini. Viwanja kama bills, slipway, mikadi beach, coco beach walikuwa wanatamba wao tu. Vijana maarufu ni wale washua wanaosoma...
  17. JamiiForums Tanzania Kuhusu vituo vya kulelea watoto: samaki mmoja akioza si wote wameoza!

    Nimeamua kuuleta huu uzi kutokana na mada kadhaa nilizoziona humu JF zinazoongelea vituo vya watoto yatima kwa mtazamo hasi. Baadhi ya watu wametamani hata hivyo vituo visipewe misaada au vifutwe kabisa. Uzi ulionichochea hasa ni wa Bexb alioutoa 04/10/2023 wenye kichwa, NIFAHAMISHE KITUO CHA...
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi babu zetu walivyowapa majina watoto wao. Majina yao yalitoka moja kwa moja kwa Mungu muumbaji

    Kabla ya ujio wa dini za wageni Afrika hatukuwaga na majina ya Abdallah wala Paulo . Babu zetu waliwapa watoto wao majina ya kiafrika. Majina waliyatoa moja kwa moja toka kwa Mungu. Ni hivi babu zetu walimjua Mungu kupitia nature. To them nature was the portal which connected them with their...
  19. J

    JamiiForums Tanzania MREJESHO; Ushauri, niwahusishe watoto wangu wa nje ya ndoa kwenye urithi?

    Habari wanajf. Nilileta uzi hapa kuhusu rafiki yangu mmoja ambaye alizaa nje watoto 2. Na mkewe alizaa nae watoto wawili. Thread 'Ushauri, niwahusishe watoto wangu wa nje ya ndoa kwenye urithi?' Ushauri, niwahusishe watoto wangu wa nje ya ndoa kwenye urithi? Alipata kigugumizi kuhusu mali...
  20. JamiiForums Tanzania Nifahamishe kituo cha watoto yatima chenye uhitaji mkubwa sana

    Habari ya wakati huu wakuu. Ninaomba msaada wa taarifa ya kituo chochote cha kulelea watoto yatima ama watoto walio katika mazingira magumu ambacho kiuhalisia kina hali ngumu ya kimahitaji ya kawaida. Kituo kiwepo Dar es salaam na nitaomba kama utaweza unisaidie mahali hasa kinapopatikana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…