Nifahamishe kituo cha watoto yatima chenye uhitaji mkubwa sana

Bexb

JF-Expert Member
Oct 24, 2016
655
1,391
Habari ya wakati huu wakuu. Ninaomba msaada wa taarifa ya kituo chochote cha kulelea watoto yatima ama watoto walio katika mazingira magumu ambacho kiuhalisia kina hali ngumu ya kimahitaji ya kawaida.

Kituo kiwepo Dar es salaam na nitaomba kama utaweza unisaidie mahali hasa kinapopatikana na mawasiliano ya namna ya kufika.

Asante.
 
Anza na ndugu zako na wanaokuzunguka wenye mahitaji.

Charity begins at home.
 
0756 41 41 01 Zaidia Orphanage Center. Sinza Madukani. Ni kituo cha kiislamu
Habari ya wakati huu wakuu. Ninaomba msaada wa taarifa ya kituo chochote cha kulelea watoto yatima ama watoto walio katika mazingira magumu ambacho kiuhalisia kina hali ngumu ya kimahitaji ya kawaida.

Kituo kiwepo Dar es salaam na nitaomba kama utaweza unisaidie mahali hasa kinapopatikana na mawasiliano ya namna ya kufika.

Asante.
 
Habari ya wakati huu wakuu. Ninaomba msaada wa taarifa ya kituo chochote cha kulelea watoto yatima ama watoto walio katika mazingira magumu ambacho kiuhalisia kina hali ngumu ya kimahitaji ya kawaida. Kituo kiwepo Dar es salaam na nitaomba kama utaweza unisaidie mahali hasa kinapopatikana na mawasiliano ya namna ya kufika.
Asante.
Hiki kipo Kivule, Dar
Jaribu kucheki na huyu 0754323858

1696408663731.png
 
Back
Top Bottom