Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.
Huyukushoto ni mtoto wa Mohamed Dewji,anaitwa ABBAS ndiye mrithi wa mali zote za ukoo na msimamizi (ameshateuliwa),sasa hivi anazunguka nae katika kila sula la biashara na anaingia naye kwenye vikao vya bodi ya wakurugenzi ya METL.
Huyu katikati ni WAMKELE MENE , Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya...
Nina kero kuhusu eneo la Tandika, maeneo ya Chacha na Rahaleo, maarufu kama Mtaa wa Wahaya Wilaya ya Temeke, Dar. Kuna watu wanaofanya biashara ya ngono katika vyumba vilivyopo katikati ya makazi ya wananchi.
Vyumba hivyo vipo ndani ya nyumba zetu za makazi, ikiwemo nyumba namba 115, na pia...
Wanajamvi natumai hamjambo.
Ungekuwa wewe ndo mwenye huyo mke Sasa ungemjibu nini baba watoto WA mkeo
Hatua gani zingefuata Kwa mkeo ambaye wakati unamuoa umemekuta ana watoto wawili
Nina wazo la kuanzisha project ndogo ya kusaidia watoto wa shule za msingi wanaotoka mazingira magumu kupata begi la shule lenye vifaa muhimu vya kujifunzia ndani yake—kama madaftari, vitabu, kalamu, mkebe n.k.
Kwa sasa nataka kuanza kama initiative yangu binafsi, mimi na washikaji wachache...
Kuna wakati Taifa linahitaji siyo tu viongozi, bali pia umoja wa mioyo, matumaini na mshikamano wa watu wake.
Leo tunapoangalia Tanzania yetu, tunapaswa kukumbuka kuwa amani tuliyonayo, fursa tunazojenga na maendeleo tunayoyatazamia ni urithi ambao tunapaswa kuulinda na kuendeleza kwa pamoja...
Hospitali ya Nakuru Level 5 imeripoti vifo 11 ndani ya saa 24, huku watoto watatu wachanga wakiwa miongoni mwa waliofariki, wakati mgomo wa wauguzi ukiendelea nchini.
Mgomo huo, ulioanza Julai 29, 2026, umeathiri huduma katika hospitali kadhaa za umma, huku maeneo ya uzazi na huduma za watoto...
Hi guys,
Nawezaje kupata watoto mapacha?, ikiwa kuna mtu ana uelewa juu ya jambo hili naomba kufahamishwa tafadhali.
Najua humu jukwaani kuna ma great thinkers wa kutosha.
Naomba kuwasilisha.
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuandika kuwa baadhi ya Wanafunzi wa Darasa la Saba katika shule ya Msingi Mitundu B katika Halmashauri ya Itigi DC wanasoma hadi usiku bila kula, hali inayoweza kuahiri afya na uelewa wao, ufafanuzi umetolewa.
Afisa Habari wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi...
Mke anataka mshahara wote umkabidhi yeye. Anataka umsikilize yeye kuliko mtu mwingine yeyote Duniani. Wanawake wengi wanapenda mwanaume ambaye kwake atakuwa bwege.
Afanye kila kitu ambacho mwanamke huyo atataka. Mali zote ziandikishwe jina lake mwanamke. Mume awahi kurudi nyumbani, akiweza...
Unatetea katiba mbovu ambayo hata kipofu na kiziwi wanaweza kui palpate na kugundua makosa /mapungufu iliyonayo. Best katiba kama za marekeni mnazisfia, mnasahau kuwa ziliundwa/ziliandikwa na watu waliojitoa mhanga kama Lisu.
Mjue likitokea la kutokea muungano ukavunjika, your beloved ones will...
Nani yupo kwenye age ambayo baba wa makamo anakutaka na watoto chini ya miaka 25 wanakutaka?
Vyovyote unavyofanya kwenye maisha hakikisha unafanya mazoezi
Usiache
Tukikubali ku normalize binadamu kupotea kama vile mtu unavyopoteza funguo au goroli, halafu kunakuwa hakuna outrage kwenye jamii, tutakuwa tunawapa ushindi mkubwa sana Samia na hao watu wake.
Hivi inawezekanaje kwa mtu aliyekuwa makamu wa Rais ajiuzulu hiyo nafasi yake halafu watu tunakuwa...
Today I would like to celebrate single mothers. I may not have been raised by one but the burden of single motherhood is not lost on me.
One of my ex is a single mother. She has one lovely boy! From what i see her go through, my admiration and respect for her goes higher each day.
Single...
baba
binti
kijana
kumuweka
kuoa single mother
malezi ya single mother
mke
mke wangu
mtoto
mtoto wake
pongezi kwa single mothers
single
single mother
single mothers
wake
wangu
watoto
Meta, kampuni inayomiliki Facebook na Instagram, imekubali kulipa hadi $17.1B (Tsh. Trilioni 45.1/=) kumaliza kesi iliyohusisha madai kwamba mitandao hiyo iliundwa kwa namna inayoweza kuwafanya watoto na vijana kuwa na utegemezi wa matumizi ya mitandao.
Kesi hiyo, iliyohusisha majimbo 29 nchini...
Hapa ni malimbe,sehemu inaitwa nyamalango,kwa mbele kuna migahawa ambayo wanafunzi wa SAUT na wakazi wa eneo hili hujipatia chakula chao pamoja na mahitaji mengine
Uchafu huu huachwa hovyo hovyo pasipo kuchukuliwa kwa hatua husika na hivyo kuhatarisha afya za wanafunzi na wakazi wa eneo hili...
Nipo Ugenini huku Mikoa ya Kaskazini, nimekuta kwenye hii familia watoto wana tabia ambayo imenishangaza sana na wazazi wanachukulia poa tu,
Jana tulikwenda sehemu wakanitembeze nione miazingira wakati tunataka kwenda watoto walitaka kwenda nasi, wazazi wakasema wababi wafanye kazi za shule...
Katika hotuba yake kwenye maadhimisho ya Maulid, Sheikh Mziwanda amewakosoa wanaosema Tanzania hakuna maendeleo
"Uhuru ukikosa mipaka ni uwendawazimu... Sasa kuna uhuru wa kusema lolote na chochote popote... Uhuru huu utatuharibia taifa letu."
"Tusio kila kitu cha kuiga. Wenzetu wameamua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.