Watu maskini hawapaswi kuzaa watoto

Watu maskini hawapaswi kuzaa watoto

Maisha siyo mali tu... Haya ma-gap ya kiuchumi unayoyaona sio halisi ni yametengenzwa tu.

Zingatia basic needs, resources zilizopo duniani zinamtosha kila mtu.
 
Sehem nilipo watu wanashindana kuzaa

Mwingine kaniambia kwao wapo kumi nayeye anataka atengeneze historia hiyo 😳

Kila mtu avunje historia yake. Tusiingiliane.

Wakukimbia wakakimbie
Wakunywa pombe wakanywe.
Wakusome madegree wakasome.

Wakuzaa waacheni wachuane
 
Back
Top Bottom