watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya Watoto wanasoma mpaka Saa 11 Jioni bila kula Wilayani ya Karagwe, hilo si jambo jema

    Jamani mimi kama mdau wa elimu kuna suala nimeliona na naomba lifike kwa mamlaka husika. Ipo hivi baadhi ya Shule za Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe Mkoani Kagera zinafundisha watoto kuanzia asubuhi mpaka jioni wakati huo mtoto hajanywa uji wala kula chakula cha mchana. Katika kufatilia...
  2. MamaSamia2025

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru Baba wa Kambo kuendelea kulipia matunzo ya watoto wake wa kambo mara baada ya talaka na single mama

    Daah! Wakuu sisi tunaoishi na SINGLE MOTHERS tuwe makini sana. Mwenzetu huko Afrika Kusini aliyekuwa akiishi na single mama yamemkuta. Kaamriwa kuendelea kulipia matunzo ya watoto wa single mama. Ni hela mingi laana. =========================== Court Orders Divorced Man to Pay R40,000 in...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wamama funga kazi; mnajua kuwakomesha watoto wenu wakiume kwa mnavyodate na vijana wadogo wa rika la watoto wenu

    Angalizo: andiko hili linaweza kuwa na lugha ngumu na Kali. Hivyo kama wewe sio mpenzi, unahasira, au ukisikia lugha ngumu unakereka, unapoteza furaha, unahisi kudhalilika au kupoteza heshima yako. Ni vizuri kuishia hapahapa. Usiendelee kusoma. Kwa kuendelea kusoma ni kuonyesha kuwa unajiweza na...
  4. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Watoto 10,000 huzaliwa na matatizo ya moyo Tanzania, gharama ya matibabu hadi Sh16 milioni

    Takribani watoto 10,000 huzaliw ana matatizo ya moyo Tanzania na kati yao watoto 4,000 huhitaji upasuaji wa haraka ili waweze kuishi na gharama a matibabu ya moyo ni kati ya Sh8 milioni hadi Sh16 milioni. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Meritech Ltd, Esther Christopher katika...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Polisi wamshikilia sheikh anayetuhumiwa kubaka watoto 12 kwenye madrassa

    Watoto wenyewe ni kati ya umri wa miaka 5 hadi 14 Police in Othaya granted 10 days to hold Sheikh Eid Ali to complete probe over allegations of molesting 12 minors aged 5-14 on diverse dates between 2022 and 2025 during madrassa classes, mention set for March 3...
  6. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Kwimba: Taasisi ya Alicia Keys yawasili nchini kushiriki uzinduzi wa jengo la watoto njiti

    Timu ya Wawakilishi kutoka Taasisi ya Keep A Child Alive ya Msanii maarufu wa Marekani, Alicia Keys, imewasili nchini Tanzania kupitia uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwl.Julius K. Nyerere tayari kwa ajili ya kwenda Wilayani Kwimba Mkoani kwenye uzinduzi wa jengo la kisasa la kuhudumia Watoto...
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzungu yupo mbele ya muda, maisha aliyoishi tutayakuta mbeleni, suala la watoto na wajukuu zetu kuoa single mothers halikwepeki

    Sikuhizi kumekuwa na ongezeko kubwa sana la single moms, tena sio ile ya zamani tuliyozoea ya mtoto moja, hii version mpya unamkuta binti ana 24 tayari ana watoto watatu. Kufikia 2040 hii rate ya single moms inaweza kuwa juu mno Wazazi na kina babu wa watoto zetu wa kiume, kwanza kabisa...
  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasira anadai mauaji yalikuwa sahihi wakati ni kinyume cha sheria na waliuawa hadi watoto na wajawazito

    Wasira anadai mauwaji yalikuwa sahihi wakati ni kinyume cha sheria na wali uwawa hadi watoto na wajawazito. kwa sheria za nchi na kimataifa hakuna mauwaji sahihi tuna sheria za nchi na mahakama mbali na hayo mauwaji yaliyo fanyika hayakulenga wahalifu bali watoto na wanawake ambao hawakuwa...
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mbwana Samata ajenga kituo cha watoto yatima, kuzinduliwa March

    Hongera sana Mbwana Samata
  10. Damaso

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kwa wanawake kuonesha madhaifu ya ulemavu wa watoto wao?

    Katika ulimwengu wa leo wa mitandao ya kijamii, mipaka kati ya faragha na maonesho imefutika. Kisa cha binti mmoja maarufu wa mtandaoni, anayeonekana ni slay queen, kimeibua mjadala mzito kuhusu utu, uzazi na maadili ya kizazi cha kidijitali. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, aliamua...
  11. idiomer

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike watoto bado wanakaa chini baadhi ya shule ???

    Je ni kweli limetushindaaa?
  12. leiya

    JamiiForums Tanzania Hati ya kiwanja kwa watoto chini ya kiaka 18

    Habari ya muda huu ndugu mwanajamii, Naomba kueleweshwa na anaejua taratibu za kupata hati ya kudumu ya kiwanja alichonunua mzazi akaandika jina langu. Kiwanja kilinunuliwa nikiwa na miaka minne tu, enzi hizo kabla ya uwepo wa NIDA. Miaka 38 baadae, nataka kubadili ile hati ya karatasi ya...
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni sawa kusajili mali zako kwa jina la wazazi na/au ndugu zako wakati una mke/wake na watoto ?

    Kuna hii tabia inazidi kutrendi, mtu ana familia yake yenye mke na watoto lakini anasajili mali kwa majina ya wazazi na ndugu zake. Ni sawa ?
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania Serikali ya awamu ya Sita inanuka damu za Watoto wetu

    Salaam Wakuu, Yaani sasa ndo nimegundua kwamba, Mtu akipata madaraka kwa kumwaga damu, anakuwa ananuka damu hata aoge kwa jiki. Juzi Karikaoo wakati wa Uzinduzi wa Soko lililoungua, baada ya Wakina Samia kufika, soko zima likawa linanuka damu za watu. Watu wakawa wanatema mate chini.. Yaani...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TCRA: Wazazi msiwanyang'anye Watoto simu, fuatilieni wanachofanya, ulinzi wa mtoto mtandaoni ni mazungumzo

    Meneja wa Huduma kwa Wateja na Watumiaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Kadaya Baluhye, amesema kuwa kuwaandaa watoto kukabiliana na ulimwengu wa kidijitali ni njia bora ya kuwalinda kwa pamoja kama kundi na kama jamii. Ameeleza kuwa badala ya kuwazuia watoto kutumia vifaa vya...
  16. Tundusami

    JamiiForums Tanzania Watoto waliozaliwa kwa operesheni wanakuwaga na akili kuliko wale wa kawaida

    Hawa wa kawaida wanapitia misukosuko mingi inawasiligi hata ukuaji wao kichwa kinapovutwa vutwa Wale wa operesheni wanatolewa wanaweka pembeni mdo mana wanakuaga na akili
  17. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Wazazi msiweke wazi shida zenu kwa watoto wimbi la kupotea na kujinyonga linaongezeka

    Habarini wapendwa za jioni Nimeona tukumbushane kidogo Hasa kwa wimbi la matukio mbali mbali ya watoto hivi karibun mwanza geita na arusha Hawa watoto watatu Wote waliandika barua ..kwa wazazi wakimwomba mungu atatue shida za wazazi wao ikiwemo pesa za ada shule na pesa za marejesho Kwa...
  18. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Ongezeko kubwa la akina Annabelle ni watoto kuwa neglected wakiwa wadogo na hali ngumu ya maisha

    Kuna akina Annabelle wengi sana kwa sasa tanzania. Kuna munch, glunch, kunch, brunch, dunch hawa wote wameunda kikundi chao kinaitwa annabelle. Hiyo code ya Annabelle inamaanisha makaka poa. Ambao wamejikubali na wana enjoy life. Tatizo hili wataalamu wanasema linaanzia kwenye malezi. Miaka ya...
  19. hamis77

    JamiiForums Tanzania MAFIA: Mwalimu wa Madrasa alawiti watoto 15

    Nafikiri watu wafundishe dini zao wakiamini kuwa katika hizi dini kuna wanadamu na wanatumiwa na shetani, nimeona waislam wakiutukana sana Ukristo ila wanasahau matukio machafu ya Wadada kubakwa na kufanyishwa biashara chafu Uarabuni, Vikundi vinavyojinasibu kwa jina la Uislam wakiwateka na kuua...
Back
Top Bottom