watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wazazi wanajitoa sana kuhajikisha watoto wanapata mahitaji yao ya kila siku

    Ninakumbuka miaka ya 1980 enzi zile Afrika ya Kusini siasa za ubaguzi wa rangi zimetamalaki. Nchi nyingi zilijitenga na Afrika ya Kusini, passport ya Tanzania iliandikwa kabisa hairuhusu mmiliki kuingia nchi hiyo Jirani yetu Baba yao alifanikiwa kupata kazi Afrika ya Kusini kwenye migodi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Kibaha Pwani: Kijana aua watoto wawili, naye auawa

    Watoto wawili wa familia moja wameuawa kikatili katika Kitongoji cha Kwazoka wilayani Kibaha mkoani Pwani, baada ya kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Yasin Abdala kuvamia nyumbani kwao na kisha kuwakata kwa panga. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Pwani, Wankyo Nyigesa amesema kuwa tukio...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi mbona watoto wa siku hizi hawachezi michezo tuliyocheza zamani kama kombolela?

    Wadau hili ni kuwa michezo tuliyocheza zamani imepitwa na wakati au kama vile ukuti, kombolela, rede, kibaba na kimama, magari ya udongo, kuendesha matairi au kufunga kamba na kuendesha kama basi unapakia abiria. Hii michezo sioni kwa watoto wetu wa sasa. Je, imepitwa na wakati?
  4. JamiiForums Tanzania Kampeni ya kuzuia Watoto kucheza kamari yazinduliwa

    Jamii imeaswa kuwalinda watoto kutojihusisha na kucheza kamari kutokana na kukithiri kwa matokeo hasi ya michezo hiyo. Wito huo ulitolewa juzi Dar es Salaam na Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini (GBT), James Mbalwe wakati akizindua kampeni ya ‘mlinde mtoto’ inayolenga...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuoa wanawake wawili au kuwa na watoto wa mama tofauti kwa dunia ya leo ni kujitafutia matatizo

    Wanaume wenzangu, dunia imeshabadilika. Leo ukiwa na watoto wa mama tofauti kwenye familia yako jua unatengeneza kaa la moto baadae na kuwa na wake wawili ndio kabisa kwa asilimia kubwa unakuwa unajitengenezea jehanamu yako mwenyewe. Nimeshuhudia familia nyingi sana zinavurugana mpaka kufikia...
  6. JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu liwekeni sawa hili la watoto kutoka shule saa 11:30 jioni

    Watoto wanaumia sana na hii ratiba hasa kwa mazingira ya shule zetu watoto wanafika majumbani saa mbili hadi saa tatu usiku ukiwauliza wanadai foleni mara daladala zinasumbua Hebu Serikali mlione hili hata kama ndio kusoma hapana
  7. JamiiForums Tanzania Tuwafundishe watoto wetu kutembelea tovuti hizi ziwasaidie katika elimu

    Teknolojia ya Habari na Mawasiliano(TEHAMA) ikitumika vizuri katika sekta ya elimu itasaidia kujenga mazingira mazuri na kuwezesha kuwepo kwa mbinu bora katika ufundishaji na ujifunzaji. Nimetembelea tovuti mbalimbali za elimu hapa TANZANIA, Nimeona mapinduzi makubwa katika sekta ya elimu hasa...
  8. JamiiForums Tanzania Mkazi wa Isamilo Mwanza atuhumiwa kuwabaka na kuwalawiti watoto watano

    Mkazi wa Isamilo Mwanza atuhumiwa kuwabaka na kuwalawiti watoto watano WATOTO watano wenye umri Kati ya miaka sita hadi saba wamebakwa na kulawitiwa kwa nyakati tofauti katika mtaa wa Isamilo msikitini kata ya Isamilo wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza. Watoto hao ambao majina yao...
  9. JamiiForums Tanzania “Natumai watoto wa maskini pia wawe na fursa ya kujiunga na Vyuo Vikuu bora”

    “Natumai watoto wa sehemu maskini pia wawe na fursa ya kujiunga na vyuo vikuu bora” Alichosema hayo ni Zhang Guimei mwenye umri wa miaka 63. Yeye ni mwalimu mkuu wa shule ya sekondari ya juu ya wilaya ya Huaping, mjini Lijiang. Hii ni shule maalum, ambayo wanafunzi wake wote ni wasichana kutoka...
  10. JamiiForums Tanzania Analala kwa watoto, saa nane anaingia room

    Najua wengi mnakumbana nayo haya, wanandoa kama sio analala kwa watoto basi atakaa sebuleni mpaka usiku wa manane arudi chumbani Huyu ndiye anaitwa mke, ndoa zimeficha mambo mengi sana, kesho tujadiliane suluhisho ya haya yote
  11. JamiiForums Tanzania RC Makonda na DC Jokate mlisubiri hadi Mke wa Babu Tale Marehemu Shammy Kombo akate Roho ndiyo mjimwambafai kuwa aliwaomba mumlelee Watoto?

    Hivi mnavyotafuta Sifa na Umaarufu Mitandaoni hasa kwa Kujimwambafai katika Kurasa zenu za Mitandao kuwa Mke wa Babu Tale Marehemu Shammy Kombo aliwaomba mumlelee Watoto zake ( wake ) mnataka kusema kuwa aliona Mumewe hawezi Kuwalea hao Watoto au Mumewe hana tena Uwezo wa Kiuchumi wa Kuwalea hao...
  12. JamiiForums Tanzania Mh. Rais Dr. Magufuli, Uhuru unaotupatia ktk mitandao ni mkubwa mno, sasa tumepinda migongo hata kulea watoto tumewaachia wengine, bana kidogo....

    Rais Dr. John Pombe Magufuli, tuokoe kwa hili, umetupa Uhuru mkubwa kwani vifurushi vimekuwa chee, hivyo kupelekea muda wote tuwe mtandaoni, kiasi ambacho migongo inauma na watu wengi kuharibikiwa macho. Kutuokoa ni ama kuruhusu internet iwe Bure kabisa ili watu waone kitu cha kawaida au...
  13. JamiiForums Tanzania Ushauli kwa watoto wanao enda shule

    Jamani tu wape watoto wetu,marafiki zetu,wadogo zetu, mawaidha ya mwisho kabla hawaja enda shule kesho Wasije kupotea nakusahau kilicho wa peleka kule
  14. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Paka wengi wa Uswahilini hulia kama Watoto Wachanga (Wadogo) tena kwa Nyakati za Usiku tu pekee huku Wakiwa Madirishani kwa Watu?

    Kuna mahala fulani nilihamia Uswahilini na Siku moja nikasikia Kilio kama cha Mtoto Mdogo anamlilia Mama yake na nilipotoka zangu tu nje kwa nia njema ya kwenda Kumuangalia huyo Mtoto nikihisi ametelekezwa na Mama yake nikaishia kukutana na Paka Wawili wakilia hivyo tena kwa Sauti ya pamoja na...
  15. JamiiForums Tanzania Value Retention ya bodi ya mikopo ni msiba kwa watoto wa watanzania maskini

    wadau kwa masikitiko makubwa nasema value retension ya 6% ya kila salio baada ya makato ni shida kubwa sana kwanza wanufaika walilazimishwa kulipa asilimia kumi na tano wakakubali bado haitoshi wamewekewa 6% kila baada ya mwaka wa fedha kweli haki iko wapi. watu wa sheria wanajua makubaliano...
  16. JamiiForums Tanzania Zanzibar ya sasa inahitaji Viongozi nje ya hawa Watoto wa waliowahi kuwa Marais; akina Mwinyi, Jumbe na Karume

    CCM Watu wanaowaheshimu japo kuna muda wanawakosoa wameshayachoka sasa haya Majina ya sijui akina Mwinyi, Jumbe na Karume na badala yake wanataka Kuziona Sura mpya kama si ngeni ambazo nazo zitaiongoza Zanzibar kwa Mafanikio makubwa mno na yenye Tija. Ninawaombeni CCM Mrithi wa Dkt. Ali...
  17. JamiiForums Tanzania Baadhi ya fani zenye ajira kubwa Duniani: Wazazi somesheni watoto nje Degree za Cyber Security na Aeronautical Engineering

    Kuna degree Tanzania hamna ila zina soko sana duniani, vijana wa PCM zinawafaa. Wazazi, mkiwa na pesa na mkiwa na watoto wazuri waliofaulu vizuri PCM pelekeni Ulaya au Marekani wakasome degree za Cyber Security na Aeronautical Engineering. Ni baadhi ya hot cake degrees, dunia nzima inawataka.
  18. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara weusi Tanzania, pelekeni watoto India wasome shahada za family business ili mkifa biashara zisife

    Biashara nyingi za wafanyabiashara ngozi nyeusi hufa mwanzilishi akifa tofauti na za wahindi,waarabu na wapemba Wahindi ndio wanaongoza duniani kwa uwezo mkubwa wa familia kuweza kuendesha biashara. Nashauri wafanyabiashara wa ngozi nyeusi wapeleke watoto vyuo vikuu vya India wakachuke degree...
  19. JamiiForums Tanzania Iran: Wanaume 3 wakamatwa kwa kuwauza watoto wachanga Instagram

    Mkuu wa polisi katika mji mkuu wa Iran -Tehran, Brigadia Jenera Hossein Rahimi, amesema kuwa mmoja wa watoto hao wachanga alikuwa ni wa siku 20.Mwingine alikua na umri wa mwezi mmoja. Watoto hao wachanga walikua tayari wamenunuliwa kwa hadi dola $500 (£400), na walikua wanauzwa tena kwa dola...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna namna, Wazazi wa watoto shule za binafsi lazima walipe ada yote

    Kufundisha mtoto ni sawa na kujenga nyumba. Anayejenga nyumba huanza kujenga mstari wa Kwanza, halafu mstari wa pili hujengwa juu ya mstari wa Kwanza. Hali kadhalika mstari wa tatu hujengwa juu ya mstari wa pili. Ikitokea siku ya kujengwa mstari wa pili kukatokea dharula na ujenzi usifanyike...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…