wateja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ethiopia: Hitilafu ya Benki ya Biashara yasababisha Wateja kutoa hela kwenye ATM bila kikomo

    Benki ya Biashara ya Ethiopia (CBE) inajitahidi kurejesha kiasi kikubwa cha pesa kilichochotwa na wateja baada ya "shida ya mifumo". Baadhi ya Wateja waligundua mapema Jumamosi kwamba wangeweza kuchukua pesa taslimu zaidi ya walizokuwa nazo kwenye akaunti zao za CBE. Zaidi ya Dola Milioni 40...
  2. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Bandari Dar: Madai ya Wateja kuihama Bandari ya Dar ni Propaganda za Kibiashara

    https://www.youtube.com/watch?v=Z7KgsABYcRc Mkurugenzi wa Bandari ya Dar, Mrisho Mrisho akizungumzia madai ya kuwa wateja wamekuwa wakiikimbia Bandari hiyo na kwenda Nchi jirani, amesema hizo ni propaganda za Kibiashara. Chanzo: Dar 24
  3. JamiiForums Tanzania TCRA waichunguze kampuni ya simu za mkononi ya Halotel

    Mtandao wa Halotel umekuwa na tabia ya kukata salio la muda wa maongezi mara tu unapoongeza salio. Hii imenitokea zaidi ya mara tatu sasa, na nikipiga simu huduma kwa wateja naambiwa kuna huduma nimejiunga inayokata salio hilo, wakati hakuna huduma yoyote ambayo mimi nimejiunga. Mbaya zaidi...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu wateja wa mazao ya baharini

    Habarini ndugu, naomba kufahamu kampuni au wateja wakubwa wa mazao ya baharini kama vile mwani, jongoo bahari, wachakataji wa samaki, mikoko, Seashell nk. Kiujumla nahitaji kufahamu wale wote ambao wapo kwenye value chain hiyo. Ahsanteni.
  5. JamiiForums Tanzania NMB ni bank inayopata faida sana kwa sasa, ila huduma zake kwa wateja ni za hovyo sana!

    Unaingia bank ina madirisha matano kwa mfano, ila linalotoa huduma ni moja na wateja ni wengi, basi mnasimamaaa mpaka miguu inauma Unatumia masaa sita kuhudumiwa, hii hapana, tunafanya uchumi wa wengine kuharibika kupitia huduma hizi mbovu NMB rekebisheni hii kitu bhana, mnaumiza watu
  6. JamiiForums Tanzania Mchawi mtu mbaya sana, anaweza kumuonea wivu muuza genge huku yeye ana hardware anawapanga foleni wateja

    Mchawi ni mtu mshenzi, hapaswi kuwepo kwenye jamii ya watu wastaarabu. Uchawi dhima yake kuu ni wivu. Anaweza akawa na duka kubwa la vifaa vya ujenzi akapanga wateja kutwakutwa lakini akapandwa na pepo la wivu (uchawi) juu ya mtu anayeuza mihogo ya kukaangwa pembeni yake eti kisa Jamaa anauza...
  7. JamiiForums Tanzania Maeneo 38 kukosa huduma ya Maji kwa zaidi ya Saa 36 jijini Dar, kutokana na maboresho ya kuondoa tope kwenye Mtambo wa kuzalisha maji

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetangaza upungufu wa Huduma ya Maji kwa Wateja wanaohudumiwa na mtambo Ruvu Chini, kuanzia Machi 5 hadi Machi 7, 2024 Kwa mujibu wa taarifa ya DAWASA upungufu huo unatokana na maboresho ya msingi yanayofanywa katika mtambo huo...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Kumbi za Starehe kuaanza kukagua Vitambulisho vya wateja Nchini

    Siku hizi idadi ya watoto wanaokwenda kumbi za starehe ni wengi mno. Na utawakuta wanakunywa pombe, kutumia madawa ya kulevya, kujiuza, kuvuta sigara, kufanya biashara haramu na mambo mengine yanayokiuka jamii. Tatizo hili tunaweza tusione madhara yake sasa hivi lakini ndo tunavyokuza kizazi...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata wateja mtandaoni

    Hellow .... Wapendwa, Najua kutafuta wateja siyo kazi rahisi hasa kwa mtu ambaye anafanya online business...... Mnatumia mbinu gani kupata wateja wapya? Mnatumia njia gani kupata wateja wa kilasiku.....mbona Mimi naweza kumaliza mwezi na sipati mteja Na ninapost kila siku...... Nimegundua...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wenye Hospitali binafsi wakataa kuwahudumia wateja wa NHIF kutokana na vifurushi vipya

    Umoja wa Watoa Huduma Sekta ya Binafsi APHTA, Mashirika ya Dini (CSSC), na Bakwata wanapenda kutaarifu umma kuwa mazungumzo yaliyokuwa yakifanyika baina ya umoja huo na Wizara ya Afya. Kamati ya Waziri na NHIF yameshindwa kupata muafaka katika suala zima la kitita cha bei mpya zilizopendekezwa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta wateja wa kununua miti aina ya milingoti na mipine

    Poleni na majukumu wana fj, Ninashamba ekali 3 za hiyo miti ina umri wa mika 11 natafuta wateja wa bidhaaa hiyo shamba lipo maeneo ya mbeya kiwila kilometer 20 kutoka kiwila idadi ya miti ni zaidi ya miti 1000 karibuni wote wenye uitaji kwa mawasiliano nipigie namba 0629097093
  12. JamiiForums Tanzania Kuumiza wateja wako siyo suluhisho la mgogoro wako na mwajiri

    Niende moja kwa moja tu kwenye hoja yangu... Katika vitu sipendi kufumbia macho ni kuona mtu anaonewa (anaumizwa) bila kosa lolote. Kuna wafanyakazi wengine bwana eti akiwa na mgogoro basi anatafuta suluhisho kupitia walewale anaowahudumia. Sasa bora iwe unawatumia kwa njia ambayo haiwaumizi...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Wateja Benki ya CRDB kuzawadiwa zawadi za Sh. Milioni 470 kampeni ya Benki ni SimBanking

    Dar es Salaam. Tarehe 31 Januari 2024: Katika jitihada zake za kuhamasisha matumizi ya mifumo ya kidijitali nchini, Benki ya CRDB imezindua msimu wa tatu wa kampeni ya ‘Benki ni SimBanking’ na kutenga jumla ya zawadi zenye thamani ya Shilingi milioni 470 mamilioni kwa wateja wake mwaka huu...
  14. JamiiForums Tanzania Dar yaendelea kuongoza kwa Wateja wa Huduma za Mawasiliano Tanzania, ina Wateja Milioni 12.9

    Ripoti ya Robo ya Mwisho wa Mwaka 2023 inayoangazia Huduma za Mawasiliano Nchini, imeonesha hadi kufikia Desemba 2023, jumla ya Wateja 70,290,876 wa Huduma za Mawasiliano walisajiliwa, ikiwa ni ongezeko la 4.7% kutoka Wateja Milioni 67.1 waliokuwepo Septemba 2023. Mkoa wa Dar es Salaam...
  15. JamiiForums Tanzania Changamoto za Duka la rejareja

    Huu ni uzi maalumu wa kuelezea changamoto wanazopitia wafanyabiashara wa Maduka ya Rejareja almaarufu "Maduka ya Mangi". Kama una Changamoto yoyote unayopitia andika hapa, hata kama wateja wanakukosea pia ongea hapa. Asante.
  16. JamiiForums Tanzania Siasa ni kama biashara, ukishajenga ngome ya Wateja wako kudondoka ni kazi ngumu sana

    SIASA NI KAMA BIASHARA UKISHAJENGA NGOME YA WATEJA WAKO KUDONDOKA NI KAZI NGUMU SANA. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Kila kitu kinahitaji misingi na mizizi ili kiweze kudumu kwa muda mrefu. Katika Sanaa kuna Fans Base. Msanii anapoanza safari yake ya muziki lazima ahakikishe anatoa kazi...
  17. JamiiForums Tanzania Imekaaje kampuni ya kutoa huduma ya mawasiliano kutokuwa na kitengo cha huduma kwa wateja?

    Naona Vodacom wame amua kutoa huduma za customer service za moja kwa moja yaan namba 100. Na TCRA wapo kimyaaa, jamaa nawapigia kuwapa taarifa wafunge namba yangu imeibiwa usiku huu ila ajabu ukipiga simu namba 100 kuna option 2 tu ni either uchague 1 au 2 na zote izo hupati nafasi ya kiongea...
  18. JamiiForums Tanzania DSTV yalamba hasara ya bilioni 122, gharama za vifurushi zawakimbizia wateja 486,000

    Kampuni ya Multichoice inayomiliki visimbuzi maarufu vya DSTV imelamba hasara ya Tshs bilioni 122 kwa miezi sita iliyoishia Septemba mwaka jana sababu kuu ikiwa kupungua kwa wateja wake huku Afrika kusini pekee ikipoteza wateja zaidi ya laki nne. Multichoice imedai kutekeleza malengo yake yote...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna mama ntilie anauza chakula kizuri. Tatizo liko kwa mwanae, wateja tunapungua

    Yaani anapika msosi mtamu sana kana kwamba anaupika akiwa uchi. Tatizo ukienda kwenye mgahawa wake kula chakula, unapakuliwa msosi vizuri tu, tatizo linaanzia kwa mwanae mwenye furushi la makamasi ya njano puani na kitambi kikubwa sana ilihali ni 5 yrs only Ukiwa unasonsomola msosi, kale katoto...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Suala la DAWASA kukosa mita za kuwafungia wateja miezi minne limulikwe

    Unapoongea na wafanyazi wa DAWASA kuomba wakuunganishie maji alafu mtu unajibiwa hatuna mita zaidi ya miezi mitatu; inatia huruma. Mtu unabaki unajiuliza tumekwama wapi kama nchi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…