Suala la DAWASA kukosa mita za kuwafungia wateja miezi minne limulikwe

Pantosha

JF-Expert Member
Sep 22, 2022
347
462
Unapoongea na wafanyazi wa DAWASA kuomba wakuunganishie maji alafu mtu unajibiwa hatuna mita zaidi ya miezi mitatu; inatia huruma.

Mtu unabaki unajiuliza tumekwama wapi kama nchi?
 
Kila mtu anajaribu kula kwa urefu wa kamba yake. Na ukizingatia tuko kwenye msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka sasa.
 
Hii Serikali ya CCM imefeli imefeli hata kwenye Basics hata kwenye Maji na Umeme wanachoweza ni UPIGAJI tu.
 
Unapoongea na wafanyazi wa DAWASA kuomba wakuunganishie maji alafu mtu unajibiwa hatuna mita zaidi ya miezi mitatu; inatia huruma.

Mtu unabaki unajiuliza tumekwama wapi kama nchi?
Kuna mambo mengine unaona tu kuwa haiwezekani kukosa mita miezi na miezi. Ila ndiyo hali halisi. Inasikitisha sana.
 
Unapoongea na wafanyazi wa DAWASA kuomba wakuunganishie maji alafu mtu unajibiwa hatuna mita zaidi ya miezi mitatu; inatia huruma.

Mtu unabaki unajiuliza tumekwama wapi kama nchi?
"Black people are not complete human beings because they don't have a good brain to govern the society as White people. They are still under the process of becoming the complete human beings."
Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
I truly agree! Watu weusi ni hatari kwa afya ya dunia aisee.
 
Kwasasa mita zinapatikana, lakini hapa kati tuliishiwa mamlaka karibu zote.
Tafadhari Rudi ofisini , ukifeli njoo pm.
 
Mtu unaweza ukawa unapambana ili uboreshe hali yako ya maisha ila watoa huduma za serikali wamefeli sana.

  • Unataka uunganishiwe maji, mita hakuna
  • Ukifanikiwa kuunganishiwa baada ya kusubiri sana, maji hayatoki kwenye bomba,
  • Siku yanatoka, yanayoka na uchafu.
  • Umeme, shida
  • Barabara, mbovu mara utasikia gari lako liko chini sana.
  • Bima ya NHIF inakataza kuudumiwa dawa konki, labda dawa za kawaida.
  • Elimu, sina cha kuongea.
  • Ajira

Hivi ni kitu gani tunaweza kufanya vizuri zaidi?
 
"Black people are good for Nothing else apart from indulging in sex and marrying so many wives."
By Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Back
Top Bottom