watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanafiki sana. Tazama sasa wamewatelekeza Mwabukusi na Dkt. Slaa

    Wakati Mwabukusi na Dr. Slaa wakijiapiza kusimama kidete kulinda mali za Tanganyika, watu wengi sana waliwaunga mkono na kuwashabikia. Lakini tangu walipotiwa nguvuni hakuna hata mtanganyika mmoja aliyeonesha nia ama aliyetoa tamko kali kupinga ukamataji huo. Yaani kundi lote lile la...
  2. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Udini na Ukanda ni sumu kwa taifa lolote, Watanzania tujaribu kuizuia

    Habari wanajf. Swala hili linaloendelea mitandaoni watu wakijaribu kulinganisha swala la bandari na udini na Ukanda linazidi kukua. Likiwa kubwa litatoka kwenye mitandao litaanza kulitafuna taifa letu. Nasema ni sumu Kali kwasababu halijawahi kutulizwa kirahisi likianza hasa kwenye nchi za...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kinacholeta mgawanyiko nchini ni mkataba wa bandari

    Nasoma post nyingi hapa zimeondoka kwenye hoja na kuhamia kwenye Udini; mfano kamata kamata inayoendelea na idadi ya wapinga hoja ya bandari imeleta picha kwamba watu dini moja kwa pamoja bila kujali vyama wanakubaliana na kinachoendelea wakiwemo hata wapinzani. Upande wa pili hali inaonyesha...
  4. Chillah

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Kazi Kwa Watanzania Ktk Kampuni ya Space X (Twitter) Nchini Marekani

    Watanzania tuchangamkie fursa hizi, wakenya wasije kuwapiga bao FaizaFoxy USSR Maghayo instanbul Pascal Mayalla Mshana Jr OKW BOBAN SUNZU FRANCIS DA DON Msanii Mpwayungu Village Bufa Kaka yake shetani UMUGHAKA ChoiceVariable
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyetushia uhai wa Rais Biden auawa

    Moja ya story nimeipenda ktk kupitapita mtandao I ni hii ya kijana mmoja huko Marekani kuuwawa na FBI baada ya kutisha Uhai wa Rais Biden. Je ingekuwa kwetu Tz tungesema mengi Rais dictator na hana ubinadam ila huko Demokrasia inapozaliwa jamaa wamemlaza down bila hata kutaka kujua why alikuwa...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Elon Musk anagawa pesa Twitter (X) lakini sioni Watanzania wakinufaika na migao ya Elon

    Kule X ama Twitter Bwana mkubwa Tajiri namba moja Duniani, mmiliki wa makampuni ya Tesla, X, X.al, Boring Company, Space X na makampuni mengine mbali mbali alianzisha utaratibu wa kuwalipa watengeneza maudhui kule kwenye mtandao wake. Nimekua nikiona wadau mbalimbali wa nchi mbali mbali...
  7. PANTHERA LEO

    JamiiForums Tanzania KWELI Dan Friedkin ana hifadhi ya ardhi kubwa Tanzania

    Aprili 27, 2023, akaunti ya Mtandao wa Twitter inayotumia jina la MainLandAfrica iliweka chapisho linalodai kuwa Bilionea wa Marekani Dan Friedkin amekodisha takriban Ekari 6,000,000 za ardhi nchini Tanzania. Chapisho hilo lilienda mbali zaidi kwa kudai kuwa Friedkin ni mmiliki wa Ekari zingine...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania tutabadilika lini?

    Habari ya weekend na simba day kwenu wote? Watanzania ifike mahali tubadilike,kuna vitu kwa binadamu kuvishangaa mtu akikuuliza unaonekana ni ushamba na kutojitambua kabisa. Iko hivi,leo nilidamka mapema kwenda k/koo. Sasa kabla ya kutoka ikabidi ninywe pepsi ili kuweka koo sawa Nimefika kule...
  9. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Tanzania inatarajiwa kuingia mkataba na Kampuni ya DP World ya Dubai kuendeleza bandari ya Dar es Salaam

    Kwa mujibu wa Waziri wa Ujenzi na Usafirisha, Profesa Makame Mbarawa, Tanzania na Dubai zinatarajiwa inatarajiwa kujadili na kupitisha Mkataba wa Kiserikali (IGA) kuhusu kuendeleza Bandari ya Dar es Salaam. Habari zaidi, soma: Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa...
  10. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Watanzania, ni muda umefika wa kumpa nchi Tundu lisu, hatuhitaji kupoteza muda tena, Tutajikuta mateka!

    Ukweli usiopingika, watanzania wanyonge wananyongwa haswaa ili tu kufanikisha misheni za wana ccm wachache, bora hata kipindi cha mwendazake wanyonge walithaminiwa, Nachukulia mfano mdogo tu wa juzi juzi ndio uone kabisa, ccm inawatafuna watanzania, Hivi majuzi, tarifa kupitia ITV...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Naomba Watanzania tujadili mazingira yenye utata kwenye Mkataba wa Bandari

    MAZINGIRA YENYE UTATA KUHUSU MKATABA WA BANDARI Kuna mazingira yenye utata mkubwa na yanayoibua hisia na maswali mengi kutoka hatua ya MoU, kusainiwa na kuridhiwa kwa mkataba huu wa IGA, nitaongelea vipengele vitano kama ifuatavyo. (a) Kampeni za wazi, Spika wa Bunge kuandaa ziara mwezi...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mgongano wa maslahi Spika unaangamiza Watanzania kukosa mafuta

    Mgongano wa maslahi wa wazi wazi Spika wa Bunge amemnyamazisha Mbunge Tabasamu asiongelee kuchezewa kwa tenda katika mchakato wa ununuzi wa mafuta wanaondesha mchakato unaolalamikiwa na Tabasamu ni Ewura na bosi wa hiyo taasisi ni mume wa Spika. Hii ina maana Makamba alimshauri Rais amteue mume...
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Watanzania tufanye maamuzi ya kuingia kwenye kilimo na mifugo

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watanzania kuingia na kubobea kwenye kilimo, mifugo na uvuvi, akisema kuwa hilo ndilo eneo litakaoleta uchumi wa mtu mmoja mmoja na wananchi wote kwa ujumla. Kauli hiyo ameitoa jana Agosti 3, 2023 baada ya kukagua mabanda ya maonesho ya nanenane kitaifa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu umebakiza kutubu kwenye kaburi la Hayati Magufuli

    Binafsi nilikuwa nahisi kwamba Tundu Lissu anamchukia sana Hayati Magufuli hasa baada ya kile kisicho na ushahidi kuhusishwa kwake na Tukio la kushambuliwa Tundu Lissu. Alichokifanya Tundu Lissu katika mazungumzo ya ufisadi wa bandari ya Dares salaam kuhusu JPM ni dhahiri kwanza hamchukii JPM...
  15. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Marekani waongeza muda wa kupata visa ya Marekani kwa watanzania hadi kuwa miezi Sita

    Kwa mujibu wa Ernest B. Makulilo wa EBM SCHOLARS kwa sasa muda wa kuprocess visa ya kwenda Marekani kwa raia wa Tanzania ni miezi Sita. Kwa lugha nyepesi ni ukiomba visa ya kwenda Marekani leo utapokea majibu ya maombi yako baada ya miezi Sita (Februari 2024)
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa FCS: Teknolojia inaweza kuwa chachu ya kuongeza kasi ya maendeleo na uzalishaji

    Mkurugenzi wa Foundation For Civil Society (FCS) Francis Kiwanga, amesema kuwa Teknolojia inaweza kuwa chachu ya kuongeza kasi ya maendeleo pamoja na kuwawezesha Watanzania kuongeza uzalishaji, kutafuta masoko na hatimaye kukuza vipato vyao. Mkurugenzi Mtendaji wa Foundation For Civil Society...
  17. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Logic na Reasoning ni sifa adimu kwa watanzania hasa wenye mlengo wa kiushabiki

    Hello JF, Ni muda sasa nimekuwa nikifuatilia maeneo mawili logic na Reasoning kwa watanzania ni zero, hapa namaanisha watanzania kizazi Cha 1990+ hadi huku 200+, ni aibu sana kwa taifa, sijui nikujifanyisha kisa shibe katika kitumwa, ufuasi, upimbi wa akili, mihemko ya upimbi wa kidini. Hii...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia una Mkataba na Watanzania milioni 60 na sio wateule wako wasiozidi 300. Chukua hatua kabla hujachelewa

    1. Sasa ni wazi na hakuna ubishi tena, kuwa Mama Samia Suluhu Hassan zinakuja kelele kubwa sana kukuzomea kuwa, umeshindwa kuongoza nchi hii...! 2. Ni dhahiri shahiri kuwa, wewe Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT unawaogopa kuwawajibisha wateule wako wanaoshindwa kutenda wajibu wao na ambao...
  19. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Nini sababu ya vifo vya kila siku vya WaTanzania ughaibuni?

    🇹🇿🇿🇦mzee baba 🇹🇿🇿🇦🇹🇿🇿🇦💢💢💢💢 Ndugu zangu watanzania tumepatwa na msiba mwingine wa ndugu yetu ally alawi............🇹🇿🇿🇦💢💢 Ally Alawi amefariki tanzania 🇹🇿...... Ally Ally ni baharia ambaye alikuwa anaishi ktk mji wa Mosselbay Afrika Kusini 🇹🇿🇿🇦💢💢💢💢 Panapo majaliwa kesho siku ya jumanne ndugu...
  20. Ngaliwe

    JamiiForums Tanzania Chongolo: Watanzania wako tayari uwekezaji wenye tija na mabadiliko bandarini

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo amesema Watanzania kwa ujumla wao wameonesha utayari na uhitaji mkubwa wa kuona uwekezaji na uendeshaji utakaoleta maboresho, ufanisi na kuongeza mapato katika Bandari ya Dar Es Salaam, hivyo ameielekeza Serikali ya Chama Cha...
Back
Top Bottom