The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,464
- 17,304
Kule X ama Twitter Bwana mkubwa Tajiri namba moja Duniani, mmiliki wa makampuni ya Tesla, X, X.al, Boring Company, Space X na makampuni mengine mbali mbali alianzisha utaratibu wa kuwalipa watengeneza maudhui kule kwenye mtandao wake.
Nimekua nikiona wadau mbalimbali wa nchi mbali mbali wakinufaika na mikwanja ya Elon Musk lakini sioni watengeneza maudhui wa Tanzania wakifaidika na huo utaratibu.
Je, shida ni Tanzania hatuna contents creators wa kunufaika na huo utaratibu ana nini shida?