Kwanza kabisa tunamuomba Lissu ajitokeze na aseme alipelekwa Polisi kwa tuhuma zipi kwani inaonekana tuhuma hizo sio za kawaida unless zimeisha leo leo.
Binafsi nimesoma tweet ya mwandishi mmoja (Halima Gikandi) ambae kafanya mahojiano na Lissu, mahojiano ambayo yamegusia sababu za Lissu...