Ni kwanini watanzania ni wafupi wafupi ukilinganisha na raia wa nchi zingine?

Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Sep 9, 2020
6,860
12,291
Kwa ambao washawahi kuishi nje ya Tanzania nina imani watakuwa na ufaham wa hiki nilichokiandika hapa.

Nimewahi kuishi ktk nchi ambayo ina mchanganyiko wa raia kutoka katika nchi mbali mbali duniani nikajiridhisha kwa macho yang kwamba raia wengi wanaotoka Tanzania ni wafupi wafupi mno ukilinganisha raia kutoka Kenya, Uganda, Rwanda, Congo, Zambia, Nigeria, Angola nk.

Hapa simaanishi kwamb hakuna watanzania warefu ila ki kweli 98% wanaonekana ni wafupi wafupi yan wana vimiili vidogo vidogo ukilinganisha na raia wengin wa hizo nchi nilizotaja hapo juu ambao wengi 98% ni mirefu mirefu na inayoonekana imeshiba. Mwenye kujua sababu ya ufupi wa watanzania atuambie hapa.
 
Back
Top Bottom