Isikilizeni sauti inayolia nyikani, imebeba sauti za mamilioni kwa mamilioni ya watanzania. Mungu ametenda kwa wakati wake hakika!

dikteta2020

JF-Expert Member
Aug 14, 2018
595
3,990
Tundu Lissu angeweza kurudi nchini na kuamua kujikalia kimya kama walivyofanya wengine walioumizwa. Yeye siyo tu aliumizwa! Aliumizwa sana!

Sasa isikilizeni sauti yake inayolia nyikani, ndani ya sauti hiyo zipo sauti za mamilioni kwa mamilioni ya watanzania.

Mnyoosheeni njia pale anapokuja kwenu kwa ajili ya kuwasemea, yatengenezeni mapito yake.

Ninashangazwa sana na watu wale wanaothubutu kunyanyu mikono yao na kumrushia mawe! Narudia tena, ninashangazwa sana!
 
Back
Top Bottom